Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Zambia: Hakainde Hichilema atangazwa mshindi wa Urais

Sio katiba viti maalum ni kura za ubunge tu, tena inatumika D'Hondt method of proportion kwa thresholds ya 5%. Hivyo chama kikivuka overall kura za ubunge 5% inakuwa eligible kupata allocation ya viti maalum based on % ya kura ilizopata vis a vis za washindani wake...
Hesabu mbovu tu hizo; kwani unataka kuchukulia kuwa upinzani hushinda viti vya mijini kwa landslide wakati hali siyo hivyo, huwa wanashinda kwa margin ya kawaida tu (normally up 60%) ambayo hufutiliwa mbali kabisa na kura za vijijini.

Halafu vile vile unajiaminisha kwa makosa sana kudhani kuwa watu wa mijini ni wengi kuliko watu wa vijijini wakati population distribution ya Tanzania bado ni 65% vijijini, na 35% mijini kulingana na ripoti ya world bank ya mwaka jana. Sasa iwapo wapinzani watachukua 60% ya kura za mijini, na 10 % ya kura vijijini, utaona kuwa upinzani utakuwa umevuna 28% tu ya wapiga kura wote ambazo zinanagawanywa kwa vyama zaidi ya kimoja (siyo CUF, CHADEMA na ACT tu)!

Kwenye uchaguzi wa mwaka jana ndiyo hoi kabisa kwani hata hizo 60% za mijini hawakuzipata, waliishia 40% tu, na kule vijijini nako hawakufikisha hata 10%, kwa hiyo waliishia 21% ambayo ndiyo wagawane vyama kadhaa: UDP, TLP, CUF, CHADEMA, ACT, NCCR-Mageuzi, CHAUMA, etc.

Hata tukisema kuwa CUF, ACT na CHADEMA ndio waliopata kura nyingi, inawezekana wote kwa pamoja walipata 85% ya kura zote za upinzani, hali itakayopa 17.5% wakigawana kwa proportions za 3:4:5, kuna kimoja kitakuwa n 4.4% (hakitapata hata kiti kimoja) vivyo vingine viwili vitagawana viti 21 tu,
 
Huyu hajakutana na maaudhi ya wanasiasa wa upinzani wakati ukiwa umeshikilia mpini wa upanga. Hata wakina Mbowe waliambiwa maneno hayo juzi kati. Kiko wspi?
 
Hesabu mbovu tu hizo; kwani unataka kuchukulia kuwa upinzani hushinda viti vya mijini kwa landslide wakati hali siyo hivyo, huwa wanashinda kwa margin ya kawaida tu (normally up 60%) ambayo hufutiliwa mbali kabisa na kura za vijijini...
Mzee nmetoa hoja kutumia takwimu za uchaguzi wa serikali za mitaa mbona hujibu?? Last competitive election ya grassroots na upinzani ulipata 40% ya mitaa/vijiji ukiacha mapingamizi. Ila hujagusia hiko?

Nmeelezea CHADEMA ni msingi na mfumo wa kanda ulivyolipeleka chama vijijini ila sijaona hapa ukigusia umekariri tu kura za NEC na sio party votes distribution.

Mfano Ikungi ni wilaya ya kijijini na CHADEMA ilipata vijiji zaidi ya 42!! Huongelei hilo ila unapima tu kwa general terms!!

Hoja yako ya kwanza ni why majimbo machache ika kura nyingi ndio nkakujibu jimbo moja la urban lina kura nyingi kuliko kijijin.... oooh grassroots nmekujiby 40% ya TAMISEMI umebaki kulia lia embu ongea kwa reference ya chaguzi ya TAMISEMI 2014! Maana ya mwaka juzi more than 90% waliwekewa pingamizi
 
Wezi huwa najistukia tu. Hata ukimuongelea mtu mwingine wanajua wanaongelewa wao kwa mafumbo. Hapa ilikuwa inaongelewa Zambia.
Siyo mara ya kwanza mgombea wa upinzani kushinda. Hata hapa imetokea mara kadhaa wagombea wa ubunge na udiwani kutoka upinzani wakatangazwa kushinda. Tatizo kwetu ni kuwa wapinzani wanaposhindwa kiti cha urais basi wanalalamikia tume hata kama namba haziwasapoti kabisa
 
Mzee nmetoa hoja kutumia takwimu za uchaguzi wa serikali za mitaa mbona hujibu?? Last competitive election ya grassroots na upinzani ulipata 40% ya mitaa/vijiji ukiacha mapingamizi..... Ila hujagusia hiko?...

