Stephano Mgendanyi
JF-Expert Member
- May 16, 2020
- 2,833
- 1,301
RAIS MTEULE WA ZAMBIA NI HAKAINDE HICHILEMA
Uchaguzi Zambia 2021: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa
MANENO YA SEHEMU YA HOTUBA YAKE KAMA RAIS MTEULE
Uchaguzi Zambia 2021: Rais Edgar Lungu akubali kushindwa
MANENO YA SEHEMU YA HOTUBA YAKE KAMA RAIS MTEULE
- Nataka tuonyeshe tofauti kati Yetu na wao
- Nilikamatwa mara 15 na kuwekwa ndani.
- Nilipigwa mabomu
- Habari za mikutano Yangu hazikutangazwa na TV YA TAIFA
Ili kuonyesha kuwa sisi ni Tofauti na wao
- Nawasamehe wote
-Rais Mstaafu uwe na Amani
- Hakuna Bomu la machozi litakupata
- Endesha mambo Yako kwa mujibu wa Sheria na hakuna atakayekugusa
- TV ya Taifa onyesheni mambo Ya wapinzani pia. Msipoyaonyesha watazamaji watapungua. Watazamaji wakipungua hamtapata Matangazo. Mkikosa matangazo Mtakufa na mtafunga
- Wafuasi wangu msilipize Kisasi.
- Kama kuna mtu alikutendea vibaya usilipe kisasi.
- Ukienda ukavamia super makert na kuiba unakua unaharibu KAZI maana kuna watu watakosa kazi na sisi tumeahidi kuongeza ajira
- Wafuasi wangu mkiharibu mali za wapinzani wetu mnaharibu UCHUMI wa Taifa. Mali zao ni mali za Taifa pia. Ukiziharibu unaharibu uchumi
- Wafuasi wangu pelekeni Amani kwa waliowanyanyasa hapo nyuma. Waambieni huu ni wakati wa kuunganisha nchi
- Taifa lilogawanyika halitashinda VITA ya uchumi
- Nataka Zambia iwe ya Wazambia WOTE bila kujali umezaliwa wapi na umezaliwa na nani mradi wewe ni Mzambia
- Amani ikiwepo Biashara mpya zitaanzishwa. Wawekezaji Watakuja
Hayo ni maneno Ya Rais mteule MR HH wa Zambia