Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?

Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani
Wenzetu maslahi ya taifa kwanza, kwetu serikali ya ccm inaangalia maslahi yao na familia zao na fedha za kuhonga wanainchi kipindi cha kampeni za uchaguzi.
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Haituhusuuu hata kidogo

Sisi wazalendoo Bandari yetu hapanaa

Kama inakuuma iendelee kukuuma.
 
Huo sio uzalendo. Huo ni ujinga
Weee ndio unaona ujinga lakini siku mrija wako wa ulaji ukikatwaa ndio utaelewa kwanini tunakomaa kukataa swala la Bandari.

And also mbona unatumia Nguvu kubwa sana kwa hilii.

Laana za Magufulu itawala wote.

Siku sii nyingi
 
Kwa maelezo yako tu unaonekana una shida kichwani!! Laana gani ya magufuli? Wapi limeongelewa suala la magufuli hapa?

Unadhani kila mtu anayepost humu analipwa? Basi utakuwa na shida sana kwenye akili yako
 
Matatizo ya bandari yetu ni ya kiutawala zaidi kuliko viongozi wanavyoaminisha watu.kama ni uwekezaji wa vifaa vya kisasa miaka na miaka Serikali hutoa fedha kwa akili ya kuwekeza.

Shida ya bandari ni utawala wa hovyo unaoanza na Rais mwenyewe kushindwa kusimamia na kuruhusu bandari kuwa shamba la Bibi na ucheleweshaji wa mizigo.
Point 🙏🙏🙏
 
Uendeshaji wa bandari unahitaji teknolojia na mtaji kwa sasa hapa tulipo kwenye hili ni sawa na migodi ya dhahabu tu magufuli alivowapa mabeberu wachimbe uwezo wetu mdogo lazima tukubali hili mtaendelea kuwalaumu viongozi bure.
Teknolojia kwamba DP World wana Patent ya Siri ambayo mtu au vifaa fulani hawezi kuvitumia ?

Mtaji unadhani DP World atatumia Cash yake au ataenda kuwa financed huko tena huenda kwa kutumia asset ambayo umempa ?

Kwamba hata kuajiri ma-expatriate na kuwapa vigezo vya kufanya...., tunashindwa; Kama tunashindwa kusimamia hao Je tutaweza kusimamia hawa tunaowapa exclusivity ?
 
Kwa maelezo yako tu unaonekana una shida kichwani!! Laana gani ya magufuli? Wapi limeongelewa suala la magufuli hapa?

Unadhani kila mtu anayepost humu analipwa? Basi utakuwa na shida sana kwenye akili yako
Ndio shida ya machawa

Iko shida kubwa kwenye vichwa vyenu vimejaa majii hata thinking capacity yenu iko ovyo sana mmeshamezeshwa ndio mzee hata hamna uhuru wa kuhojii
Kama wewe thinking capacity yako iko vzr

Mkataba wa Bandari umeisha since Magu yupo.
Huwezi kujiuliza kwanini hakufanya anayofanya Mama yako sasa ivi.

Upo tuu hapa kutuletea propaganda sijui kongo sijui Zambia ,hizo propaganda sio za leo kutoka hizo nchi

Fatilia history

And acha kumezeshwa think

And kila mtuu unamtusi

Shika adabu yako.
 
Hii sio hadithi. Huu ndo ujasusi wa kiuchumi sasa.

Nyie endeleni ujinga wenu tu wakati wenzenu wako kikazi hawataki maneno mengi.
Wapelekeni hao waarabu wenu huko Zambia kama mnawapenda sana, msituchoshe
 
Yaani ccm wameamua kukusanyia kodi za bandari zote mifukoni mwa wachache na kuacha tusiwe na kitu kisa tu ticts walikuwa hawafikii Malengo
Kipi bora kupata kidogo au kutopata kabisa?
 
Mkuu denning umeniwahi, nilikuwa niipandishe hii habari asubuhi hii hii. Nchi hii ina wapumbavu wengi sana na kwa kweli ni ya kuiombea kwa Mungu ipate nafuu.

Kuna watu Baba zao wameishi kwa kodi ya serikali tangu wao wanapata akili, wanakuja kuwa watu wazima wanaanza kutumia nguvu kubwa kupinga hizi biashara.

Hayati Rais Magufuli alifanya kikao cha pamoja kati yake, Kakoko na Hamza Johari pamoja na viongozi wa Zambia kuhusu mzigo wao kupitia bandari ya Dar na hayati akawahakikishia kuja kufanya hiyo biashara siku moja.

