Zamani ukiwa na mzazi kada wa CCM, ilikuwa fahari, kwasasa unaogopwa

Zamani ukiwa na mzazi kada wa CCM, ilikuwa fahari, kwasasa unaogopwa

Kuna vijana hapa walichaguliwa kwenda kwenye Interview ya Polisi jumatatu tarehe 28 wamesema hawataenda,.Wale vijana wako 4 ,walipoulizwa majibu Yao yalikuwa ni haya:
1:Wa kwanza kasema Mzazi wake kamwambia aache hiyo ni kazi ya laana, Haina baraka za watu,ni kazi ya watu wakatili na wasio na utu katika jamii.
2: Wapili kasema, yeye anaona inayomchonganisha na wananchi na kuhatarisha maisha yake.Kasema itakuwaje akiumiza au kuua mtu akiwa kazini na yeye anaishi uraiani? Hata kufa kwakulipizwa kisasi?
3:Watatu amesema amefuatlilia utendaji kazi wa jeshi la Polisi katika Nchi nyingine kaona ni nadra hupiga watu.Hivyo yeye hawezi kupokea mshahara Kwa kupiga na kuua raia,ni kazi ambayo yeye Kwa mawzo yake anasema haisemwi vizuri na jamii
4:Wa Mwisho kasema anaiona ni kazi nzuri sana ila haitekelezwi Kwa uadilifu,hivyo jamii itamchikulia kama anafanya kazi ya kihuni na kijambazi, heri akalime hata nyanya.
Nimetafakari Kwa kina sana haya majibu ya vijana
Uamuzi wa Busara,kulinda kikundi Cha watu wachache walafi,ukasaliti Wananchi ni dhambi kumbwa
 
Kwa kweli, kwa sasa hata kuwa tu mwanaCCM unaonekana we ni shetani, ina maana unaunga mkono mauaji, utekaji wa watu na uovu wa kubambikizia kesi watu wanaopigia haki za wananchi na rasilimali za Taifa. Ina maana unaunga mkono ufisadi wa kula kodi za wananchi kwa urefu wa kamba yako, na unaunga mkono gandamizaji wa haki na uhuru wa watu.
Kuwa CCM kwa sasa ni ni sawa yale mashetani yaliyokuwa yanashirikiana na wakoloni dhidi ya wananchi wenzao wakati wananchi wakitafuta uhuru wa nchi yao. Kuwa CCM kwa sasa ni ama wewe ni:
1. Fisadi
2.punguani wa akili
3. Mnufaika wa ufisadi
4.wakala wa uuzaji wa njia kuu za uchumi kwa waarabu.
Waongo
 
Sio mda ccm wanaendwa kutengwa na jamii, watafurahi na kulia wenyewe mbwai mbwai,

Ila police na ndugu zao watatengwa katika jamii ,ili linaenda kutokea kwa sababu ccm inaonekana kama first class katika taifa hili wengine kama wageni.

So watatengwa mpaka pale usawa katika taifa utakapokuepo na kueshimiana
Sitoi lifti Kwa Manjagu Sasa,nishaona hayana Akili,yanatumika kama kondomu na CCM
 
Wapo Wana CCM wachache wanaoamini katika Utu na kushindana Kwa Hoja Yakinifu zama hizi, Walio wengi wamejaa hila, uchu wa Madaraka, wizi na mipango ya kufiisha watu wanao tofautiana Kwa Hoja.

Zamani Mzazi wako akiwa kada wa Chama anazijua sera na pia anajua kushawishi! Hawa vilaza wa Sasa, ukitoa hoja wanatoa Panga! Wamefanya Siasa zikose mvuto!

Wapinzani nao hawana msimamo Wala sera, wananunuliwa kama Malaya, Kwa tamaa za pesa ndio Maana wanadharauliwa na CCM! Siasa ni kusimamia bila kuyumba unachoamini.

Wauaji mfedheheshwe na damu zenu zimwagwe pia
Mfumo ulitengeneza njaa kwa watanzania..mfumo unaitumia njaa..kubaki kwenye mfumo...ili watanzania waendelee kuwa na njaa.
 
Back
Top Bottom