Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Tija ya multiparty system huwa hakuna,waulize hao Wazambia toka wameanza kubadili vyama nini cha maana kingepatikana kwenye hiyo nchi yao.
In any fight, we never rely on Negativity as you have sited here!! "Uoga juu ya mabadiliko niko mnyororo wa Wajinga!!
 
We mzee kweli unazeeka vibaya nmekwambia ni 40% ukitoa mapingamizi bila mapingamizi ni hyo 34%...
Na wewe mtoto unakua mwili bila akili kichwani. Unashindwaje kuelewa kuwa iwapo wagombea wa CCM walipita bila kupingwa ina maana hawakuwa na wapinzani; mwaka jana tu Nape naye kapita bila kupingwa tena uchaguzi wa Bunge bila kuwepo kwa pingamizi lolote.

Kuwekewa pingamizi ni utaratibu wa kisheria, hata Lissu alimwekea pingamizi Magufuli, sheria ikafuata mkondo wake; kuwekewa pingamizi lika-stay maana yake ni kwamba mgombea aliyewekewa pingamizi hilo ana dosari kweli.
 
Wakati huo polisi wakimnyanyapaa

 


This video speaks for itself about our man Hakainde Hichilema Zambian President-Elect. Will he deliver on his promises. It is upon the Zambians to decide. However, we still can learn something from this man.
 
THIS COUNTRY IS SO RICH! Has recently become a standard phrase by all politicians southern of the Sahara.
 
Back
Top Bottom