Ha ha ha ha ha ha.........Sihitaji kumganda sababu sio akili mgando kama wewe na kizuri nimezungukwa na hao unasema hawana soko wameolewa na bado wenyewe binafsi wana maisha standard sio kajamba nani
Pambana na hali yako na mahusiano yako....
It takes 2 to tangle... and we both invest in our relationship so well.
Imekaa ki personal zaidi ! acha nipite hivi....
Kitamaduni na kidini sio sahihi kuzaa nje ya ndoa.... lakini nyakati hizi sio wa kwanza na hatokua wa kwanza, kosa kubwa zaidi ni pale unapozaa kumtrap mtu (anaepata shida ni mtoto kama malengo hayatofikiwa) lakini kama imetokea na mkaridhia kuleta hicho kumbe/viumbe vyema kuhalalisha.... wapo wanaosema uchumi na excuse kibao. But kwa hawa wahusika uchumi upo sawa, umri unaruhusu dini labda ilikua kikwazo.Ilikuwaje akakubali kuzaa naye. Tatizo siyo kuachana ila kukubali kuzaa bila ya commitment yoyote ya ndoa.Sidhani kama ataweza kifurahia ndoa huko alikoolewa.
Hahahahaha no smart woman would say no to an open minded gentleman..... your wish is my command.Ha ha ha ha ha ha.........
Lets do tha tangoo beib.
Siamini kama tabia ya Ruge imeanzia kwa Zama. Alilijua hili tangu mwanzo na sidhani kama yeye alijifikiria kwamba yuko so special. Hata kama sababu ni dini anajua tangia mwanzo, kwahiyo sioni hoja hapo. Mi ninaloliona ni kwamba soku hizi wanawake wameendekeza tamaa ya pesa. Siyo Zama peke yake, wapo wasichana wengi wakiwa kwenye 20's utawasikia wakisema kuolewa siyo lazima. Basi hukuta wakitanguliza mambo ya kipesa. Mida unavyozidi kuyoyoma hujiona kwamba hawakuwa sahihi na kuanza kusaka ndoa. Hii haina tofauti na ya akina Vick Kamata...they dont begin with an end in mind. Wanaangalia karibu na kuja kujikuta kwamba maisha ni zaidi ya pesa. Ndo kinachomsumbua Zamaradi.Kitamaduni na kidini sio sahihi kuzaa nje ya ndoa.... lakini nyakati hizi sio wa kwanza na hatokua wa kwanza, kosa kubwa zaidi ni pale unapozaa kumtrap mtu (anaepata shida ni mtoto kama malengo hayatofikiwa) lakini kama imetokea na mkaridhia kuleta hicho kumbe/viumbe vyema kuhalalisha.... wapo wanaosema uchumi na excuse kibao. But kwa hawa wahusika uchumi upo sawa, umri unaruhusu dini labda ilikua kikwazo.
Lakini kuzaa watoto wawili na mwanaume huyo huyo na bado unazalilika mitandaoni vimada wake wanajionesha kwa maevidence kwamba wanakuibia inahitaji moyo wa ziada kuvumilia (angalau ukiwa mke unapata nguvu hata ya kwenda kwa familia au waliowafungisha ndoa kupata suluhu otherwise ni pasua kichwa)
Ha ha ha ha ha okay lady.....its a date then.Hahahahaha no smart woman would say no to an open minded gentleman..... your wish is my command.
Yaani wewe mwanamke utakua una stress sana, Mange type huwezi kujenga hoja bila kashfa au kutukana! Angalia comments zako ndio utajua nani ana negativity! Mwenyewe hapo juu umesema tukawasome Shilawadu na nimeenda nakuta alichoandika kwenye hiyo story hana tofauti na nilichokiandia na wewe umekiamini na kusema hauhami mjini! Sisi wanaume tunahitaji tuzo yaani kuna mtu unaishi naye hadi mmezaa na tabia hizi
Kwa heri sina time kuja inbox, nimetoa maoni yangu sijaona nilipolazimisha mtu afuate na katika wote waliopingana na kuoa wamama 2 nadhani mimi nimekugusa ndio maana umekomaa., sana sana umewaonyesha waliokua wana mpango wa kuoa single mothers jinsi mlivyo na stress na wajiandaeKakojoe ulale mzee.... mimi nimemalizana na wewe kama una uchu sana njoo inbox.
Shilawadu wameandika their side of the story and kama akili yako iko timamu rejea comments zangu za mwanzo kabisa nilizokujibu bila kubase upande mmoja.
