Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Yaani mm mwanamke akisha zaa sichukui hata awe mzur vipi hata bure aende tu watu wanaroho ngumu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Inasemekana kwamba imefanyika kimya kimya Ruge kaona Picha mtandaoni leo
 
Aisee huyo sio dogo ni jitu zima hilo, na kuna uwezekano mkubwa na mwanaume kuwa na watoto wa nje tayari.
 
Ruge kutomuoa ni sababu moja wapo ya kumove on... tusiwe majaji tu kaka... huyu ni mtu maarufu hata litokee jambo halitofichika na ndoa hiyo talaka sio jambo gumu, muda utaongea.
Binafsi naona ndoa iliyo bora sababu zamaradi ni mwanamke smart plus nikijivalisha viatu vyake hayo maamuzi ningefanya muda mrefu ruge kamzalilisha sana sio mara moja lakini kavumulia mno kama ilivyo asili ya mwanamke "uvumilivu" mpaka kaamua kuondoka ujue haina kurudi nyuma.
 
Mwanamke sina tatizo na kuwa na furaha! Je mwanaume atakua na amani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…