Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Sihitaji kumganda sababu sio akili mgando kama wewe na kizuri nimezungukwa na hao unasema hawana soko wameolewa na bado wenyewe binafsi wana maisha standard sio kajamba nani
Pambana na hali yako na mahusiano yako....
It takes 2 to tangle... and we both invest in our relationship so well.
Ha ha ha ha ha ha.........

Lets do tha tangoo beib.
 
Ilikuwaje akakubali kuzaa naye. Tatizo siyo kuachana ila kukubali kuzaa bila ya commitment yoyote ya ndoa.Sidhani kama ataweza kifurahia ndoa huko alikoolewa.
Kitamaduni na kidini sio sahihi kuzaa nje ya ndoa.... lakini nyakati hizi sio wa kwanza na hatokua wa kwanza, kosa kubwa zaidi ni pale unapozaa kumtrap mtu (anaepata shida ni mtoto kama malengo hayatofikiwa) lakini kama imetokea na mkaridhia kuleta hicho kumbe/viumbe vyema kuhalalisha.... wapo wanaosema uchumi na excuse kibao. But kwa hawa wahusika uchumi upo sawa, umri unaruhusu dini labda ilikua kikwazo.
Lakini kuzaa watoto wawili na mwanaume huyo huyo na bado unazalilika mitandaoni vimada wake wanajionesha kwa maevidence kwamba wanakuibia inahitaji moyo wa ziada kuvumilia (angalau ukiwa mke unapata nguvu hata ya kwenda kwa familia au waliowafungisha ndoa kupata suluhu otherwise ni pasua kichwa)
 
Siamini kama tabia ya Ruge imeanzia kwa Zama. Alilijua hili tangu mwanzo na sidhani kama yeye alijifikiria kwamba yuko so special. Hata kama sababu ni dini anajua tangia mwanzo, kwahiyo sioni hoja hapo. Mi ninaloliona ni kwamba soku hizi wanawake wameendekeza tamaa ya pesa. Siyo Zama peke yake, wapo wasichana wengi wakiwa kwenye 20's utawasikia wakisema kuolewa siyo lazima. Basi hukuta wakitanguliza mambo ya kipesa. Mida unavyozidi kuyoyoma hujiona kwamba hawakuwa sahihi na kuanza kusaka ndoa. Hii haina tofauti na ya akina Vick Kamata...they dont begin with an end in mind. Wanaangalia karibu na kuja kujikuta kwamba maisha ni zaidi ya pesa. Ndo kinachomsumbua Zamaradi.
 
Definition ya Mapenzi ni Ngumu mno Hila kijana makini unaejielewa daah single mother tena watoto wawili hatari sana
 
Kakojoe ulale mzee.... mimi nimemalizana na wewe kama una uchu sana njoo inbox.
Shilawadu wameandika their side of the story and kama akili yako iko timamu rejea comments zangu za mwanzo kabisa nilizokujibu bila kubase upande mmoja.
Tatizo lako wewe unataka mentality yako iwe reality ya kila mtu of which ni akili mgando.
So bishana na mgando wenzio.... nimenawa and yes mjini sihami na nitaendelea kujifunza kila sehemu kuanzia nyumbani, ofisini, marafiki mpaka mitandaoni and nitawaelewa watu based on their situations ninachoamini sio sheria....
Mwisho wa siku it's a free world, maisha ni kuishi na kuchagua for as long as umekubali mapungufu na kurudi katika mstari.
Yaani wewe mwanamke utakua una stress sana, Mange type huwezi kujenga hoja bila kashfa au kutukana! Angalia comments zako ndio utajua nani ana negativity! Mwenyewe hapo juu umesema tukawasome Shilawadu na nimeenda nakuta alichoandika kwenye hiyo story hana tofauti na nilichokiandia na wewe umekiamini na kusema hauhami mjini! Sisi wanaume tunahitaji tuzo yaani kuna mtu unaishi naye hadi mmezaa na tabia hizi
 
Kakojoe ulale mzee.... mimi nimemalizana na wewe kama una uchu sana njoo inbox.
Shilawadu wameandika their side of the story and kama akili yako iko timamu rejea comments zangu za mwanzo kabisa nilizokujibu bila kubase upande mmoja.
Tatizo lako wewe unataka mentality yako iwe reality ya kila mtu of which ni akili mgando.
So bishana na mgando wenzio.... nimenawa and yes mjini sihami na nitaendelea kujifunza kila sehemu kuanzia nyumbani, ofisini, marafiki mpaka mitandaoni and nitawaelewa watu based on their situations ninachoamini sio sheria....
Mwisho wa siku it's a free world, maisha ni kuishi na kuchagua for as long as umekubali mapungufu na kurudi katika mstari.
Kwa heri sina time kuja inbox, nimetoa maoni yangu sijaona nilipolazimisha mtu afuate na katika wote waliopingana na kuoa wamama 2 nadhani mimi nimekugusa ndio maana umekomaa., sana sana umewaonyesha waliokua wana mpango wa kuoa single mothers jinsi mlivyo na stress na wajiandae
 
Ni rahisi kuwa baba mzazi ila kuwa baba ni kazi....

