Na wewe mtoto unakua mwili bila akili kichwani. Unashindwaje kuelewa kuwa iwapo wagombea wa CCM walipita bila kupingwa ina maana hawakuwa na wapinzani; mwaka jana tu Nape naye kapita bila kupingwa tena uchaguzi wa Bunge bila kuwepo kwa pingamizi lolote.
Kuwekewa pingamizi ni utaratibu wa kisheria, hata Lissu alimwekea pingamizi Magufuli, sheria ikafuata mkondo wake; kuwekewa pingamizi lika-stay maana yake ni kwamba mgombea aliyewekewa pingamizi hilo ana dosari kweli.
This video speaks for itself about our man Hakainde Hichilema Zambian President-Elect. Will he deliver on his promises. It is upon the Zambians to decide. However, we still can learn something from this man.