Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Huyu jamaa amefanyiwa promo kindezi kweli. Hapo ataishia kuchakata ngozi mitaa yote ya Dar kwasababu tu alipewa turufu.

Huyo Zamaradi inawezekana hajiamini au kuna watu wanamsumbua na huyo mumewe ikabidi ajitokeze kuitangazia umma.

Inawezekana pia kuna kimbunga anakiona katika mahusiano ambayo anahisi kwa kufanya atalikwepa, yawekana mshakji ameanza kumchoka au jamaa ni mchakataji na ndoa ipo hatiani ikabidi ajaribu kurekebisha.


Pia inawezekana yeye mwenyewe anajindaa kumpiga mshakaji chini ila anaandaa mazingira, siku akiondoka jamaa aonekane kama yeye ndo kaharibu maana sisi tutaangalia kitendo hiki cha promo kama mapenzi ya dhati kumbe huko nyuma ya pazia, nyumba inawaka moto.


Ni jambo la kutafakari husuani ikitokea kwa mwanamke. She might be working on a big thing.

The rise and fall of a man is a woman.
Ndoa zina mitihani sana aisee! Hapo nyie huenda maoneshwa mahaba kumbe kimsingi demu anataka ku play victim ili akiachwa mumuone jamaa sio kumbe demu ndio ana vipengele!
 
Mapenzi mkuu. Mimi naogopa sana mapenzi maana unaweza ukafariki kwa mtu ambae huko nje wakikuona wanashangaa ni nini kinakutia kichaa. Bwana Shaban kwa macho ya sisi watazamaji ni mtu wa kawaida tu. Sidhani kama hata kifedha anamfikia Zama ila ndo kashapendwa
Umeongea kinature ya mwanamke kabisa....kidume ili upendwe na pisi kali ndalama ziwepo.🤣🤣🤣🤣🤣
 
Uoe singo mama mwenye watoto wawil na ana maradh yake tena yanajulikana public aisee..yule mwamba kwelkwel..hata mim ningempa tuzo..ndomana zamarad kaona ampende tuu mwamba....wee huon nandy anavyomganda nenga....sabab anajua..nenga kajitoa sadaka pale..hahahah...sis tuwe na makasiriko na zamarad kwa kipi hasa dada angu ..wanawake wapo tu..twawala twaacha...hakuna kipya..sanasana labda mdada thaman inapoisha kabisa na akajua..lazima jeur na mabega hushuka na kutulia...so hakuna kipya hapo..ni yeye tu kajitoa ufaham..kwamba ndo kapeeenda...then what....au la anatafta publicity...na hiv anataka aje na reality tv show yake ..bas anawaanda kisaikolojia..
Demu akiwa ameishiwa options lazma ampende mwanaume yeyote tu anayemjia 😅 hili tunalijuaga sana na ndio maana KE wa above 30 ndio hujifanya wanajua sana kupenda na kuthamini wanaume.

Ila wakiwa 18-25 hapo sarakasi na mashauzi ni mengi sana.
 
Mkuu mwanamke akikupenda atafanya lolote kukufanya uwe na furaha. Kama mtu hujWahi kupendwa huwezi elewa ndo kinachosumbua kaka zetu wengi huku
I once experienced this kwa kweli ni raha tu unajihisi kama mfalme mara kama mtoto flani wa kishua😅 kumbe dah ni mapenzi tu! Tuliinjoy haswa simshangai Zamaradi
 
Mimi jana nilimnunulia saa na nimemkabidhi leo🥰
Zawadi zenu ni zile zile, Saa, Boxer na Vest hembu badilikeni jamani! Walau zawadi za million kadhaa na sie tujiskie. Mwenzenu kaweka 6M kumfurahisha bebi wake.

Sasa we vest za 12,000 na saa ya 35,000 boxer za 10,000 umemaliza😂😂😂
 
Inakuwa Pretty thing pale ambapo kuna millions za kufanyia upuuzi wowote unaojiskia kwa mpenzi wako.

Njaa ingekuwepo mwamba angepokea boxer na vest tu kama kawaida ya wanawake wengi😅
Alafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiat
 
Alafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiat
Hio si unapewa kila siku nuthn special
 
Back
Top Bottom