Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Ndoa zina mitihani sana aisee! Hapo nyie huenda maoneshwa mahaba kumbe kimsingi demu anataka ku play victim ili akiachwa mumuone jamaa sio kumbe demu ndio ana vipengele!
 
Umeongea kinature ya mwanamke kabisa....kidume ili upendwe na pisi kali ndalama ziwepo.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Demu akiwa ameishiwa options lazma ampende mwanaume yeyote tu anayemjia 😅 hili tunalijuaga sana na ndio maana KE wa above 30 ndio hujifanya wanajua sana kupenda na kuthamini wanaume.

Ila wakiwa 18-25 hapo sarakasi na mashauzi ni mengi sana.
 
Mkuu mwanamke akikupenda atafanya lolote kukufanya uwe na furaha. Kama mtu hujWahi kupendwa huwezi elewa ndo kinachosumbua kaka zetu wengi huku
I once experienced this kwa kweli ni raha tu unajihisi kama mfalme mara kama mtoto flani wa kishua😅 kumbe dah ni mapenzi tu! Tuliinjoy haswa simshangai Zamaradi
 
Mimi jana nilimnunulia saa na nimemkabidhi leo🥰
Zawadi zenu ni zile zile, Saa, Boxer na Vest hembu badilikeni jamani! Walau zawadi za million kadhaa na sie tujiskie. Mwenzenu kaweka 6M kumfurahisha bebi wake.

Sasa we vest za 12,000 na saa ya 35,000 boxer za 10,000 umemaliza😂😂😂
 
Inakuwa Pretty thing pale ambapo kuna millions za kufanyia upuuzi wowote unaojiskia kwa mpenzi wako.

Njaa ingekuwepo mwamba angepokea boxer na vest tu kama kawaida ya wanawake wengi😅
Alafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiat
 
Alafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiat
Hio si unapewa kila siku nuthn special
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…