Zamaradi Mketema aweka ujumbe wa siku ya Valentines kwa mumewe kwenye bango Morocco, Dar es Salaam

Kumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba
Hiv unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh
mapenzi ni kitu ya kufurahia. Ninachoamini mimi ni;
Ukiwa na mtu unaempenda fanya kila kitu kinachokupa furaha. Siku yakiisha usijutie. Ishi, furahi mpk mwisho as long as anakupa furaha.
Huo ujinga wa eti cjui ulimbukeni cjui nini acheni kujikuta nyie ndo mnazijua kanuni za mapenzi [emoji16][emoji16]naona mna stress tu usikute mshapigwa huko ndo mana mnakuja kuleta hizo mambo huku.
Kama kumueka mtu kwenye bango ni kitu unafurahia muweke kila sehem kila mtu amuone ndo ufurahi.
Mapenzi hayana kanuni wala formula eti ulimbukeni mnaishi maisha kulingana watu wanavotaka au wewe unavotaka?
 
Basi awakodishe IMANI,UPENDO na MIUJIZA tujue moja.
 
Si halali mtu kutymia mali zake anavyotaka?😁.Huyu mdada ajaanza hapo kila akiamka huko mjini instagram anafanya kumsifu huwezi jua love language ya mpenzi wake ni kusifiwa hivyo akimsifia upendo unaongezeka juu yake.Naona hamna ushamba ni jinsi tu penzi lao lilivyo hata mawazo yako pia ni sahihi mkuu
 
Kumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba
Hiv unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh
Sasa Mayunga unaenda oa bongo movie unategemea nini?Yule dada anapendaga kujifanya hapendi attention Ila Ni bonge moja la attention seeker...Kaka wa watu kabaki anashangaa na dunia🤣🤣🤣🤣🤣Kuna vitu vinatia aibu sana
 
Back
Top Bottom