Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Angalau nimeonyesha efforts jamani
emoji1787.png
emoji1787.png
emoji1787.png

Vihela vikipatikana nitafanya mengine zaidi

Angalau nimeonyesha efforts jamani[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Vihela vikipatikana nitafanya mengine zaidi.
Ghafla umekuwa wife material
 
Sasa naelewa kwann marehemu Rugemalila Mutahaba alikuwa akilia kama mtoto alipokuwa akimbembeleza huyu bibie asimuache. Pengine ana mapenzi ya ukweli sana.
Yule kaka nilimpendaga vile alikuwa na akili nyingi sana, Mungu amuweke salama huko aliko
 
Vijana hakikisheni mnatafuta pesa na pia mnasimamia ukucha katika kuwakojoza hawa viumbe....mwanamke kama humkojozi hawezi kupagawa na wewe kiasi hicho.

Kweli hii hali tunayoenda nayo bado unapata nguvu ya kumkojoza mwanamke? Tutafute pesa ndio utajua kma atapagawa na wew au la.
 
Kaka hilo ni swali kweli? Huyu si ndio yule shemeji yako ambae nimeshindwa kumuacha, maana kila nikimuacha najikuta nimemrudia. Sasa imebidi niache kiranga nitulie nae tu.
Ooh hapo sasa nimekuelewa barabara, hapo kwa kweli kamatia kabisa kabisa.

Basi mwambie shemeji tumempokea kwa mikono 2
 
Back
Top Bottom