Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.

Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.

View attachment 2118894

Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.

View attachment 2118895

Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.

Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Ha ha ha hapo mwisho hapo...kama tangazo la condom!!!
 
Tena ukikutana nae live ndo unaweza shtuka...hyo industry ni balaa..usiwaone kwenye tv na wasap..live wanatisha hao..huyo gigy..sjui amba lulu sjui nan. Tena lulu diva ndo naendaga had kwenye genge lake la kishua pale kwa mwamunyange namkuta mara nying sanaaa..hawapo kama unavyowaona kwenye tv ...huyo zuchu ukikaona ni kama katoto kabisa yan..huwez amin..maua sama ndo balaaa..ruby ndo usiseme..huyo linah kuna siku nkawa namwangalia lips zake nasema hiv hawa madem wana matatzo gan..lips zmekatika katika balaa...yaan acha tu hawa wasanii..industry imeoza...hao wote niliokutajia nshakutana nao had kuongea nao...na wengne nmewaacha nmewastiri hapa

Sent using Jamii Forums mobile app
Ohooo!!!
 
siri imefichuka wakuu...bwana Shaabani mme wa zamaridi ni mpwa wake na waziri mkuu kassim majariwa, kwa hiyo zamaridi anaendelea kuchonga mizinga ili kupata asali ya kutosha......." ukitembea na muuza pafyumu na wewe utanukia tu.
Mbona hili linafahamika muda mrefu tuu toka walipofunga ndoa
 
missyrose Nami nakutakia valentine day nzuri nimeona siku isiishe bila kusema chochote juu yako moyo wangu utaumia wewe ni moja Kati ya watu peace usio na maneno mengi, smart kichwani bila kusahau una busara Sana na hekima, hiv ni vitu muhimu Sana kwa mwanamke yoyote yule mwenye malengo ya kuolewa lazima awe navyo hongera kwa kuwa navyo na Mungu akusimamia usibadilike.
Wazee huu mtego mnauonaje sio wa kizamani kweli [emoji23][emoji23]
 
Mzigua90 Kuna vitu Unaweza kukuta huyo jamaa anavifanya kwa Zamaradi vinavyofanya Zamaradi azidi kumpenda jamaa Mfano mzuri Mimi kusema ukweli binafsi ni wakawaida sana na wala Sina fedha lakini wanawake niliobahatika kuingia nao kwenye mahusiano kipindi tofauti tofauti wananipenda ile mbaya mpaka najishangaa wengine Wananiona ni handsome lakini binafsi nikijicheki najiona wakaiwaida hata Wanaume wenzengu Wananiona kama navyojiona Mimi lakini nikaja kugundua personality ya upole, hekima, busara niliyonayo na maneno ya kimahaba ninayowaonesha ndio vinawa zinawavutia kingine na kikubwa zaidi ambacho wanawake wengi hawaongei ni kwenye sita kwa sita na mimi kwenye Hili eneo nipo vizuri Sana asilimia kubwa nawaridhisha ndio maana wananikubali.So huyo jamaa anaweza akawa na silaha ambazo kwa jicho la mtazamaji haoni lakini mwenye mali yake ndio anaona vizuri
Acha kujitangazia soko kindezi kama vip lipia tangazo
 
Acha kutafuta utelezi kihuruma man,huu uvuvi unaotaka kuufanya hapa sidhan kama utafanikiwa
Mwamba unachowaza wewe usinilazimishe yawe mawazo yangu may be kwenye maisha yako hujapata mwanamke anayekupenda kwa dhati ndio maana unapinga kauli yangu me nimechangia kutokana ninachokiona kama umewaza mengine hiyo ni shida zako
 
Back
Top Bottom