Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Wajinga ni watawala wa CCM na selikali, sababu miaka 60 ya uhuru mpaka leo hawajui wafanye nini kutuletee maendeleo, zaidi ya kipaumbele chao kufikilia kuiba kura ili waendelee kubaki madarakani, na kupeana vyeo kifamilia, mama mbunge, mtoto naibu waziri na baba alikuwa rais, sasa hapo kuna maajabu gani ya kutuletea mendeleo? Bado sembuse huko bandarini walikopeana vyeo kindugu

Nini kifanyike, hapa siyo kubinafsisha bandari, bali ni kuibanafsisha CCM kwa chama kingine,
 
Ndio ikodishwe milele?
 
Umefunga kazi Mkuu
 
The Dar es Salaam Port has improved its ranking in the World Bank's Container Port Performance Index (CPPI). In 2022, the port ranked 361st out of 386 ports. In 2023, the port ranked 312th out of 348 ports. Yaani jitihada zote na location yetu nzuri tuko number 361 kati ya 386 kweli tuna safari ndefu sana. Na hawa jirani wa ki invest huko ndio ujue umepoteza mteja tubaki na kuleta vitenge tuu.
 
Hakuna mtu aliyekataa uwekezaji bali mikataba ya ki Carl Peters yaani magumashi magushi vifungu vya kihuni huni kana kwamba wanasheria hatuna nchi nzima.
 
Sidhani kama kuna TZ yoyote anayekataa uwekezaji labda kama wapo mimi sijuhi, tatizo lipo kwenye masharti yanayowekwa na huyo Investor ndiyo tabu ilipo, yaani yana manufaa kwa watu na nchi kwa ujumla?
 
Hata kusoma unajua ?!!!

Maana ya Alternative ni kwamba kama kuna njia moja wanatafuta na njia nyingine pia sio busara kwa mtu yoyote kutegemea mtu / kitu kimoja kama ambavyo kwetu sisi itakuwa sio Busara kuwategemea DP World Pekee....

Shortest Route; Sasa unategemea DP World wangebeba bandari na kuiweka pale jirani yao ili distance iwe shorter ?!!

Usitegemee dunia ni static mambo yanabadilika na kila siku watu wanaboresha kulingana na mazingira na wakati ; Wakati waafrica tunagombana badala yakusaidiana symbiotically tunashikana uchawi na kila mtu kuwahi kuwapa jamaa wa mbali ili wafanye eti kabla mwenzako hajafanya... !!!!

Kweli all the Pan Africans long gone wangejua akili za the coming generation huenda wangetumia muda wao kwa kunywa togwa na kucheza ngoma....
 
Kama mmeshindwa kuendesha hiyo bandari hadi mnawapa wajomba zenu hamuoni kama nyie ndio wapumbavu?
Uendeshaji wa bandari unahitaji teknolojia na mtaji kwa sasa hapa tulipo kwenye hili ni sawa na migodi ya dhahabu tu magufuli alivowapa mabeberu wachimbe uwezo wetu mdogo lazima tukubali hili mtaendelea kuwalaumu viongozi bure.
 
Inaonekana uelewa wako una walakini mkubwa. Wewe unafikiri kila kilichouzwa ni lazima kuwe na shilingi.

Hivi unaelewa nini ukiambiwa kuwa Taifa fulani limeuza uhuru wake, au limeweka rehani utaifa wake?

Panua akili, usijifunge kwenye fikra ndogo.
Sikia uwezi kuuza kitu pasipo makubaliano yoyote labda iwe biashara ya mabadilishano exchange goods for goods sasa ninyi mnasema bandari imeuzwa kwa misingi ipi?
 
Mnapigia kelele eti Serikali isimpe private operator na hasa Waarabu Sasa sijui mnamaanisha nini..

Mwisho nawakumbusha tuu bila Zambia na DR Congo ,Dar Port ni tembo mweupe la sivyo tukuze sana uchumi wa ndani.
Hivi wewe unajielewa au unaongea tu ilimradi? Nani amekwambia tunapinga private investors? Hapo uliponiquote nimemkataa mwarabu au nimesema yafanyike masahihisho ya vifungu vya ule mkataba. You're such a hypocrite
 
Wee Ni mpumbavu Sana enzi na enzi bandari ya DSM ndio utakuwa lango kuu kwa nchi za Zambia na Congo ,burund,rwanda ,malawi kupitisha shehena zao ,kwa kifupi bandari hi haikwepeki kwa wao watazunguka wataenda watarudi tu Happ Happ DSM


Nyie mnaona dp world anaweza kazi hyo itakuwa umeelewaa na mwarabu huyu na kukujazia ujinga Kam ndio ataleta ufanisi bandarini Ni ujinga na mweu tu atakuelewaa

Unaenda kuchota Uzi wa kipumbavu huko Twitter na Kuja kujaza hapa ili kusudi tuwape bandari Hilo halipo mjinga Sana wew
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…