Leta namba kamili kuhusu nchi nzima siyo cherry picking vipande vinavokufurahisha na kuacha sehemu kubwa isyokufurahisha. Kuhusu uchaguzi wa serikali za mitaa 2014, soma ripoti hii kutoka mwananchi Nini kimejificha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?

Nini kimejificha kwenye uchaguzi wa serikali za mitaa?​

uchaguzi pic

Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi, Selemani Jafo

Katika uchaguzi wa serikali za mitaa uliofanyika mwaka 2014 na ule wa mwaka 2009 wananchi walikuwa na hamasa kubwa ya kushiriki.

Uchaguzi huo wa ngazi ya kwanza ya uongozi wa Serikali unahusu wenyeviti wa kijiji, wenyeviti wa mitaa, wajumbe wa halmashauri ya kijijiji na wajumbe wa kamati za mitaa.

Katika uchaguzi wa mwaka 2014 vyama vya upinzani viling’aa zaidi ukilinganisha na wa mwaka 2009.

Hata aliyekuwa Mkurugenzi wa Uchaguzi wa Ofisi ya Waziri Mkuu, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Kharist Luanda, alinukuliwa akisema ushiriki wa vyama vya siasa ulikuwa mkubwa kutokana na vyama 15 kushiriki.

Pamoja na kwamba vyama vya upinzani vilipata viti vingi katika uchaguzi wa mwaka 2014, Chama cha Mapinduzi (CCM) kiliendelea kuongoza kwa kuibuka na viti vingi zaidi.

Katika nafasi ya wenyeviti wa vijiji CCM kilipata viti 9,378 (asilimia 79.81), vitongoji 48,447 (asilimia 79.83) na kwa mitaa 2,583 (asilimia 66.66.).Kwa upande wa wajumbe serikali za vijiji na mitaa, CCM kilipata 100,436 (asilimia 80.24) na wajumbe wa viti maalum 66,147 (asilimia 82.13).


Wakati huo vyama vya upinzani viliungana kupitia Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa) na kuleta hamasa kubwa ya wananchi kushiriki katika uchaguzi.

Hata aliyekuwa Katibu wa Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye baada ya kutangazwa matokeo ya kwanza kabla ya marudio, alikiri ushindi wa chama hicho ulipungua kwa asilimia 12 kutoka asilimia 96 za mwaka 2009 hadi asilimia 84 mwaka 2014.

Hamasa ya wananchi kushiriki katika uchaguzi pia ilionekana katika uchaguzi mkuu 2015 kiasi cha wanasiasa kueleza kuwa hali hiyo haijapata kutokea tangu nchi itape uhuru.
 
RAIS MTEULE WA ZAMBIA
  • Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
  • Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani...
Funzo kubwa ni kuwa huyo bwana ametumwa na mabeberu maana amekiuka kanuni zetu sisi wazee wa chini ya jangwa la Sahara
 
Sawa kabisa kwasababu wazambia ni binamu na cc ni mawe Ila hiyo siku yaja tunaweza Mimi nawewe tusiione Ila kwa mwenendo wa CCM Tanzania tutaandika historia mpya kwa damu. Haiwezekani afrika mashariki nzima na kusini sisi watanzania ndio mtufanye misukule mateka na vibwengo halafu tuangalie tu.
Upo sahihi sana, nature is very kind, one day no sweat!!
 
Kwanza tunajifunza jinsi vyombo vya ulinzi na usalama vilivyo smart kwenye maswala makubwa kama haya hawakuingilia wala kuhusishwa kwa namna moja au nyingine kuingilia uchaguz mtu kashinda no mizengwe japo kulikuwa na vitu vidogo vidogo ambavyo vilizibitiwa atimaye katangazwa mshindi hii ni heshima kubwa sana kwa nchi kama Zambia sasa huu uchaguz ungekuwa ni hapa kwetu mamamama a...... AIBU itoshe kusema AIBU kila aina ya salakasi tungeona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hivi ninyi vyombo vya ulinzi hapa Tanzania huwa mnadhani chama tawala kikibwaga ajira zenu zinakoma??? Jifunzeni kwa wenzetu!!! Kila kitu kinabaki vile vile anayebadilika ni rais tu!
 
