Baaasii hapo ni vigelegele tu kwa kwenda mbele kumbe[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] habari anazo kabisa.
Ha ha ha hapo mwisho hapo...kama tangazo la condom!!!Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
View attachment 2118894
Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.
View attachment 2118895
Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.
Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Umetiririka vizuri kuwa ukipata kikubwa utafanya makubwa ile isism yenu ya kupokea tu umeiweka kando I salute you[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Sasa kumbe sio?
Mahaba ndi ndi ndiiKabisa yaan, naona ndo anakoelekea huyu sista, make si kwa kudata hivi
Ooh kumbe!![emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Umetiririka vizuri kuwa ukipata kikubwa utafanya makubwa ile isism yenu ya kupokea tu umeiweka kando I salute you
[emoji848][emoji848][emoji848][emoji848]Baaasii hapo ni vigelegele tu kwa kwenda mbele kumbe
Kila kheri na mipango yenu, mkifikia pa kuhitaji nguvu yetu sisi kama ndugu, jamaa na marafiki tuko tayari
Shem darling habari za mchana? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Yani mpende mtu mpaka ukimwambia nakupenda anajibu najua mamaIla Mimi napenda kupenda mtu mpk ajiskie anapendwa nkimpenda mtu anafurahi
dah wee mzee!!!Sio jambo jepesi kuvumilia na kuoa singo maza yenye watoto zaidi ya mmoja.
Tena hilo bango mwezi mmoja bado halitoshi alipie mwaka mzima.
Ohooo!!!Tena ukikutana nae live ndo unaweza shtuka...hyo industry ni balaa..usiwaone kwenye tv na wasap..live wanatisha hao..huyo gigy..sjui amba lulu sjui nan. Tena lulu diva ndo naendaga had kwenye genge lake la kishua pale kwa mwamunyange namkuta mara nying sanaaa..hawapo kama unavyowaona kwenye tv ...huyo zuchu ukikaona ni kama katoto kabisa yan..huwez amin..maua sama ndo balaaa..ruby ndo usiseme..huyo linah kuna siku nkawa namwangalia lips zake nasema hiv hawa madem wana matatzo gan..lips zmekatika katika balaa...yaan acha tu hawa wasanii..industry imeoza...hao wote niliokutajia nshakutana nao had kuongea nao...na wengne nmewaacha nmewastiri hapa
Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] ujumbe umefika my love!!@ERoni kuna ujumbe wako huku love.
Mbona hili linafahamika muda mrefu tuu toka walipofunga ndoasiri imefichuka wakuu...bwana Shaabani mme wa zamaridi ni mpwa wake na waziri mkuu kassim majariwa, kwa hiyo zamaridi anaendelea kuchonga mizinga ili kupata asali ya kutosha......." ukitembea na muuza pafyumu na wewe utanukia tu.
Wazee huu mtego mnauonaje sio wa kizamani kweli [emoji23][emoji23]missyrose Nami nakutakia valentine day nzuri nimeona siku isiishe bila kusema chochote juu yako moyo wangu utaumia wewe ni moja Kati ya watu peace usio na maneno mengi, smart kichwani bila kusahau una busara Sana na hekima, hiv ni vitu muhimu Sana kwa mwanamke yoyote yule mwenye malengo ya kuolewa lazima awe navyo hongera kwa kuwa navyo na Mungu akusimamia usibadilike.
Acha kujitangazia soko kindezi kama vip lipia tangazoMzigua90 Kuna vitu Unaweza kukuta huyo jamaa anavifanya kwa Zamaradi vinavyofanya Zamaradi azidi kumpenda jamaa Mfano mzuri Mimi kusema ukweli binafsi ni wakawaida sana na wala Sina fedha lakini wanawake niliobahatika kuingia nao kwenye mahusiano kipindi tofauti tofauti wananipenda ile mbaya mpaka najishangaa wengine Wananiona ni handsome lakini binafsi nikijicheki najiona wakaiwaida hata Wanaume wenzengu Wananiona kama navyojiona Mimi lakini nikaja kugundua personality ya upole, hekima, busara niliyonayo na maneno ya kimahaba ninayowaonesha ndio vinawa zinawavutia kingine na kikubwa zaidi ambacho wanawake wengi hawaongei ni kwenye sita kwa sita na mimi kwenye Hili eneo nipo vizuri Sana asilimia kubwa nawaridhisha ndio maana wananikubali.So huyo jamaa anaweza akawa na silaha ambazo kwa jicho la mtazamaji haoni lakini mwenye mali yake ndio anaona vizuri
Acha kutafuta utelezi kihuruma man,huu uvuvi unaotaka kuufanya hapa sidhan kama utafanikiwaKweli kabisa mioyoni mwao wanatamani wangekuwa wanafanyiwa wao hivyo vitu but ndio hivyo hawafanyiwi ndio maana wanaoneshachuki
Hahahahahah...mwamba anatega nyavu nying sana..yaan had mabomu anatumia..kutaka vua samakAcha kutafuta utelezi kihuruma man,huu uvuvi unaotaka kuufanya hapa sidhan kama utafanikiwa
Mwamba kajichimbia sengerema mdan ndan huko anatia swaga na chambo ndeefu sana avue samak.hahahahahahWazee huu mtego mnauonaje sio wa kizamani kweli [emoji23][emoji23]
Mwamba unachowaza wewe usinilazimishe yawe mawazo yangu may be kwenye maisha yako hujapata mwanamke anayekupenda kwa dhati ndio maana unapinga kauli yangu me nimechangia kutokana ninachokiona kama umewaza mengine hiyo ni shida zakoAcha kutafuta utelezi kihuruma man,huu uvuvi unaotaka kuufanya hapa sidhan kama utafanikiwa
Umeenda mbali Sana mzee baba si kila mwanaume anapigo kama hizo jitahidi kuheshimu Maoni ya mtuMwamba kajichimbia sengerema mdan ndan huko anatia swaga na chambo ndeefu sana avue samak.hahahahahah
Sent using Jamii Forums mobile app