Qumamako wewe na usalama.Wewe hivi unadhani kujiita Miss natafuta kwenye mtandao VPN code zako hujulikana, Ni vizuri ukaheshimu mamlaka kuu, usiite bashite huku unaishi mbezi Beach tena mlinzi wako ni maombi yako ya dini be carefull, Hii ni nchi hakuna siri kwa usalama wa taifa, Wewe na ukoo wako ni sehemu tu ya watu milioni 45 ,Take care andika ukweli story za kutunga zitakucost sana
Yaani mange looohh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimemgawaaanimecheka..eti feza kesi alivalishwa pete mbele ya sanam st peters, fina mango alipelekwa hadi kwenye makaburi ya ukoo! haa haaa Mange sio mzima walahi
Desperate man!!UONGO TUUU NDO UMEWAJAAA ,,NDIO MAANA WENGI WENU HAMUOLEWI TUUU.KWA KUSHABIKIA UONGO.
IVI KILA KITU KINACHOTOKEA NIBASHITE TUUU ??????
Ruge ana maadui wengi yumkini zama hajamrekodi ila watu wa mawasiliano ndo wamevujishaHuyu Mange ndo anazidi kumuharbia Zamaradi kwanza inaonekana Zamaradi ndio aliemrekodi Boss Ruge, sizani kama hii ni sahihi ukifkria kwamba wale ni wazazi, mulio karbu na Mange mwambieni pale anaiharbu familia wala hamdharirishi Ruge.. Alafu mambo ya ndani kurecordiana ndo nn.. Alafu bado mnamuita Zamaradi yupo smart upstairs kweli unamrekodi mzazi mwenzako alafu unarusha mitandaoni, hv watoto wakikua wakiona ile hali baba yao analia hadharani itakuaje...
Mbwa kala mbwa hiyoooila ruge kuwatumia vijana wake wa shilawadu kumzalilisha zama ni sawa eeh!!
je watoto watajisikiaje kuona mama yao anasemwa eti alikua desperate na ndoa hadi akaamua kuolewa na shamba boy wa majaliwa!!
UONGO TU NDO UMEWAJAAA NDO MAANA HAMUOLEWI NAMTABAKI HUMUHUMU.Desperate man!!
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
HASWAAAAA MIMI NI UVCCM PIWAAAAA ...SIO MIMI TUUU ,,FAMILIAAA NZIMA NI CCM ,ALMOST UKOO MZM CCMWewe Utakuwa Uvccm tu.
Majukwaa mengine huyaoni wewe umefata nini asubuhi asubuhi Humu.UONGO TU NDO UMEWAJAAA NDO MAANA HAMUOLEWI NAMTABAKI HUMUHUMU.
YAAAN MNAKUA INTERESTED NAMAISHA YA WATU WENGINE KULIKO HATA MAISHA YENU ,,,,SHAME ON YOU !!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
[emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] poleUONGO TU NDO UMEWAJAAA NDO MAANA HAMUOLEWI NAMTABAKI HUMUHUMU.
YAAAN MNAKUA INTERESTED NAMAISHA YA WATU WENGINE KULIKO HATA MAISHA YENU ,,,,SHAME ON YOU !!![emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57]
Nikosa kisheria kupokea na kusambaza taarifa Zisizo za kweli...haya habari za Russia...maana inaonekana ndio imeshuka kwenye ndege....aliyesema bashite anahusika sio watu wa jf bali ni soudy brown wa clouds media, sie humu tuna report tu...
ukianza kutu attack sie utakuwa unatuonea tu...
WENGI niwanawake nawanaume Wa dar !!!.ambao Mara nyingi huwezi kuwatofautisha.Kumbe Jf wote wanawake ππππππ Uongo umetujaa Ndio maana hatuolewππ
UONGO NIKUUFATA HUKO HUKO ULIKO . KABLA HAUJAFANYA UHARIBIFU.Majukwaa mengine huyaoni wewe umefata nini asubuhi asubuhi Humu.
Kwendraaaa huna jipya . Nenda Kwenye kilimo na siasa kahubiri risala ZakoNikosa kisheria kupokea na kusambaza taarifa Zisizo za kweli...
Au ID fake NDIO zinawachanganya ???? acheni ,ushwahili...huyo MTU wenu ,mbn kaifuta iyo habar ??????
Ruge kakosea Kakosea ....zamarad nimtu mzm anajua nn anafanya ......
Ndo maana HAMUOLEWI ,kwasababu umekosa akili za kufanya maamuzi sahihi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
[emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji57] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] sema hongera ..... Sijawahi kupewa pole ,,nje ya msiba .[emoji6] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] pole
mtu unatambulishwa hadi kwa wahenga na bado huolewi khaah.....eti akikuchumbia ufiche na wedding dress usinunue hadi akwambie ndoa kesho.Yaani mange looohh[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] nimemgawaaa