Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Daah aise jamaa kaula.. saivi atazichakata mpaka achoke. Maana wanawake watamiminika kwake kutaka kujua ni kipi hasa alicho nacho mpaka apendwe kiasi hicho..! 😄
Aaaah wap, hamna lolote
 
Wewe kitu gani umemfanyia mume wako au mpenzi wako?
 
Yes anamiliki garage
missyrose Nami nakutakia valentine day nzuri nimeona siku isiishe bila kusema chochote juu yako moyo wangu utaumia wewe ni moja Kati ya watu peace usio na maneno mengi, smart kichwani bila kusahau una busara Sana na hekima, hiv ni vitu muhimu Sana kwa mwanamke yoyote yule mwenye malengo ya kuolewa lazima awe navyo hongera kwa kuwa navyo na Mungu akusimamia usibadilike.
 
[emoji106]
 
Haki umensisimua na uandishi wako ktk kutafsiri picha, nmejitahd kuelewa ulichokiandka kina make sense coz hata bond yao haionekan kabsa. Una uwezo mkubwa kusoma lugha ya picha, big Up.
 
Ila bana amefanya alichofanya kwa mapenzi aliyonayo kwa mumewe lakini kwa upande mwingine amewatengenezea mazingira wale nyaku nyaku waanze kujiuliza jamaa ana kipi cha ziada na si ajabu wakamnyakua ili mradi tu.
 
Hakika
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…