Zamaradi Mketema wa kukosa Tsh 200,000/= kweli. Malipo kwa wafanyakazi

Mleta mda na hata jamaa yule kasema Zamaradi tv na sio zamaradi.
 
Anaitwa meggy analalamika ajalipwa pesa yake miezi 24 sasa sawa na million 19. Anayoidai Zamaradi TV.
Hii apa anaidai zamaradi TV, na sio zamaradi.

Na mleta mada kasema kwamba meggy alimuomba zamaradi 200k akamwambia sina nitakutafutia .

Sijui mumemuelewa.
 
Unabeba liability,kwa kutoa ya kwako unaiandikia ukipata faida unarudisha kwako
 
Nasikia zama.na mumewe wamemtia ndani jamaa?
Inasikitisha sana kama ni kweli
Yani mkuu rushwa inatembea sana hii nchi yani mtu anakuandalia vipindi vizuri kwenye TV yako ile mpk watu wanaangalia afu unamzalau namna hii. Ndio mkataba ulishaisha ila aliendelea kufanya kazi pale inaonyesha maana vipindi vikubwa yeye ndo alikuwa director.

Sasa anamuita daywaker. Daaaa ni ujanja tuu mkuu.
 
Hii apa anaidai zamaradi TV, na sio zamaradi.

Na mleta mada kasema kwamba meggy alimuomba zamaradi 200k akamwambia sina nitakutafutia .

Sijui mumemuelewa.
zamaradi-mketema-wakukosa-tsh-200-000-kweli-malipo-kwa-wafanyakazi.

Point zangu zote zinajibu hilo hapo sio ajabu hata kwa Dangote kukosa 200k at any given time kwa ajili ya matumizi fulani fulani - ama sivyo unaweza ukajikuta ufanya kazi ya kuwatafutia watu hizo 200k
 
Kama jamaa,kawekwa ndani,happy sawa,ili aweke mambo sawa.Itajulikana kama Zamaradi ndiye mwenye makosa au laa!
 
Kama jamaa,kawekwa ndani,happy sawa,ili aweke mambo sawa.Itajulikana kama Zamaradi ndiye mwenye makosa au laa!
 

Ni kawaida yake kutokulipa.

Utapeli tuuu kujitetea kwingi.
Na nyie mnatetea watu.

Huyo jamaa alimuomba zamaradi hio 200k akasema hana , 😀😀😀.
Nafikili ni uchoyo tuuu.

Rogo mbaya tuuu.
 
Hio ishu inawezekana ni kweli huyo jamaa anaakili timamu kabisa awezi amka asubui na kuanza kusema anadaiwa tuu.

Inaonyesha ni kweli.
Maana zama na mume wake wamekimbilia kituo cha police kawe na kumuweka ndani kijana.

Wapo wengi tuu wamezulumiwa haki zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…