RAIS MTEULE WA ZAMBIA
  • Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
  • Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani.
  • nilipigwa mabomu
  • Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA

Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao

- Nawasamehe wote
-Rais Mstaafu uwe na Amani
  • hakuna Bomu la machozi litakupata
  • Endesha mambo Yako kwa mujibu wa Sheria na hakuna atakayekugusa
  • TV ya Taifa onyesheni mambo Ya wapinzani pia. Msipoyaonyesha watazamaji watapungua. Watazamaji wakipungua hamtapata Matangazo. Mkikosa matangazo Mtakufa na mtafunga
  • wafuasi wangu msilipize Kisasi.
  • kama kuna mtu alikutendea vibaya usilipe kisasi.
  • ukienda ukavamia super makert na kuiba unakua unaharibu KAZI maana kuna watu watakosa kazi na sisi tumeahidi kuongeza ajira
  • wafuasi wangu mkiharibu mali za wapinzani wetu mnaharibu UCHUMI wa Taifa. Mali zao ni mali za Taifa pia. Ukiziharibu unaharibu uchumi
  • wafuasi wangu pelekeni Amani kwa waliowanyanyasa hapo nyuma. Waambieni huu ni wakati wa kuunganisha nchi

  • Taifa lilogawanyika halitashinda VITA ya uchumi
  • Nataka zambia iwe ya Wazambia WOTE bila kujali umezaliwa wapi na umezaliwa na nani mradi wewe ni Mzambia
- Amani ikiwepo Biashara mpya zitaanzishwa. Wawekezaji Watakuja
 
16 August 2021

Mh. H.H : Hotuba nzima ya shukrani kwa wananchi wa Zambia


PRESIDENT ELECT - H.E HAKAINDE HICHILEMA ADDRESS TO THE NATION AFTER ELECTIONS. ... 16TH AUGUST 2021 ELECTION

Full Hakainde Hichilema Addresse Talks Investments, Dollar Kwacha Appreciation Economic, ECL, Znbc
Hichilema welcomed Lungu's concession but described the outgoing government as a "brutal regime." Hichilema had been arrested multiple times and spent some time in jail on treason charges under Lungu's government, but he said he would not seek vengeance or retribution...
 
Hapo bado hajanogewa naadaraka,bado hajapigiwa mizinga na misalute kibao,bado hajakalia kiti vizuri!Tusubiri azoee kutoa maagizo na watu kutii,only then ndio nitakubali maneno haya aliyotamka!
Hata Samia alianza kwa kauli za kuunganisha na kupatanisha,kuna watu walifikia hatua wakamwambia Lissu arudi!
Lahaula,baada ya kuzoea kiti ameanza kulewa madaraka!

So,until then,naomba nitunze pongezi zangu kwanza!
 
16 August 2021

Mh. H.H : Hotuba nzima ya shukrani kwa wananchi wa Zambia


PRESIDENT ELECT - H.E HAKAINDE HICHILEMA ADDRESS TO THE NATION AFTER ELECTIONS. ... 16TH AUGUST 2021 ELECTION

Full Hakainde Hichilema Addresse Talks Investments, Dollar Kwacha Appreciation Economic, ECL, Znbc

Nakuona bagamoyo kwenye ubora wako
 
Hapo bado hajanogewa naadaraka,bado hajapigiwa mizinga na misalute kibao,bado hajakalia kiti vizuri!Tusubiri azoee kutoa maagizo na watu kutii,only then ndio nitakubali maneno haya aliyotamka!
Hata Samia alianza kwa kauli za kuunganisha na kupatanisha,kuna watu walifikia hatua wakamwambia Lissu arudi!
Lahaula,baada ya kuzoea kiti ameanza kulewa madaraka!

