Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Kwanza wamepewa bandari ngapi? Kwa mujibu wa kifungu gani?
Wamepewa Bandari zote za Tanganyika, kwa miaka yote, hadi shughuri za Bandari zitakapo koma. Bandari Za Bahari, Maziwa, Mito na zile Kavu.

Wewe ulivyousoma Mkataba umetambua wamepewa Bandari ngapi ?
 
Tusichoshane, hao DP wanawekeza trillion ngapi kwanza ili tuone kama tunauwezo wa sisi wenyewe kukopa na kuwekeza au hatuwezi. Yaan tuwekeze zaidi ya trillion 15 kwenye reli alafu leo hii tuogope kuwekeza hata trillion tano kwenye bandari ambayo unauhakika wa kuzalisha hiyo fedha within a year. Yaan mpk tumpe huyo DP. Ooh watanzania ni wezi. Sasa kama mnajitungia Sheria bembelezi kwa wezi wa ma billion lakini wezi wakuku kifungo miaka 20 watu wataache kuiba. Mkurugenzi anateuliwa kisiasa na kindugu Sasa hapo kunalamaana litakalotokea hapo?
 
Muulize maswali yenye logic

Unajua ni hathari kiasi gani inaweza kutokea pindi tu wakiacha kutumia bandari ya tz?
niheri waongeze kodi kwenye miamala nabei yamafuta kufidia hilo kuliko kutapanya urithi wetu
 
ninyi nakijiwe chenu nimoja kati ya wahuni wachache wasio itakia mema nchi yetu
 
Wauzieni waarabu mali za majumbani kwenu, Ila si mali ya Watanganyika.
 
Kwani Congo na Zambia wanapitisha mizigo kwa % ngap katika Dar Port?
 
Hii sio hadithi. Huu ndo ujasusi wa kiuchumi sasa.

Nyie endeleni ujinga wenu tu wakati wenzenu wako kikazi hawataki maneno mengi.
Huko Lobito nako wanakwenda kuweka mkataba kama ya Tanzania na DPW? Kama ndiyo, bora waendelee wao sisi tutawakuta mbele ya safari.
 
Mimi namshangaa, kutoka Dar hadi Guanzhou (China) ni masaa 11 kwa Air Tanzania. Tukianza kutumia ndege za mizigo kwa mikakati imara tunapiga faida. Sasa wajinga wanashindwa kuangalia namna ya kutatua changamoto ya kiutawala pale Port wao wanakimbilia kuiuza.
Basi hawana maana ya wao kukaa ofisini.
 
Kupewa Mwarabu bila kurekebisha baadhi ya vifungu ni bora hao wachache waTanzania waendelee kuifanya Shamba la bibi.
 
Bandari yetu haiuzwi tutapigana
Mnatuona watanzania malofa
 
Kuna mijitu nchi hii yanahitaji maombi, Mimi nyumba yangu natafuta mpangaji wa milele sio wale kila miezi 6 wamehama natafuta wa milele muhimu kodo naweka mimi...
We nae ata nyumba yenyewe hauna, wapi uliona nyumba inadumu milele? Ongea vitu logical siyo kusema ujinga.
 
Hakuna kifungu kisichosawa katika huu mkataba. Zaidi ya upotoshaji ambao baadhi yetu tumeamua kwa makusudi kabisa kuwa wapinzani wa mipango yetu wenyewe, so sad.
Acha ujinga, kama kuendesha nchi tunashindwa sembuse kutengeneza mkataba isyokuwa na dosari. Acha kutetea ujinga. Yaani kutengeneza njia bora ya kuendesha mashirika na taasisi za serikali imetushinda alafu unakuja kueteta kuwa mkataba imekaa vizuri tena iliyotengenezwa na wajinga kama wewe.
 
Toka waanze kufanya biashara zao sisi kama Taifa tulinufaika na nin zaidi ya ufisadi wenu... Bandarini
Hacha waendee huko akili ipanuke
Kwani Loliondo alikopewa waarabu tokea Enzi za Rais Mwinyi imekunufaisha ni nini? au unadhani madini ya Almasi na Dhahabu na Gesi Mtwara inanufaisha nchi zaidi ya Bandari inayoendeshwa na wabongo? Mkiwapa DPW kwa makubaliano ya terms zile nmeliwa zaidi ya bora ibaki tuendelee kuiendesha.
 
Wameanza kutafuta njia mbadala baada ya sisi kupiga kelele kuhusu DPW? Mbona siku zote DPW haikuwepo na hawakuwa wanatafuta njia mbadala?
 

Bana weeeee..... don't take us for fools

DRC Congo imekataa kusaini mkataba na DP World kujengewa na kuendeshewa bandari yao ya Banana Port kule Atlantic Ocean. Mpaka DP World wamelalamika kwamba Congo imewasainisha MOU halafu ikawapotezea... DRC Congo walishtuka


Cheki hapa chini:


Sasa kama Congo wamekataa kusogelewa na DP World kwa nini sisi ndio tujitwike zigo la DP World kuwanufaisha DRC Congo ?????
 
Broo unatudhalilisha watu wa njombe Bora ungetaja hata Dar es salaam.

Sent from my CPH2385 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…