Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Asante Hziyech22 I'm humbled mkorea mwenzangu..nimebarikiwa sana na ujumbe wako happy Valentines day to you and yours[emoji7]
 
Ambao hatuna ela za mabango tubandike hata picha zao kwenye nguzo za tanesco
😂😂😂😂
 
Uoe singo mama mwenye watoto wawil na ana maradh yake tena yanajulikana public aisee..yule mwamba kwelkwel..hata mim ningempa tuzo..ndomana zamarad kaona ampende tuu mwamba....wee huon nandy anavyomganda nenga....sabab anajua..nenga kajitoa sadaka pale..hahahah...sis tuwe na makasiriko na zamarad kwa kipi hasa dada angu ..wanawake wapo tu..twawala twaacha...hakuna kipya..sanasana labda mdada thaman inapoisha kabisa na akajua..lazima jeur na mabega hushuka na kutulia...so hakuna kipya hapo..ni yeye tu kajitoa ufaham..kwamba ndo kapeeenda...then what....au la anatafta publicity...na hiv anataka aje na reality tv show yake ..bas anawaanda kisaikolojia..
 
Mimi nina umbea wenyewe kuliko wako. Tatizo lenu mnaamini sana vya kusikia. Unajua mtu akiwa kaungua akitumia dawa vizuri haambukizi? Hao mnaowaongelea lazima wako huko so kutembea na mtu alieathirika haiwafanyi na wao kuwa waathirika. Kwani mtu akiathirika ndo anakosa haki ya kupendwa? Mbona wewe hujaathirika hujapostiwa kwenye bango?
 
Mkuu mwanamke akikupenda atafanya lolote kukufanya uwe na furaha. Kama mtu hujWahi kupendwa huwezi elewa ndo kinachosumbua kaka zetu wengi huku
 
[emoji3][emoji16][emoji16][emoji23][emoji23][emoji16]kaka kwani yule wii yetu mwenye tattoo hajakuletea zawadi ya Valentine[emoji2]
 
[emoji23][emoji23][emoji2][emoji2][emoji2][emoji23][emoji23][emoji23]jamani ma mkwe uko sahihi kabisaa dear!kuugua sio kufa wanakufa wazima daily wanabaki hao wanaoambiwa wana ugonjwa. In short ni wivu tuu!
 
Inataka exposure kuuuubwa mno kwaa sisi ngoz nyeus et kujua kabisa mtu kaathirika halaf namim nikajichomeke...yaan tena mim ndo kabisaa siwez...mim had navaaga 3 sometime..mchezo...hahhaahha
 
Mkuu mwanamke akikupenda atafanya lolote kukufanya uwe na furaha. Kama mtu hujWahi kupendwa huwezi elewa ndo kinachosumbua kaka zetu wengi huku
Yaani Sanamu lako tuliweke wapiii?!!Posta Au Sinzaa...!!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]
 
Wanateseka kaka zetu wanapata vishkwambi wamepewa sana pipi tena kaikuta kwenye mkoba wa demu!
For sure Zamaradi atabadili kitazamo ya wadada wengi...kwenda extra ordinary!
Maana wanawake tunaamini ktk kupewa na sio kutoa vya kwetu!
Mi nimefurahi kama kafanyiwa kaka angu!au na mie Niko in love!
Mwanaume wa bongo zawadi anayojua kukatiwa kiuno tuuu kitandani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…