Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,725
- 1,995
Sasa Mayunga unaenda oa bongo movie unategemea nini?Yule dada anapendaga kujifanya hapendi attention Ila Ni bonge moja la attention seeker...Kaka wa watu kabaki anashangaa na dunia[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kuna vitu vinatia aibu sana
Exactly.
Binafsi hili ndilo nililoona hapa. Huyu binti na Mumewe wamelenga jambo lao, siyo bure..
Siyo mbaya kwakua hayo ni mawazo yako.Hapo zamaradi anaona kama amemuonesha upendo mume wake kumbe ndio anaipalilia makaa ndoa yake.
Kwanini nasema hivi? Siku zote wanawake hawapendani. Mwanamke anaweza akawa na rafiki mwenzake wa kike na kila jambo kuhusu mahusiano yake anamuweka wazi shosti yake lkn utashangaa shosti anamzunguka na kumuibia bwana.
Kumuweka kwenye bango kumewapa "alert" mashosti na wanawake wengine kuhisi Zamaradi anaishi maisha ya raha wkt wao kutwa kucha wanateseka na ndoa. HAWATOFURAHI. Mwisho wa siku watakimbizana kwa huyo jamaa na kumpa mitego ya kila aina na sidhani kama ataweza kuikwepa na mwisho atamsaliti na upendo walioujenga kwa miaka zaidi ya mitano kuisha na kuishia kupost status za kinyonge kutuita wanaume wote ma mbwa...
Haya mambo ya kuonyesha jamii umezama sana kwenye huba tuwaachie wenzetu. Huwa nawaheshimu sana wanaopendana kwa dhati na kuishi private life.
Anyways kupanga ni kuchagua.
Sent using Jamii Forums mobile app
Huyo manzi kaumizwa Sana , alaf pia inasemekana ( sina uhakika) kiafya ameparanganyika , ana viashiria vya Sonona , huyo mwamba aliyejitupa kwake anaona ndo tumaini la mwisho, mkija kuachana lazima uwe overstressed Kwa vijembe vya wanazengo , ni ujinga wa standard gauge
Kinachokupa furaha kifanye kuwa siri
Amekosa wa kumuweka kwenye bango
Tatizo huna ujuzi wa haya mambo. Ni kujihami tuKumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba. Hivi unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh.
Iko hivyo mkuuna mkitaka kuyafurahia lazima muende kihivo kitoto toto. mdekeze ic sio mnakaa wapenzi ila mpo kama mtu na baba yake wa kambo. ukitaka kumkiss anaona unaleta utoto. ataenda kutafuta wanaoweza kumdekeza afurahi.
Kumuweka Mpenzi wako kwenye Mabango ni Ulimbukeni tu na Ushamba. Hivi unaweza kumpenda mtu kiasi kwamba unambandika kwenye mabango duh.
Amtoe wapi maana Ana se-x partner tuMayunga una mpenzi?
Tuanzie hapo.
Kuna. Mtu kaanzisha uzi kule kumuweka bango mpenzi wako siku ya valentini ni ulimbukeni, atakuwa moja ya michepuko wa zamaradi nini?Mtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
View attachment 2118894
Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.
View attachment 2118895
Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.
Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Ni nadra pia kuvikuta sehemu moja.Vyote viwili vinaenda sambamba pesa + kukojozwa
Ila kweli🤔🤔🤔🤔wewe umenifumbua machoSio jambo lepesi kuvumilia na kuoa singo maza yenye mtoto zaidi ya mmoja.
Tena hilo bango mwezi mmoja bado halitoshi alipie mwaka mzima.
Ni wivi tu na roho mbaya.kuna. mtu kaanzisha uzi kule kumuweka bango mpenzi wako siku ya valentini ni ulimbukeni, atakuwa moja ya michepuko wa zamaradi nini?
kwa bango hilo. aisee ntakupenda zaidi jana wala tusiwe wanafiki, mwanamke kaonesha matumizi sahihi ya pesa, sio wengine ni sina hela kila siku.
Kama ya mahondaw na Smart911 yalivyokuwa enzi hizo JF. Hii huwa ni kujihamiMtangazaji Zamaradi Mketema ametrend sana kwenye mitandao ya kijamii kutokana na kukodi Bango na kuweka ujumbe wa mahaba kwa mume wake kama zawadi ya siku ya valentines.
Bango hilo liko maeneo ya Morocco Dar es Salaam ambayo ni barabara anayopita mumewe kila siku.
View attachment 2118894
Zama amesema kuwa mumewe Bwana Shabani alifurahi sana alipompeleka eneo la tukio hadi machozi kumtoka.
View attachment 2118895
Bango hilo litakaa kwa muda wa mwezi mzima.
Note: Madanga ya shemeji yetu yajipange pamoja na mke mkubwa (kama yupo) mwenzao kawazidi kete bango kuubwa kama tangazo la Condomu.
Umenena vyema,hawa ndio wale above 30yrs,sasa kafikia mahali pa kupenda kwelikweli...KWA UPANDE FLANI NA MUUNGA MKONO YULE DADA
ZAMA ZETU HIZI, WANAUME HATUSEMWI KWA MAZURI. TUNAONEKANA MSHETANI, MBWA, WATU KATILI!
ANGALAU HUYU KATI YA MILIONI 5O KAWEZA SIMAMA HADHARANI NA KUSEMA UKWELI.
Amevuka mipakaHahaaa Zamaradi Umetisha🤪
Na zmeshamtoa anainjoy sasaMaisha ya sinema yalisha mgharimu sana Zamaradi, lakini naona haiishi kukoma bado...
Sent using Jamii Forums mobile app