Frank I Ritte
JF-Expert Member
- Apr 12, 2023
- 1,003
- 1,350
Wenzetu maslahi ya taifa kwanza, kwetu serikali ya ccm inaangalia maslahi yao na familia zao na fedha za kuhonga wanainchi kipindi cha kampeni za uchaguzi.Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?
Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani
Haituhusuuu hata kidogoWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Huo sio uzalendo. Huo ni ujingaHaituhusuuu hata kidogo
Sisi wazalendoo Bandari yetu hapanaa
Kama inakuuma iendelee kukuuma.
Weee ndio unaona ujinga lakini siku mrija wako wa ulaji ukikatwaa ndio utaelewa kwanini tunakomaa kukataa swala la Bandari.Huo sio uzalendo. Huo ni ujinga
Kwa maelezo yako tu unaonekana una shida kichwani!! Laana gani ya magufuli? Wapi limeongelewa suala la magufuli hapa?Weee ndio unaona ujinga lakini siku mrija wako wa ulaji ukikatwaa ndio utaelewa kwanini tunakomaa kukataa swala la Bandari.
And also mbona unatumia Nguvu kubwa sana kwa hilii.
Laana za Magufulu itawala wote.
Siku sii nyingi
Point 🙏🙏🙏Matatizo ya bandari yetu ni ya kiutawala zaidi kuliko viongozi wanavyoaminisha watu.kama ni uwekezaji wa vifaa vya kisasa miaka na miaka Serikali hutoa fedha kwa akili ya kuwekeza.
Shida ya bandari ni utawala wa hovyo unaoanza na Rais mwenyewe kushindwa kusimamia na kuruhusu bandari kuwa shamba la Bibi na ucheleweshaji wa mizigo.
Teknolojia kwamba DP World wana Patent ya Siri ambayo mtu au vifaa fulani hawezi kuvitumia ?Uendeshaji wa bandari unahitaji teknolojia na mtaji kwa sasa hapa tulipo kwenye hili ni sawa na migodi ya dhahabu tu magufuli alivowapa mabeberu wachimbe uwezo wetu mdogo lazima tukubali hili mtaendelea kuwalaumu viongozi bure.
Ndio shida ya machawaKwa maelezo yako tu unaonekana una shida kichwani!! Laana gani ya magufuli? Wapi limeongelewa suala la magufuli hapa?
Unadhani kila mtu anayepost humu analipwa? Basi utakuwa na shida sana kwenye akili yako
Wapelekeni hao waarabu wenu huko Zambia kama mnawapenda sana, msituchosheHii sio hadithi. Huu ndo ujasusi wa kiuchumi sasa.
Nyie endeleni ujinga wenu tu wakati wenzenu wako kikazi hawataki maneno mengi.
Wapumbavu nyieMkuu denning umeniwahi, nilikuwa niipandishe hii habari asubuhi hii hii. Nchi hii ina wapumbavu wengi sana na kwa kweli ni ya kuiombea kwa Mungu ipate nafuu.
Kuna watu Baba zao wameishi kwa kodi ya serikali tangu wao wanapata akili, wanakuja kuwa watu wazima wanaanza kutumia nguvu kubwa kupinga hizi biashara.
Hayati Rais Magufuli alifanya kikao cha pamoja kati yake, Kakoko na Hamza Johari pamoja na viongozi wa Zambia kuhusu mzigo wao kupitia bandari ya Dar na hayati akawahakikishia kuja kufanya hiyo biashara siku moja.
Leo wanatuona wajinga namna tunavyopoteza muda kwenye siasa za majibizano tena ya kijinga wakati biashara pana ya kusafirisha mzigo wao tukiiacha itupite.
Kutoa mzigo kutoka China na kuuleta Dar ni gharama ndogo kuliko kuutoa huko na kuupitishia bandari ya Lobito Angola na meli inabidi izunguke kule chini Durban halafu ipande juu kwenda bandarini.
Kina Mwabukusi na wanasiasa wengine wanaendelea kuwajaza watu ujinga wakati huo Angola ambaye alikuwa ni chaguo la pili la Zambia kusafirishia mizigo yake anakuja kufaidika na upumbavu wetu wa kupenda siasa za majibishano tena mengi ni upotoshaji wa watu wenye uelewa mdogo sana wa kitu wanachokiongelea.
Wenzako wako serious we endelea kuita propaganda kwa ujinga wako. Hujui kipindi cha Magufuli alikuwepo TICS Bandarini. Na hujui aliwaongezea miaka 5 tu kuwapima ufanisi ili kama hawawezi awaondoe aweke mwingine?Ndio shida ya machawa
Iko shida kubwa kwenye vichwa vyenu vimejaa majii hata thinking capacity yenu iko ovyo sana mmeshamezeshwa ndio mzee hata hamna uhuru wa kuhojii
Kama wewe thinking capacity yako iko vzr
Mkataba wa Bandari umeisha since Magu yupo.
Huwezi kujiuliza kwanini hakufanya anayofanya Mama yako sasa ivi.
Upo tuu hapa kutuletea propaganda sijui kongo sijui Zambia ,hizo propaganda sio za leo kutoka hizo nchi
Fatilia history
And acha kumezeshwa think
And kila mtuu unamtusi
Shika adabu yako.
Wewe maanina huna unalojua maku weweTICTS wamekuwa pale kwa miaka 22, CCM hawajashindwa kuiendesha bandari.
Inakodishwa na sio vinginevyo. Zinakuja tafsiri nyingi za upotoshaji zenye malengo ya kisiasa.
Mwisho wa haya yote huwa malalamiko ya mbona bandari yetu haina tija kwenye uchumi mkuu?, Hili swali linakuwa katika mfumo wa lawama.
Ni wakati huu wa kufanya maamuzi yenye lengo la kuimarisha hali ya uchumi kwa kutumia bandari kama chanzo cha mapato.
Matatizo ya akili hayaWatafute tuuu, huwez kuuza bandari kisa Una mamlaka, hiyo haipo, alaf bandari ni Kwa ajili ya Watanzania Kwanza then hao jamaa wengine badae..!!
Wapi imeandikwa Tics anapewa bandari nzima?Wewe maanina huna unalojua maku wewe
Tics Yuko Berth 8-11 ambazo ni Container terminal sio bandari nzima kima wewe!
Hao DP mnawapa Bandari nzima mna akili nyie.
Maku wewe
Kwa maneno hayo. Nikisema wewe ni mjinga kuna watu watanibishia
Lango kuu la matako yakoMpumbavu ni wewe ambae hujielwei Wala huelewi kitu upo upo tuu kama unafigwa..
Lango kuu la nani?
Kwa hiyo unataka tuuze bandari yetu kisa mizigo ya Zambia na Congo.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Pumbu weweWapi imeandikwa Tics anapewa bandari nzima?
Akauze matako yakeKwa hiyo unataka tuuze bandari yetu kisa mizigo ya Zambia na Congo.
What if tukiuza Afu still wakatafuta alternative route.
Shenzi type