Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nyinyi mnapokuwa na mafanikio na ushindi mnadai Nchi ni yenu kwa misemo ya Nchi inawenyewe.Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,
"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Zamaradi ameonesha kiwango kidogo sana cha kuchambua maswalaHilo swali la watu kutokua na uzalendo angewauliza viongozi wa serikali wanao kwapua na kufanya ufisadi Kila siku, yeye akiwa mzalendo inatosha asiwapangie Cha kufanya wasiotaka kua wazalendo
Hasira za nini Mkuuu?Umaskini chuki na roho ,hao wanaijeria hata kutunga nyimbo hovyo kama bongo tu ,ukitafsiri mashairi ya hovyo unakuta mtu eti anashabikia Asake yulee hata kuimba hajui.
Hapa bongo kama wote wapo against ya Diamond kama wanamchukia ila akikosa tunzo bado wanamlaumu yeye.... Tanzania ujinga ni mwingi sana wanafurahi mtu kukosa ndio hawa waliandaa petition ili mtu ashindwa eti kwa mlengo wa siasa.
Pambaneni na ujinga wenu ,kila kitu mnaleta siasa msanii nje ya kipaji chake ana haki ya kupiga kura na kuchagua chama chochote.
Watz ni wabinafsi sana. Yeye Mambo yakimwendea hana habari na wenzake.Apambane na hali yake. Yeye aliyokua anawafanyia wenzie pale clouds wakati ruge anamlala hakuuona uchawi ule?
Toa ujinga wako wa siasa .!!Hasira za nini Mkuuu?
Mnataka uzalendo kwenye Kukata mauno?
Kila mtu apambane na hali yake.
Kwenye Ufisadi na wizi wa mali za umaa kimya.....kwenye Mipira na Kukata mauno Mnataka Uzalendo
Wafrika mmerogwa.
Mwambie Nigeria sio Tanzania lakiniMtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,
"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 [emoji3578]
Pambana na stress zako usituletee huku ni sehemu ya burudani tu.Toa ujinga wako wa siasa .!!
Fanya kazi uchawa wa siasa mwanaume haupendezi ... Umaskini utakumaliza punguza chuki.Pambana na stress zako usituletee huku ni sehemu ya burudani tu.
CCM imetufundisha na kulea kuchukiana hususan kama siyo mwanaCCM basi hata usalama watakuchukia.Mtangazaji Zamaradi Mketema amechukizwa na tabia ya Watanzania kutokuwa wazalendo kwenye masuala ya kitaifa hususani kwenye mashindano yanayohusisha nchi na nchi.
Kupitia ukurasa wake wa Instagram zamaradi amesema,
"Msanii wa NIGERIA akikosa tuzo ama hata kushindwa kwenye shindano lolote unayaona kabisa maumivu ya WANIGERIA, wananchi wao huumia kutoka moyoni, Njoo huku kwetu sasa, MSANII akikosa Tuzo ama shindano lolote ndio unapoishuhudia wazi kabisa FURAHA ya Watanzania, kiufupi kushindwa kwa wasanii wetu ni furaha na Vigelegele kwetu huku vicheko na maneno ya Dhihaka yakisindikiza kushindwa kwao, hivi somo la UZALENDO limekuwa Gumu kiasi hiki Tanzania!!!? WENZETU WAMEWEZAJE!!? Na sisi Tulirogwa na nani!!!??" - Mketema
Nini maoni yako?
Written by Mjanja M1 ✍️
Siasa unaikwepa vipi wakati inaamua maisha yawe magumu au rahisi !?Fanya kazi uchawa wa siasa mwanaume haupendezi ... Umaskini utakumaliza punguza chuki.
Hahahaaa.......hayo aliyoyafanya yatamkuta tu siku moja in the same wayRuge alipompoteza Zamaradi alifanya jitihada ya kumtafuta na kumpigia simu ambapo kwenye simu hiyo, Ruge alisikika akilia akimuomba Zamaradi asimuache, lakini Zamaradi akavujisha mazungumzo yao na kilio cha Ruge kwa rafiki zake au mitandaoni...Je, Zamaradi alirogwa na nani?
Fanya kazi uchawa wa siasa mwanaume haupendezi ... Umaskini utakumaliza punguza chuki.
Endeleeni kukata mauno mkisubiri kupewa sifa.Fanya kazi uchawa wa siasa mwanaume haupendezi ... Umaskini utakumaliza punguza chuki.