Tatizo lako wewe unataka mentality yako iwe reality ya kila mtu of which ni akili mgando.
So bishana na mgando wenzio.... nimenawa and yes mjini sihami na nitaendelea kujifunza kila sehemu kuanzia nyumbani, ofisini, marafiki mpaka mitandaoni and nitawaelewa watu based on their situations ninachoamini sio sheria....
Mwisho wa siku it's a free world, maisha ni kuishi na kuchagua for as long as umekubali mapungufu na kurudi katika mstari.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bhana kama huna mpango usizalishe unamuharibia future mtu kuwa na watoto wa koo tofautitofauti kama kukuNi rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....
Kuna tofauti saana kati ya ndoa na uchumba hata km muna watoto mia.
Pesa hainunui love ingawaje ni nyenzo muhimu katika love....
Wewe binafsi ukipewa billion na usiolewe bado kuna kitu utamis... sawa na mimi unipe trillion afu unikate pu...mb utaniwaza kweli?
Zamarad ni cheche zoefu anajua madhara ya kuwepo alipokuwa na faida ya anakoelekea...
Bariki ndoa tu.
Uyo unayemtaka wewe huja na kasepa kama mtalii ndani ya serengeti.
Nakubaliana na wewe... mwanamke akikosa ndoa au mtoto anaghafirika sana.... na kwa kigezo cha ndoa watu wanafanya mengi kujibebesha mimba mpaka kwenda kwa waganga na wapo wanaojitolea hadi mahari.Siamini kama tabia ya Ruge imeanzia kwa Zama. Alilijua hili tangu mwanzo na sidhani kama yeye alijifikiria kwamba yuko so special. Hata kama sababu ni dini anajua tangia mwanzo, kwahiyo sioni hoja hapo. Mi ninaloliona ni kwamba soku hizi wanawake wameendekeza tamaa ya pesa. Siyo Zama peke yake, wapo wasichana wengi wakiwa kwenye 20's utawasikia wakisema kuolewa siyo lazima. Basi hukuta wakitanguliza mambo ya kipesa. Mida unavyozidi kuyoyoma hujiona kwamba hawakuwa sahihi na kuanza kusaka ndoa. Hii haina tofauti na ya akina Vick Kamata...they dont begin with an end in mind. Wanaangalia karibu na kuja kujikuta kwamba maisha ni zaidi ya pesa. Ndo kinachomsumbua Zamaradi.
Hahahahaha tutasikia mengi otherwise mmoja akae kimya upepo mchafu upite kwanza .... muda utaongea... umaarufu ni gharama.Shilawadu wanasema sio mtoto wa majaliwa bali ni Shamba boy aka house boy wa majaliwa ila kamdanganya zama kwamba ni mtoto wajaliwa.
yaaani nimeumia utadhani mimi zamaradiHahahahaha tutasikia mengi otherwise mmoja akae kimya upepo mchafu upite kwanza .... muda utaongea... umaarufu ni gharama.
Mbona umeumia sana bwana ruge zamaradi ndo kashaenda hivyo..pambana na uzinzi wako hahaha.Povu tena!! Pole single mother na wewe utapata kijana boya
Hahaha huu ndo ukweli yani MTU anaumia kwa ndoa ya mwingine...hii ndoa imewauma manungayembe. uchawi sio kupaa usiku hata roho mbaya nayo uchawi. mwenzenu kasitirika endeleeni na zinaa. mijanaume ya kujidai fyokofyoko siipendi. utafikiri wao wanawake wao wamewakuta mabikira. Go zama. Allah awaongoze, mpendane mpaka kifo.
kaolewa na houseboy bashite alitoa hela ili kumkomoa rugeHahaha huu ndo ukweli yani MTU anaumia kwa ndoa ya mwingine...
jamani hili linahitaji thread kabisaa!!! daah soud anafunguka huyo, ila nadhan ubuyu wote kapew na bosskaolewa na houseboy bashite alitoa hela ili kumkomoa ruge
Kwa kweli mimi siwezi hiyo kaziIla wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
roho imeniuma ningekuwa mimi zama namuacha jamaa mazima leo leo ishakuwa mbaya aha iwe mbaya.wanaume wangese sanajamani hili linahitaji thread kabisaa!!! daah soud anafunguka huyo, ila nadhan ubuyu wote kapew na boss
ShilaShilawadu hawaishiwi maneno..ila muda utaongea.kaolewa na houseboy bashite alitoa hela ili kumkomoa ruge