Leo wanatuona wajinga namna tunavyopoteza muda kwenye siasa za majibizano tena ya kijinga wakati biashara pana ya kusafirisha mzigo wao tukiiacha itupite.

Kutoa mzigo kutoka China na kuuleta Dar ni gharama ndogo kuliko kuutoa huko na kuupitishia bandari ya Lobito Angola na meli inabidi izunguke kule chini Durban halafu ipande juu kwenda bandarini.

Kina Mwabukusi na wanasiasa wengine wanaendelea kuwajaza watu ujinga wakati huo Angola ambaye alikuwa ni chaguo la pili la Zambia kusafirishia mizigo yake anakuja kufaidika na upumbavu wetu wa kupenda siasa za majibishano tena mengi ni upotoshaji wa watu wenye uelewa mdogo sana wa kitu wanachokiongelea.
Wapumbavu nyie
 
Ndio shida ya machawa

Iko shida kubwa kwenye vichwa vyenu vimejaa majii hata thinking capacity yenu iko ovyo sana mmeshamezeshwa ndio mzee hata hamna uhuru wa kuhojii
Kama wewe thinking capacity yako iko vzr

Mkataba wa Bandari umeisha since Magu yupo.
Huwezi kujiuliza kwanini hakufanya anayofanya Mama yako sasa ivi.

Upo tuu hapa kutuletea propaganda sijui kongo sijui Zambia ,hizo propaganda sio za leo kutoka hizo nchi

Fatilia history

And acha kumezeshwa think

And kila mtuu unamtusi

Shika adabu yako.
Wenzako wako serious we endelea kuita propaganda kwa ujinga wako. Hujui kipindi cha Magufuli alikuwepo TICS Bandarini. Na hujui aliwaongezea miaka 5 tu kuwapima ufanisi ili kama hawawezi awaondoe aweke mwingine?
 
TICTS wamekuwa pale kwa miaka 22, CCM hawajashindwa kuiendesha bandari.

Inakodishwa na sio vinginevyo. Zinakuja tafsiri nyingi za upotoshaji zenye malengo ya kisiasa.

Mwisho wa haya yote huwa malalamiko ya mbona bandari yetu haina tija kwenye uchumi mkuu?, Hili swali linakuwa katika mfumo wa lawama.

Ni wakati huu wa kufanya maamuzi yenye lengo la kuimarisha hali ya uchumi kwa kutumia bandari kama chanzo cha mapato.
Wewe maanina huna unalojua maku wewe

Tics Yuko Berth 8-11 ambazo ni Container terminal sio bandari nzima kima wewe!

Hao DP mnawapa Bandari nzima mna akili nyie.

Maku wewe
 
Watafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Matatizo ya akili haya
 
Wewe maanina huna unalojua maku wewe

Tics Yuko Berth 8-11 ambazo ni Container terminal sio bandari nzima kima wewe!

Hao DP mnawapa Bandari nzima mna akili nyie.

Maku wewe
Wapi imeandikwa Tics anapewa bandari nzima?
 
Kwa maneno hayo. Nikisema wewe ni mjinga kuna watu watanibishia

Unaweza kuwa mjinga kumzidi maana anakujibu ujinga kutokana na ujinga unaoandika. Ujinga unaoandika ni sawa na kupiga pasi nguo chafu.
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Kwa hiyo unataka tuuze bandari yetu kisa mizigo ya Zambia na Congo.

What if tukiuza Afu still wakatafuta alternative route.

Shenzi type
 
Kwa hiyo unataka tuuze bandari yetu kisa mizigo ya Zambia na Congo.

What if tukiuza Afu still wakatafuta alternative route.

Shenzi type
Akauze matako yake

Hawa ndio mashoga wamejaa hapa.

Hakuna nchi itaikwepa bandari ya Dar. Mpinzani wa Bandari ya Dar ni Beira tu.

Import na Export kubwa Kwa congo, Zambia na Malawi zinaenda Bara la Asia na China. Hizo copper za za Zambia zinaenda china na Asia. Yani Zambia ni vichaa copper ipigie Angola kwenye bahari ya Atlantic ije Hadi bahari ya Hindi Hadi bara Asia hizo ni akili au matope.

Bandari ya DSM Iko hapo na faida yake kubwa ni ilipokaa yenyewe ni strategical.

Linatokea taahira limoja linasema Tuwekeze bila kujua umuhimu wa bandari yao
 
Back
Top Bottom