Extrovert
JF-Expert Member
- Feb 29, 2016
- 70,785
- 186,690
Kwahio wadau wanajifanya kwamba hawaelewi kuwa Zama ana “banyamulenge”?Demu haamin mwana kampenda na hali yake hyohyo ya ki afya..dunia ina mambo meng hii..tehtehte...my bad
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kwahio wadau wanajifanya kwamba hawaelewi kuwa Zama ana “banyamulenge”?Demu haamin mwana kampenda na hali yake hyohyo ya ki afya..dunia ina mambo meng hii..tehtehte...my bad
Inaharibuje wakati tumbo linakatwa kwa chini sio kama zamani.Hahahahah operation ina haribu shepu ya tumbo bana
Bora wakate mbususu tuInaharibuje wakati tumbo linakatwa kwa chini sio kama zamani.
Ndoa zina mitihani sana aisee! Hapo nyie huenda maoneshwa mahaba kumbe kimsingi demu anataka ku play victim ili akiachwa mumuone jamaa sio kumbe demu ndio ana vipengele!Huyu jamaa amefanyiwa promo kindezi kweli. Hapo ataishia kuchakata ngozi mitaa yote ya Dar kwasababu tu alipewa turufu.
Huyo Zamaradi inawezekana hajiamini au kuna watu wanamsumbua na huyo mumewe ikabidi ajitokeze kuitangazia umma.
Inawezekana pia kuna kimbunga anakiona katika mahusiano ambayo anahisi kwa kufanya atalikwepa, yawekana mshakji ameanza kumchoka au jamaa ni mchakataji na ndoa ipo hatiani ikabidi ajaribu kurekebisha.
Pia inawezekana yeye mwenyewe anajindaa kumpiga mshakaji chini ila anaandaa mazingira, siku akiondoka jamaa aonekane kama yeye ndo kaharibu maana sisi tutaangalia kitendo hiki cha promo kama mapenzi ya dhati kumbe huko nyuma ya pazia, nyumba inawaka moto.
Ni jambo la kutafakari husuani ikitokea kwa mwanamke. She might be working on a big thing.
The rise and fall of a man is a woman.
Umeongea kinature ya mwanamke kabisa....kidume ili upendwe na pisi kali ndalama ziwepo.🤣🤣🤣🤣🤣Mapenzi mkuu. Mimi naogopa sana mapenzi maana unaweza ukafariki kwa mtu ambae huko nje wakikuona wanashangaa ni nini kinakutia kichaa. Bwana Shaban kwa macho ya sisi watazamaji ni mtu wa kawaida tu. Sidhani kama hata kifedha anamfikia Zama ila ndo kashapendwa
Sana kabisa na yanaweza kukudhalilisha ukasahau utu wakoMapenzi yana nguvu sana[emoji28]
Demu akiwa ameishiwa options lazma ampende mwanaume yeyote tu anayemjia 😅 hili tunalijuaga sana na ndio maana KE wa above 30 ndio hujifanya wanajua sana kupenda na kuthamini wanaume.Uoe singo mama mwenye watoto wawil na ana maradh yake tena yanajulikana public aisee..yule mwamba kwelkwel..hata mim ningempa tuzo..ndomana zamarad kaona ampende tuu mwamba....wee huon nandy anavyomganda nenga....sabab anajua..nenga kajitoa sadaka pale..hahahah...sis tuwe na makasiriko na zamarad kwa kipi hasa dada angu ..wanawake wapo tu..twawala twaacha...hakuna kipya..sanasana labda mdada thaman inapoisha kabisa na akajua..lazima jeur na mabega hushuka na kutulia...so hakuna kipya hapo..ni yeye tu kajitoa ufaham..kwamba ndo kapeeenda...then what....au la anatafta publicity...na hiv anataka aje na reality tv show yake ..bas anawaanda kisaikolojia..
Acha tu[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28] its so strange unayempenda kichizi wala hawazi kufanya mambo ya aina hio!
Wee tupe mbususu kwa style zote mambo ya pda sio mambo yetu wabongo, hayo kafanye na wazungu.Hawa viumbe jamani!! Wakipendwa taabu, tukiwaigizia napo taabu. Sijui wanataka nini walahi[emoji2297][emoji2297][emoji2297]
Unampenda mtu mpaka watu wanahisi una uchizi maana hawaoni maajabu ila ule upofu sasa unaweza ukamuona bambo kama chris brown😅Sana kabisa na yanaweza kukudhalilisha ukasahau utu wako
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
I once experienced this kwa kweli ni raha tu unajihisi kama mfalme mara kama mtoto flani wa kishua😅 kumbe dah ni mapenzi tu! Tuliinjoy haswa simshangai ZamaradiMkuu mwanamke akikupenda atafanya lolote kukufanya uwe na furaha. Kama mtu hujWahi kupendwa huwezi elewa ndo kinachosumbua kaka zetu wengi huku
😂😂😂😂😂😂😂Jamaa lenyewe bayaa.
[emoji13][emoji13][emoji13]
Zawadi zenu ni zile zile, Saa, Boxer na Vest hembu badilikeni jamani! Walau zawadi za million kadhaa na sie tujiskie. Mwenzenu kaweka 6M kumfurahisha bebi wake.Mimi jana nilimnunulia saa na nimemkabidhi leo🥰
Alafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiatInakuwa Pretty thing pale ambapo kuna millions za kufanyia upuuzi wowote unaojiskia kwa mpenzi wako.
Njaa ingekuwepo mwamba angepokea boxer na vest tu kama kawaida ya wanawake wengi😅
Hio si unapewa kila siku nuthn specialAlafu hawa wanawake wanatudharau sana mweli ukanipe zawadi ya boxer na vest baadala ya kusema bby leo tujaribu style ya msomali kafia kwenye fiat
Wakuelewa wameelewa😂Makampuni hufanya matangazo na promotion pale mauzo yanapoanza kusuasua na si kipindi mauzo yakiwa kwenye pick
Bkxer sii navaa kila leo...nothing special piaHio si unapewa kila siku nuthn special
Hahaaa halfu baadae unamsimanga mwenzio kua imetepeta. Halafu zama ukimuona unaweza amini amezaa kwa op watoto wake wote?Bora wakate mbususu tu
Duh sielewi yani huenda ni kweliHahaaa halfu baadae unamsimanga mwenzio kua imetepeta. Halafu zama ukimuona unaweza amini amezaa kwa op watoto wake wote?
Haya ufanye kusimamia vizuri uitwe baba na wewe umri unaenda.Duh sielewi yani huenda ni kweli