Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Sasa Mayunga unaenda oa bongo movie unategemea nini?Yule dada anapendaga kujifanya hapendi attention Ila Ni bonge moja la attention seeker...Kaka wa watu kabaki anashangaa na dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vitu vinatia aibu sana

Hahahahah
 
Hapo zamaradi anaona kama amemuonesha upendo mume wake kumbe ndio anaipalilia makaa ndoa yake.

Kwanini nasema hivi? Siku zote wanawake hawapendani. Mwanamke anaweza akawa na rafiki mwenzake wa kike na kila jambo kuhusu mahusiano yake anamuweka wazi shosti yake lkn utashangaa shosti anamzunguka na kumuibia bwana.

Kumuweka kwenye bango kumewapa "alert" mashosti na wanawake wengine kuhisi Zamaradi anaishi maisha ya raha wkt wao kutwa kucha wanateseka na ndoa. HAWATOFURAHI. Mwisho wa siku watakimbizana kwa huyo jamaa na kumpa mitego ya kila aina na sidhani kama ataweza kuikwepa na mwisho atamsaliti na upendo walioujenga kwa miaka zaidi ya mitano kuisha na kuishia kupost status za kinyonge kutuita wanaume wote ma mbwa...

Haya mambo ya kuonyesha jamii umezama sana kwenye huba tuwaachie wenzetu. Huwa nawaheshimu sana wanaopendana kwa dhati na kuishi private life.

Anyways kupanga ni kuchagua.

Sent using Jamii Forums mobile app
Siyo mbaya kwakua hayo ni mawazo yako.

Let her express her love for her husband na msimpangie how to do It !!!!!!
 
Huyo manzi kaumizwa Sana , alaf pia inasemekana ( sina uhakika) kiafya ameparanganyika , ana viashiria vya Sonona , huyo mwamba aliyejitupa kwake anaona ndo tumaini la mwisho, mkija kuachana lazima uwe overstressed Kwa vijembe vya wanazengo , ni ujinga wa standard gauge

[emoji3][emoji3][emoji3]dah
 
Kumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba. Hivi unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh.

Ni upumbavu uliokithiri na kujichora. unakuta mpenzi mwenyewe huko njr ni kicheche balaa kwahiyo unajichora tu kwenye mabango
 
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.

Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.

View attachment 2118894

Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.

View attachment 2118895

Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.

Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Kuna. Mtu kaanzisha uzi kule kumuweka bango mpenzi wako siku ya valentini ni ulimbukeni, atakuwa moja ya michepuko wa zamaradi nini?

Kwa bango hilo. Aisee ntakupenda zaidi jana wala tusiwe wanafiki, mwanamke kaonesha matumizi sahihi ya pesa, sio wengine ni sina hela kila siku.
 
kuna. mtu kaanzisha uzi kule kumuweka bango mpenzi wako siku ya valentini ni ulimbukeni, atakuwa moja ya michepuko wa zamaradi nini?

kwa bango hilo. aisee ntakupenda zaidi jana wala tusiwe wanafiki, mwanamke kaonesha matumizi sahihi ya pesa, sio wengine ni sina hela kila siku.
Ni wivi tu na roho mbaya.

Angefanya mzungu hapo ingekua sawa ila kwa kua ni Mtanzania wanaona eti ulimbukeni...
 
Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.

Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.

View attachment 2118894

Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.

View attachment 2118895

Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.

Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Kama ya mahondaw na Smart911 yalivyokuwa enzi hizo JF. Hii huwa ni kujihami
 
KWA UPANDE FLANI NA MUUNGA MKONO YULE DADA


ZAMA ZETU HIZI, WANAUME HATUSEMWI KWA MAZURI. TUNAONEKANA MSHETANI, MBWA, WATU KATILI!
ANGALAU HUYU KATI YA MILIONI 5O KAWEZA SIMAMA HADHARANI NA KUSEMA UKWELI.
Umenena vyema,hawa ndio wale above 30yrs,sasa kafikia mahali pa kupenda kwelikweli...
 
Back
Top Bottom