Zamaradi: Niacheni na mishentown wangu

Unajua NDIO maana huwa nataman,,, watu wasiojulikana waanze kudeal na JF ...humu JF kuna kudhalilishwa kwa viongozi kuliko vuka mpaka !!!


Ngoja ,niendelee kuangalia ,, naamini kuna jambo zuri litafanyika kwa ajili ya JF na kuruhu nzima....,haiwezekan ,,,,kuwe na social media ambayo watu wanaitumia kuwatukana viongozi ,alafu iachwe achwe tu ,,Nayo nikuipiga BAN kama imeshindwa kuwawajibisha watumiaji wake.


HATA mitandao mingine huwa wanatoa adhabu za kwa watumiaj wao ,,,,, Kosoeni viongozi wanchi lkn Heshima yao iendelee kulindwa ,,,

alafu unakuta kamtu kanatukana oooohhhh ,, kesho nakesho ,,kanakua kapoleee misili ya MTU alopewa adhab ya kifo !!! ..

Muwe mnachunga midomo yenu ,,, yaaan nyie MAISHA yawatu binafsi lazima myaunganishe na viongozi ,, na bado mnatumia vibaya Uhuru wenu wakuongea ,,, mkishugulikiwa ,,, mnaanza kulia lia ....akili za wabongo sijui nan aliwaroga ...kutukana watu wakwanza ,,wakianza kudeal nanyinyi mnalia lia .

We dare to talk openly lkn SIO kwa stail hii kabisaaa ,,,, Sasa endeleen ,,, Muulize LEMA ,,muulize Manji ,,,, viongozi nikiongozi WAKO tu na ananguvy mkubwa sana ,, uwe unahela uwe masikin ,,, Nguvu ya kiongozi nikubwa zaidi .

Wengine humu ,ndo maana hampati kazi ,,mhitimu zaman sana ,,lkn daily mpo pale pale..

Sasa kwa Taarifa mtaendelea kuganga njaaa na umasikini tuuu[emoji23] [emoji23] .Usidanganywe na Intavyuuu unayofanya ,,, SIKU HIZI AJIRA ZA SERIKALI WAOMBAJI WAKE WANAKUA SCREENED SANAAA NA USALAMA NDIO UIPATE HIYO KAZI.

KWAMANTIKI HIYO WENGI TUTAENDELEA KUGANGA NJAAA.

mwisho niseme,,,, Tukosoe viongozi bila kuvunja heshima na Utu wao.
 
Wewe Utakuwa Uvccm tu.
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] umbea wa mange unanifurahisha huwa unawaanika na wengine kama hivyo linah, neyonce, feza na nandy huyu handy kama ana bf wanaweza kuachana hivi hivi maskini
nimecheka..eti feza kesi alivalishwa pete mbele ya sanam st peters, fina mango alipelekwa hadi kwenye makaburi ya ukoo! haa haaa Mange sio mzima walahi
 
UONGO TUUU NDO UMEWAJAAA ,,NDIO MAANA WENGI WENU HAMUOLEWI TUUU.KWA KUSHABIKIA UONGO.


IVI KILA KITU KINACHOTOKEA NIBASHITE TUUU ??????
haya habari za Russia...maana inaonekana ndio imeshuka kwenye ndege....aliyesema bashite anahusika sio watu wa jf bali ni soudy brown wa clouds media, sie humu tuna report tu...
ukianza kutu attack sie utakuwa unatuonea tu...
 
UONGO TUUU NDO UMEWAJAAA ,,NDIO MAANA WENGI WENU HAMUOLEWI TUUU.KWA KUSHABIKIA UONGO.


IVI KILA KITU KINACHOTOKEA NIBASHITE TUUU ??????
Kumbe Jf wote wanawake πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€πŸ˜€ Uongo umetujaa Ndio maana hatuolewπŸ˜€πŸ˜€
 
Jamani naomba kuuliza, umalaya huu wa Ruge ulianza baada yakuwa na Zamaradi au na Zamaradi ni miongoni mwa hao wateja wa umalaya wa Ruge??
Dahhh!watu mmepinda[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji6]
 
[emoji28] [emoji28] [emoji28] umbea wa mange unanifurahisha huwa unawaanika na wengine kama hivyo linah, neyonce, feza na nandy huyu handy kama ana bf wanaweza kuachana hivi hivi maskini
Yaani anafukua wotee loooh[emoji6] [emoji6] [emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…