Mzigua90 Kuna vitu Unaweza kukuta huyo jamaa anavifanya kwa Zamaradi vinavyofanya Zamaradi azidi kumpenda jamaa Mfano mzuri Mimi kusema ukweli binafsi ni wakawaida sana na wala Sina fedha lakini wanawake niliobahatika kuingia nao kwenye mahusiano kipindi tofauti tofauti wananipenda ile mbaya mpaka najishangaa wengine Wananiona ni handsome lakini binafsi nikijicheki najiona wakaiwaida hata Wanaume wenzengu Wananiona kama navyojiona Mimi lakini nikaja kugundua personality ya upole, hekima, busara niliyonayo na maneno ya kimahaba ninayowaonesha ndio vinawa zinawavutia kingine na kikubwa zaidi ambacho wanawake wengi hawaongei ni kwenye sita kwa sita na mimi kwenye Hili eneo nipo vizuri Sana asilimia kubwa nawaridhisha ndio maana wananikubali.So huyo jamaa anaweza akawa na silaha ambazo kwa jicho la mtazamaji haoni lakini mwenye mali yake ndio anaona vizuri