So,until then,naomba nitunze pongezi zangu kwanza!
huko kwa wenzetu hakunaga washamba kama kwenu
 
Kwelii mkuu wanaanzaga hivi baada ya hapo Sasa hutaamini Ni huyuu. Tumpe muda. Akisimamia maneno itakuwa Jambo la her Sana
 
Cheki marais wasio na utajiri waliopo madarakani kama dizaini ya kina Edgar C. Lungu wasiokuwa na raha kuona wanasiasa ma bilionea wenye ukwasi mwingi ambao wanaweza kuwa marais siku zijazo kama huyu H.H na kuamua kuwaandama na kesi za ugaidi, uhaini n.k V.

Kisa mwananchi huyu mwanasiasa H.H ni tajiri sana n.k.

Sasa nchi ya kiAfrika ya SADC imepata rais bilionea anayechukia umasikini tofauti na marais wasio matajiri ambao hustuka wakiona mtu ni tajiri kuliko rais na ana mali nyingi kumpita rais kwao siyo furaha wanataka wananchi wote wawe wanyonge kiuchumi ila yeye atumie mali ya umma kujijengea mahekalu, viwanja vya ndege kijijini kwao n.k Hapa tunamweka kando Cyril Ramaphosa rais wa Afrika ya Kusini aliyepata utajiri wa mabilioni kupitia ofisi ya siasa ktk chama cha ANC na chama cha wafanyakazi wa migodi From prison to the rich list: Who is South Africa's new president Cyril Ramaphosa? kwa kifupi Ramaphosa alitumia vibaya ofisi za umma kujitajirisha alipokuwa anahudumu serikalini.

President Michael Sata is shocked that HH is worth K360 billion despite not having been in formal employment​


President Michael Sata is shocked that HH is worth K360 billion despite...



The late President Michael Sata

President Michael Sata has said that he was surprised that some politicians earn more than people who have worked in formal employment for a long time.

This follows the alleged revelations by some United Party for National Development (UPND) members who leaked a document detailing the source of wealth of their party president Hakainde Hichilema who is worth over K360 billion.

The head of State said he was shocked that some politicians who have never been in formal employment are worth billions of Kwacha.
He said this at State House yesterday when the document about Mr Hichilema’s wealth was circulated to journalists.

“You have worked for a long time but you are not as rich as some politicians. Surprisingly in Zambia, some politicians are richer than workers in formal employment,” Mr Sata said.

And according to the documentation on Mr Hichilema’s wealth, the opposition leader has various business ventures, companies and properties, both locally and abroad, which is the main source of funding for the UPND.

The documentation alleges that ranches have helped Mr Hichilema to emerge as one of the leading suppliers of beef to Zambeef Plc.
Mr Hichilema has ranches holding over 90,000 cattle in Central and Southern provinces valued at over K360 billion.

The UPND leader has four ranches in Choma operating as HH farm and Blukes farm which has 20,000 animals and another three ranches in Kalola, Chibombo district, property numbers F/1604/A, F/2270/A and F/9184 with a total 35 animals among other ranches.
Mr Hichilema has shares in various private companies including Zambezi Sun International Hotels in Livingstone, Pick N Pay, Game Stores, ALS Capital, a bureau de change based in Lusaka, Manda Hill Centre, More Beef Limited, Anglo-American Corporation and Delloitte and Touche.

He has three in South Africa, two in England, three in Lusaka and an office block in Choma.
The UPND leader has four accounts with ZANACO with balances of US$ 820,411.58, K45 million, K9 million and K135 million.

Mr Hichilema is also believed to be associates with Costain Chilala, a prominent commercial farmer of Mkushi, and Boyd Hamusonde, proprietor of BH Diesel Motors.

The UPND is also believed to have received funding from the Liberal Party of Norway, which is under the leadership of Erick Ringes, a personal friend of Mr Hichilema.

[Zambia Daily Mail]
 
Kwa kuanzia kasema vizuri, kuna uwezekano wafuasi wake walikua wamejiandaa kwa revenge ya mateso waliyopitia miaka ya nyuma hivyo hongera kwake kwa kusimamia amani ya nchi kwanza.Utekelezaji wake tutaupima as we go maana hawa wanasiasa wa kiafrika huwa vigeugeu sana
 
Back
Top Bottom