Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Unatwist tu maneno kila kukicha, sahivi umeamia kwenye hoja nyepesi. Hivi hujui kuwa makampuni ya west pamoja na USA ndiyo inajenga sehemu kubwa ya projects za Dubai? Na hauna taarifa ya ukaribu kati ya DPW na USA? Sasa west ipi unayozungumzia?
 
Unatwist tu maneno kila kukicha, sahivi umeamia kwenye hoja nyepesi. Hivi hujui kuwa makampuni ya west pamoja na USA ndiyo inajenga sehemu kubwa ya projects za Dubai? Na hauna taarifa ya ukaribu kati ya DPW na USA? Sasa west ipi unayozungumzia?
Mkopo ni mkubwa na walitarajia kuwa na ushawishi wa biashara ya SGR itakapoanza. Wamekwenda Zambia na kuanzisha biashara ya kutumia port ya Lobito, ni kama kutukomoa.
 
lina uhakika. DP WORLD wana bandari kavu Kigali, na kama bandari ya dsm itafana manake na ya kigali iliyo kavu itafana. kagame kaja sana hapa hata kabla ya sakala la bandari hata hatujui alikuwa anakuja kufanya nini. though anaweza kuwa na malengo mazuri, sio kutupiga.
 
 
Kumbe bandari zote za maziwa na bahari zinapeleka mizigo Congo na Zambia?
 
Haina haja ya kutumia nguvu sana. Kukiwa na maelezo yanayoeleweka inatosha.
 
Unadhani wanapita Bandari ya Dar kwa sababu ya kupenda tu? Kuna sababu nyingi zinazowafanya wapite bandari ya DSM. Ikiwa ni pamoja na kukua kwa chumi za Middle East na Far East. Kukua kwa idadi ya watu katika Africa ya Mashariki na Chumi zake. Examples, Ethiopia, Kenya, Tanzania na Uganda. Meli huwa haibebi mzigo wa Congo DR na Zambia tu. Meli huja na mizigo mingi ya nchi zingine jirani.
Kuna sababu za kiusalama katika Bahari ya Hindi na katika Tanzania Central na South West Corridors.
 
We ng'ombe soma hiyo appendix 1 uone ni maeneo gani anaenda kupewa malaya wewe
 

Attachments

  • Screenshot_20230706-141841.jpg
    63.3 KB · Views: 1
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…