babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 14,478
- 18,341
Umesahau tuIla kakake mwamy, January kamzalilisha Sana tu
DuhHalafu kuna watu rôlemodel wao.Yaani mtu kafika hapo alipo kwa kumseduise Ruge,akampa K mpaka akabeba mimba,akazaa .Ruge akampa maisha .Ndo leo eti anaonekana mchakarikaji.
Lakini mbona zam hajatokea familia mbaya kivile inawezekana Ana mawe banaHaswaaa dear [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Duh basi siku hizi hakuna siri tenaZinavuja document za Ikuluuu Hukoo za Sirii kabisaa ndo hizo za CRDB??? Helaa inanunua chochote nduguuu
Nyumba ipi ya urithi au nyumba ya kina zamaradi"Siku Mange akipost nyumba ya ulisi watu watazalilika labda Mange asiwaripe hao watoa habali."
Hahaha nimemqoute shemeji Shabani - Mme wa Zamaradi.Nyumba ipi ya urithi au nyumba ya kina zamaradi
Ova
Zama Kwa muonekano wa nje ni mtu safi,ila Kwa ndani Kuna matatizo maana mabestfriend wake wote haongei nao kuanzia,Dina Marioss,Faiza Ally,Shamsa Ford,Irene Paul wote wanasema aliwafigisu
Na Kweli,maana Kwa Nini hanenepi?Siwasemi vibaya kina BETINA ila ukiona mdada wa kibongo ana Mipunga halafu mwili umemkataa wakati mimi namuona kila siku anapark vogue lake T3*6 EA* pale Open Kitchen anakula mapochopocho halafu bado yupo namba moja(hanenepi) basi ujue ROHONI hakunjuki(Roho Mbaya).
Na Kweli,maana Kwa Nini hanenepi?
Na Kweli Wana visasi,si umeona huyu ghafla kawekwa lumandeVisasi/Roho mbaya inamtafuna.
Kuna unasoma gazeti unaona sahihi?Ume kariri ujinga, kaweka evidence kuwa jamaa hadai hata 100.
👉Tafuta hella, uache kuforce Mambo ya ajabu.
View attachment 2741837
Pumba..Kama pumba ..et ujuavyo hawazi kushindwa Kulipa...umjitambulisha ili ukuite akupe kazi au? Vp unamshobokea zamaradi badala ya kumtetea Huyo dogo.Nimjuavyo Dada Zamaradi Mketema Classmate wangu SAUT Mwanza Darasa letu la BAMC 2006 - 2009 ( japo hakuendelea tena Kusoma ) na Kujikita na Business Deals zake zingine si Mtu Mswahili na Mpuuzi wa Kushindwa Kumlipa huyo Mtu hiyo Pesa.
Sometimes ukiwa Tajiri au na Mafanikio ya Kimaisha Maadui zako hupenda Kukuharibia kupitia Watu wako wa Karibu wakiamini kwa Upumbavu ( Upopoma ) Wao kuwa Watakushusha wakati kumbe ndiyo wanazidi Kukupaisha tu Kiumaarufu.
HahahahahaPunguza asila [emoji1787][emoji1787]
Walichambana Mwamvita akavujisha chati za Mange alizokua anamtumia alivokua anacheat na jamaa mmoja hivi akawa anamsifia mpk akasema nusu ampe tigoNi kweli nilisahau tu, mange alishawahi kumchamba Sana mwamvita. Nadhan ilikuwa kuhusu yule mumewe mzungu. reymage mwamvita alishawahi kuchambwa buana nikikumbuka vizuri ntakusimulia [emoji23][emoji23]
Mume wa zama huyooo, muandiko wa mkaka mwenye bango lake mjiniii.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Atakua mrudi kigoma ni warundi,wakongo...watusi wako karagwe, ngara na geita kidogoWapo ndiyo haujui?Hata huko kwao Rwanda huwa anakwenda.
Nyarwanda yule,kuna kipindi alikwenda Rwanda kwenda kusalimia ndugu zake.Atakua mrudi kigoma ni warundi,wakongo...watusi wako karagwe, ngara na geita kidogo