Sir John Roberts
JF-Expert Member
- Mar 1, 2017
- 12,835
- 23,584
Toka kwanza huko ulikojifungia hiyo akili yako ndio utanielewa namaanisha nini.Teknolojia kwamba DP World wana Patent ya Siri ambayo mtu au vifaa fulani hawezi kuvitumia ?
Mtaji unadhani DP World atatumia Cash yake au ataenda kuwa financed huko tena huenda kwa kutumia asset ambayo umempa ?
Kwamba hata kuajiri ma-expatriate na kuwapa vigezo vya kufanya...., tunashindwa; Kama tunashindwa kusimamia hao Je tutaweza kusimamia hawa tunaowapa exclusivity ?
Vipo kibao cha kwanza ni kifungu cha 23(d)Wewe sema hivyo vifungu unavyodai vina shida?
Kama haya ndio majibu yako bora nisikuelewe..., Knowledge yako baki nayo.... ila jaribu kupitia neno Hubrus au Jiulize kwanini Socrates alisema yeye ni Wisest Man Alive; ukijua hayo utakuwa umejisaidia sana - Huenda hujui kwamba hujui....Toka kwanza huko ulikojifungia hiyo akili yako ndio utanielewa namaanisha nini.
Umemaliza kila kitu mzee kama matahari yapo hasa akina Mwijaku na steve nyerere yamo humu yatakuwa yamekuelewa.Akauze matako yake
Hawa ndio mashoga wamejaa hapa.
Hakuna nchi itaikwepa bandari ya Dar. Mpinzani wa Bandari ya Dar ni Beira tu.
Import na Export kubwa Kwa congo, Zambia na Malawi zinaenda Bara la Asia na China. Hizo copper za za Zambia zinaenda china na Asia. Yani Zambia ni vichaa copper ipigie Angola kwenye bahari ya Atlantic ije Hadi bahari ya Hindi Hadi bara Asia hizo ni akili au matope.
Bandari ya DSM Iko hapo na faida yake kubwa ni ilipokaa yenyewe ni strategical.
Linatokea taahira limoja linasema Tuwekeze bila kujua umuhimu wa bandari yao
Umewaza kijinga na kichoko sana.Akauze matako yake

Hayo sio maswali ya kumuuliza mtu,na ww unaonekana hujielewi katiba haziongei hivyo hata siku moja.uliza maswali ya msingiTaja Kifungu cha Katiba kinachosema Tanzania lazima isafirishe Mizigo ya Zambia na Congo!
Ukiitwa mjinga utabisha basiAcha waende, bandari yetu siyo maembe wasipokuja zambia.wala haiozi
Matusi ni dalili ya kuishiwa hoja na kuchanganyikiwaPumbu wewe
Unajibu usichoulizwa mbwa wewe kafie huko
NAANDIKA KWA HERUFI KUBWA NA NIMEFUATILIA TATIZO LA BANDARI LINAANZIA KWA JAKAYA MRISHO KIKWETE NA KUNDI LAKE LA WAFANYABIASHARA AMBAO WAMEVAA KOFIA YA UCCM ILI MAMBO YAO YAENDE NA HAWATAKI KULIPA KODI KWA MIZIGO YAO YOTE INAYOINGIA KUPITIA BANDARI YA DAR ES SALAAM,NA NDIO WANAOPINGA BANDARI KUPEWA MWEKEZAJI.WATANZANIA TUNAZUNGUKWA SANA ISIVYO KAWAIDA NA CCM INAFANYA KAZI YA KUTUCHONGANISHA WATANZANIA HADI TUNAANZA KUINGIZA UDINI NA UKANDA KWENYE SUALA LA BANDARI.JK NA KUNDI LAKE NCHI IWAANGALIE KWA UKARIBU NA INASEMEKANA 2025 WANAMTAKA MTU WAO NA MAMA SAMIA HATAKIWI.NOTES THIS.Matatizo ya bandari yetu ni ya kiutawala zaidi kuliko viongozi wanavyoaminisha watu.kama ni uwekezaji wa vifaa vya kisasa miaka na miaka Serikali hutoa fedha kwa akili ya kuwekeza.
Shida ya bandari ni utawala wa hovyo unaoanza na Rais mwenyewe kushindwa kusimamia na kuruhusu bandari kuwa shamba la Bibi na ucheleweshaji wa mizigo.
Huko Angola Libito nako yupo DP World?Ona huyu nyumbu,si ajabu mtoa mada amewaita wajinga..
Sasa Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba Angola inaendelea na upanuzi mkubwa wa Bandari yake ya Lobito ambayo ni route fupi kufika Zambia kuliko Dar.
Pili Msumbiji inaendelea na maboresho ya miundombinu ya usafirishaji ambayo itawezesha Bandari yake kutumika zaidi na DRC Congo upande wa Lubumbashi ambayo nusu ya mizigo inakwenda huko kutoka Dar Port..
Ukiacha hayo Zambia wanajenga bomba la mafuta kutoka Angola na kutoka Namibia Ili mafuta yote yapitie Kwa bomba Sasa tankers zenu tafuteni kazi ya kufanya..
Hii ni Dunia ya ushindani na ujinga mliojilisha kudhani eti Tanzania haiepukiki mnajidanganya sana bwashee..
Muda ni Mwalimu mzuri,endeleeni na habari za ujamaa mbuzi.
You know how to read young man, Go and read that contract. Vijana wa siku hizi hamtaki kabisa kuchosha akili zenu. StupidJust prove how claptrap it is?
Wewe ni jinsia ganiWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Safisha matako kwanza mpuuzi mkubwaWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Kwakweli inauma Sana!Mie nawashangaa sana hawa watu,wanatengeneza matatizo kisha wanajitoa na kutafuta njia za kuendelea kuiba kwa mgongo wa kutatua matatizo.
Reli ya TAZARA ilijengwa kitambo hicho kwa lengo la Ku facilitate trade kati ya Zambia na Tanzania.
Wameua reli,ambapo mizigo ingekuwa inafika Zambia kwa gharama nafuu kwa makusudi kabisa ili malori yao ya mizigo yafanye kazi.
Tanzania ni Nchi ya matahira sana-kuanzia viongozi mpaka Wananchi.
Mjinga mm yako K weweWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Acha ikae tu mpaka tutakapo pata Viongozi wazarendo wa kuweza kusimamia Bandari na maliasili zetu!Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.