Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Zamaradi ambwaga Bosi wa Clouds, aolewa na mwanaume mwingine!!

Tena mwanamke alikua amewekwa ndani zaidi ya miaka mitano, kweli tuko tofauti sana.
Well...
Ila hatukujua 'project yao ilikua na terms zipi' yaweza kua walikubaliana kulindiana heahima ila mtu akipata pahala aendelee kivyake...so inakua kwao haina tatizo..ila kwa "watazamaji" ndo tinaochachawa kuwawekea maneno midomoni.!
 
PhotoGrid_1506761344549.jpg
 
kibarua cha zama kitaendelea kuwepo pale clouds kweli?.....maana si kwa kumuacha solemba le boss
 
Maswali ni mengi, je ameamua na amejiandaa na maisha ya ndoa au amefanya hivyo ili kumuonyesha Ruge kuwa anachokiona kimeoza wenzake wanakiona kichanga?
Je amewahi kuolewa ili ionekane yeye ndiye aliempiga kibuti Ruge?
Kama hayo hapo juu yote ni ndio, je atadumu na memewe mpya ktk hali ya amanj na upendo?
 
Ila wanaume tuna tofautiana yaani kijana hata 40 haujafika unaoa mwanamke mwenye watoto 2 na mwanaume mwingine na unaamini ndoa itakua na furaha na amani, ana roho ngumu huyu dogo
Ukipenda boga.penda na Maua yake.mm namsapoti jamaa.maishi hayajalishi.mwanamke kazaa au haja zaa.kwani atalala na hao watoto mpaka ashindwe kufanya tendo!?
 
Huyo Jamaa atakuwa kafata frem za Zamaradi pale Kinondoni studio na Ghorofa la kina Zamaradi pale Mtaa wa Mafya Kariakoo walizoachiwa na Marehemu Baba yao
Jamaa zembe sana badala ya kutafuta vitoto vibichi kabisa kitaa hata mimba havijatoa anaenda oa hyo mwenye watoto wawili kisha kesho anakuaga anawapeleka watoto kwa baba yao akawasalimie
 
Ivi bikira nikose, pia hata kuwa wa kwanza kumzalisha mwanamke nako nikose! Over my deadbody.
Hivi wewe kama mwanaume unajuaje kama mwanamke unayetaka kuoa ameshawahi kuzaa au la? Mbona stori za watoto waliokuwa wanawaita mama zao 'dada' na bibi zao 'mama' ni nyingi sana kitaan?

Kwahiyo ndugu kupata mke unayemtarajia ni kudra za Mwenyezi Mungu tu, kama mwanamke anajua una akili hizo atakuficha kama ana mtoto alizaa kabla yako na kwakuwa ile kitu ni kama manati (hutanuka na kusinyaa) basi hutaweza kujua, au ukiwa mzoefu sana utaishia kuhisi tu.
 
MANGEKIMAMBI: Zamaradi Mketema kaolewa Leo na mtoto wa ndugu yake Waziri Mkuuu Majaliwa!! Ambwaga bosi wa Clouds FM mchana kweupeeee. .
.
.
I'm so proud of you Zamaradi. Huku deserve kuwa na mwanaume wa kukutenda vile. Nakumbuka kuna siku nilikusema sana kwanini unakaaa na mwanaume anaekucheat kiasi cha kukuletea watoto? Sikuwa na nia mbaya kwako Ila nilitaka tu uijue thamani yako! I'm glad kuwa finally umepata nguvu ya kuachana nae na kumfata atakaeweza kukuheshimu...@zarithebosslady umebaki wewe tu na ustrong woman wako.
.
.
Sasa huyu ndio ana deserve kusifiwa na kuitwa Strong woman!! Haya yanaitwa maamuzi magumu!
.
. .
PS: kwa wale mnaodoubt hii harusi.Naomba msidoubt hii habari nna uhakika nayo 100%!!!

Hivi kwanini wadada munapenda sana kutembea na Maboss wenu mbona hamujifunzi?.
 
Hivi wewe kama mwanaume unajuaje kama mwanamke unayetaka kuoa ameshawahi kuzaa au la? Mbona stori za watoto waliokuwa wanawaita mama zao 'dada' na bibi zao 'mama' ni nyingi sana kitaan?

Kwahiyo ndugu kupata mke unayemtarajia ni kudra za Mwenyezi Mungu tu, kama mwanamke anajua una akili hizo atakuficha kama ana mtoto alizaa kabla yako na kwakuwa ile kitu ni kama manati (hutanuka na kusinyaa) basi hutaweza kujua, au ukiwa mzoefu sana utaishia kuhisi tu.
Mwanaume mjanja hawezi kutojua mwanamke aliyezaa, na wewe kama umezaa nadhani umenielewa
 
Ukipenda boga.penda na Maua yake.mm namsapoti jamaa.maishi hayajalishi.mwanamke kazaa au haja zaa.kwani atalala na hao watoto mpaka ashindwe kufanya tendo!?
Kwako wewe furaha ya ndoa ni kugegeda bila bughuza tu?
 
Back
Top Bottom