Zamaradi acha kumfananisha Billgate na Mtoto wa Kajala, Unampotosha


kuna watu wakijiona maarufu wanajiona wana akili kila jambo hata mawazo kumbe vilaza tu.umesema kweli
 
Kale ka zamaradi kanajihisi kana upeo ambao hana,ni kamtu flani kanawaaminisha watu hasa wanawake ambao ni vichwa Maji kwamba maisha ni rahisi kwa mifano dhaifu kbs na bahti mbaya anawaingiza chaka.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Tena ni Bomu la nyuklia mkuu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Naona mnampa za uso Zamaradi [emoji23] [emoji23]
Mimi mdogo wangu akifeli nikakuta Kuna jitu linampa haya matango pori Eti sijui nani alifeli ila Sasa hivi ni tajiri, Walahi narara nae mbere[emoji23]
 
Afuate nyayo za Bashite tu, anaweza kununua vyeti akaja kuwa Rais wa mkoa.
 
Sijawahi kuwa impressed na Zamaradi hata siku 1.
Opportunist mzuri tu mchumia tumbo.
Ushauri,sijui taka gani anaandika mwangalie usoni machoni direct ni hamna kitu.
 
Mkuu usipotoshe basi hio Zero ilimpa msoto wa kurisiti hakuna chuo kinachochukua division zero. Jamaa atakua alijipanga kweli kweli hakukata tamaa.
Na ukute ana zero ya form 6 na sio ya form 4 maana ya form 4 mpaka uje ufike chuo kikuu utapiga msoto wa kufa mtu tofauti na aliepata ya form 6 ambao wengi huwa wana akili za darasani tatizo tu walipoenda A-level wakakutana na makundi rika ama wengine wakakuta hakuna walimu mwisho wa siku wakazunguusha lakini cheti cha O-level kikaokoa jahazi tofauti na anaezunguusha form 4 ambapo ukipata D mbili tu katika masomo 10 ama 7 unaitwa umefaulu lakini ukakosa
 
kuna tofauti kati ya kumjua na kumfahamu. Kumjua ni pale mmevua nguo kama mume na mke. Kumfahamu ni ile hamna mahusiano ya kindani. So unamfahamu ila hio ZERO aliisotea akaibadili kuwa division fulani mpaka akafika chuo kikuu. Kama unabisha kamuulize,HAKUNA CHUO AU VYUO VINAVYOPOKEA ZERO MKUU
Nimepotosha nini? Namjua alipata ZERO, na sasa hivi ndio kama ninavyokwambia, labda wewe unamjua kuliko ninavyomjua mimi.
 
Bill gates hakufeli Chuo yule ali drop out baada ya mishe zake kumtinga but recently amerudi Harvard na kugraduate, The essence of poor performance for that kid is her mother's behaviour .
Alafu mtu anamlinganisha na Bill Gates ambae ali drop HAVARD (chuo ambacho ni best ambapo moja kwa moja hata madarasa ya chini anaonekana alikuwa best)
 
IMENIUMA SANA, NARUDIA TENA IMENIUMA SANA KUONA GENIUS, AMERICA'S GREATEST INVENTOR THOMAS EDISON KUITWA KILAZA NA KUFANANISHWA NA MTOTO WA P FUNK MAJANI NA KAJALA WA BIKO(MAARUFU KAMA PAULA KAJALA), IMENIUMA SANA..WEWE ZAMARADI MKETEMA NAOMBA UTUTAKE RADHI WAUMINI WA PHYSICS DUNIANI.
 
Naona mnampa za uso Zamaradi [emoji23] [emoji23]
Mimi mdogo wangu akifeli nikakuta Kuna jitu linampa haya matango pori Eti sijui nani alifeli ila Sasa hivi ni tajiri, Walahi narara nae mbere[emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Nilichosema kupata Zero sio mwisho wa maisha. Aidha unarudia au unafanya chochote ili ufanikiwe hamna anaejali. Kufeli form 4/6 sio mwisho wa maisha.
Tafsiri unayoIJUA wewe sio tafsiri pekee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…