Kuna tofauti saana kati ya ndoa na uchumba hata km muna watoto mia.

Pesa hainunui love ingawaje ni nyenzo muhimu katika love....

Wewe binafsi ukipewa billion na usiolewe bado kuna kitu utamis... sawa na mimi unipe trillion afu unikate pu...mb utaniwaza kweli?

Zamarad ni cheche zoefu anajua madhara ya kuwepo alipokuwa na faida ya anakoelekea...

Bariki ndoa tu.
Uyo unayemtaka wewe huja na kasepa kama mtalii ndani ya serengeti.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] kweli bhana kama huna mpango usizalishe unamuharibia future mtu kuwa na watoto wa koo tofautitofauti kama kuku
 
Siamini kama tabia ya Ruge imeanzia kwa Zama. Alilijua hili tangu mwanzo na sidhani kama yeye alijifikiria kwamba yuko so special. Hata kama sababu ni dini anajua tangia mwanzo, kwahiyo sioni hoja hapo. Mi ninaloliona ni kwamba soku hizi wanawake wameendekeza tamaa ya pesa. Siyo Zama peke yake, wapo wasichana wengi wakiwa kwenye 20's utawasikia wakisema kuolewa siyo lazima. Basi hukuta wakitanguliza mambo ya kipesa. Mida unavyozidi kuyoyoma hujiona kwamba hawakuwa sahihi na kuanza kusaka ndoa. Hii haina tofauti na ya akina Vick Kamata...they dont begin with an end in mind. Wanaangalia karibu na kuja kujikuta kwamba maisha ni zaidi ya pesa. Ndo kinachomsumbua Zamaradi.
Nakubaliana na wewe... mwanamke akikosa ndoa au mtoto anaghafirika sana.... na kwa kigezo cha ndoa watu wanafanya mengi kujibebesha mimba mpaka kwenda kwa waganga na wapo wanaojitolea hadi mahari.
Mwanamke akibeba mimba ya mtu wa kawaida asiye na pesa hawezi itwa gold digger but akibeba ya mwenye pesa ni gold digger (which is not all the time) sometime unaanza na mtu mbali akiwa hana kitu (mf mke wa Peter square lola alianza mapenzi na the guy enzi yeye ana pesa kuliko mwanaume lakini the guy had potential) akija kukua watu hawaoni hilo.
Mke wa 2 face haiwi gold digger hata siku moja lakini kaolewa na mtu aliyemzalilisha kipindi chote cha on and off relationship kabla ya ndoa (watoto saba (2 ndio wake) na hao wanazaliwa in between uhusiano wako na wanawake tofauti lakini kakomaa for sababu azijuazo wakahalalisha na ni muda mrefu scandal za 2face hazijavuja mtandaoni).
Mwanamke kama hujaolewa beba mimba ukijua mtoto ni wako coz kukataliwa kupo ila kubeba mimba ili uolewe ni mambo ya kizamani mtoto yupo more likely kuharibikiwa.
Cha msingi ni kumove on na kutoruhusu hiyo dhambi ikuzuie kufanya mambo ya msingi.
 
Shilawadu wanasema sio mtoto wa majaliwa bali ni Shamba boy aka house boy wa majaliwa ila kamdanganya zama kwamba ni mtoto wajaliwa.
Hahahahaha tutasikia mengi otherwise mmoja akae kimya upepo mchafu upite kwanza .... muda utaongea... umaarufu ni gharama.
 
hii ndoa imewauma manungayembe. uchawi sio kupaa usiku hata roho mbaya nayo uchawi. mwenzenu kasitirika endeleeni na zinaa. mijanaume ya kujidai fyokofyoko siipendi. utafikiri wao wanawake wao wamewakuta mabikira. Go zama. Allah awaongoze, mpendane mpaka kifo.
Hahaha huu ndo ukweli yani MTU anaumia kwa ndoa ya mwingine...
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Kwa kweli mimi siwezi hiyo kazi
 
jamani hili linahitaji thread kabisaa!!! daah soud anafunguka huyo, ila nadhan ubuyu wote kapew na boss
roho imeniuma ningekuwa mimi zama namuacha jamaa mazima leo leo ishakuwa mbaya aha iwe mbaya.wanaume wangese sana
 
Back
Top Bottom