Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Kuelewa hoja, ni lazima uwe na akili timamu. Wewe umeona, miongoni mwa hawa makuwadi wa DP, kuna mtu mwenye utimamu wa akili? Huoni wote ni short sighted?
Nawakumbusha tuu ndugu Wajamaa,wenye Bandari ni wengi tena zao ni karibu zaidi,ndani ya miaka 10 ijayo mtakuja kulia hapa maana nyie majinga Huwa mnadhani Tanzania Kuna kitu Cha spesho sana ambacho hakipo kwingine
bfb7583b-dc23-3a76-9351-50711b3068d1.png
 
Hii sio hadithi. Huu ndo ujasusi wa kiuchumi sasa.

Nyie endeleni ujinga wenu tu wakati wenzenu wako kikazi hawataki maneno mengi.
Mnawaza matumbo yenu na siyo maendeleo ya wanachi. Mnataka mbinafsishe kila kitu ili mrudi kubana wananchi kwenye kodi. Hela nyingi inaenda nje na hapa bongo tunaachiwa magarasa tu. Gesi ya Mtwara vipi? Kuna unafuu wowote kwa bei ya gesi?
Kama bandari mnashindwa hizo ndege mlizonunua kwa shirika la ATCL mtaweza kweli?
Hiyo mitambo inazidi gharama ya kununua ndege? Kama bandari imeshindikana kuendesha, tufugie samaki itatusaidia
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Hio project sio ya leo wala jana ina muda, ulitegemea Zambia wasafirishe kwa asilimia 100 mizigo yao kupitia Dar? Congo yenyewe ikitulia vyema wakajenga.miundo mbinu mizigo yao inaweza pitia angola, Congo wana altenative shida ni vita na kuto jenga Barabara,Hata malawi pia wana nji nyingine ya Msumbiji
 
Unajua ni hasara kias gani itatokea pindi wakiacha kutumia bandari yetu?
Uliishajiuliza ni lini Serikali iliwahi kuwa na ufanisi kwenye sejta yoyote? Tuna utendaji wa hovyo wa serikali kila mahali:

Bandari ufanisi hafifu
Elimu ufanisi hafifu
Utawala bora ufanisi hafifu
Mipango yetu ufanisi hafifu
Usafiri wa anga ufanisi hafifu
Usimamizi wa sheria ufanisi hafifu
Uheshimu wa katiba ufanisi hafifu
Huduma za reli ufanisi hafifu
Kilimo ufanisi hafifu
Uvuvi ufanisi hafifu
Viwanda ufanisi hafifu
Huduma za umeme ufanisi hafifu

Kama kila penye ufanisi duni, jibu ni kumleta DP, basi tumkabidhi Serikali nzima.

Ukweli ni kwamba kila mahali kuna ufanisi hafifu kwa sababi SERIKALI HAINA UFANISI. Siku zote ukitaka kutatua tatizo, nenda kwenye kisababishi, siyo kwenye matokeo.
 
We mtu hiyo bandari hapo haitegemei hizo nchi,hizo nchi zinategemea hiyo bandari,
Wanaweza kutotumia hata kesho ila mzigo utateremka km kawaida uende mahali pake.
Huko mnataja hakukua na bandari?
Zipo maisha
Kiukweli ujinga ni mzigo,Bandari zilikuwepo ila zilikuwa underdeveloped kutokana na sababu za kihistoria,vita na kiuongozi ,Sasa hivi hakuna Vita tena Angola Wala Namibia ambayo Imepata Uhuru miaka ya 90.

Likewise mambo ya Uongozi duni yameondoka kwenye Nchi nyingi za kiafrika na pia msukumo wa kufanya biashara baina ya Africa na Africa umeongezeka hivyo Nchi nyingi zinaimarisha miundombinu Yao ya kiuchumi jambo ambalo yule mwenye Ufanisi ndio atapata pesa..

Endeleeni kuendeleza ujamaa mbuzi
bfb7583b-dc23-3a76-9351-50711b3068d1.png
Screenshot_20230705-091548.jpg
 
Mizigo mingi ya congo inatokea china ambae ni super producers. Itakuwa ni gharama kubwa Kwa mizigo kutoka china Hadi Angola.

Bandari ya Dar ipo hapo kimkakati.

Kama bandari ya msumbiji iliyo Bahati ya Hindi imeshindwa kuichallenge Dar es salaam port ndio ije kuwa bandari ya Angola
Unazania.Msumbiji wanashindwa kuichalange ya Dar?

Kwani Angola mizigo yao ya kutoka.china inakuja kwa ndege?

Leta hesabu za gharama hapa
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Mtoa hoja pia umeitoa hoja yako kijinga sana. Nani alikwambia watu wanapinga uwekezaji ?
Acha porojo watu wanapinga masharti magumu ya mkataba.
Hoja ikiwazidia rudini mjipange upya sio kutafuta sababu na huruma.
 
Bandari imeuzwa shingap mkuu? tujue kwaza ilo
Inaonekana uelewa wako una walakini mkubwa. Wewe unafikiri kila kilichouzwa ni lazima kuwe na shilingi.

Hivi unaelewa nini ukiambiwa kuwa Taifa fulani limeuza uhuru wake, au limeweka rehani utaifa wake?

Panua akili, usijifunge kwenye fikra ndogo.
 
Wewe ndio wale wajinga ambao mtoa mada anawazungimzia..

Kwa taarifa Yako bila Azmbia na DRC Congo kusafirisha mizigo Yao via Dar Port Tzn itakuwa maskini wa mwisho..

Wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao ndio kusema nusu ya mapato ya TRA yatapungua ila wajinga kama wewe hamuwezi kuelewa..

Lobito Port ya Angola operator wale ni AG Group ya Abu Dhabi
Zambia wana project ya Reli kutokea Angola, so lazima hata wao mizigo mingine ipitia Angola
 
Uliishajiuliza ni lini Serikali iliwahi kuwa na ufanisi kwenye sejta yoyote? Tuna utendaji wa hovyo wa serikali kila mahali:

Bandari ufanisi hafifu
Elimu ufanisi hafifu
Utawala bora ufanisi hafifu
Mipango yetu ufanisi hafifu
Usafiri wa anga ufanisi hafifu
Usimamizi wa sheria ufanisi hafifu
Uheshimu wa katiba ufanisi hafifu
Huduma za reli ufanisi hafifu
Kilimo ufanisi hafifu
Uvuvi ufanisi hafifu
Viwanda ufanisi hafifu
Huduma za umeme ufanisi hafifu

Kama kila penye ufanisi duni, jibu ni kumleta DP, basi tumkabidhi Serikali nzima.

Ukweli ni kwamba kila mahali kuna ufanisi hafifu kwa sababi SERIKALI HAINA UFANISI. Siku zote ukitaka kutatua tatizo, nenda kwenye kisababishi, siyo kwenye matokeo.
Kaka unqzijua tabia za wabongo?

Ushawai jiuliza kwanini nje ya nchi wabongo wachache?

Ushajiuliza kwanini nchina inaweka umakini sana na wtz?
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Upumbavu ni mwingi mwaisa.., ufanisi gani usiokuwa na masirahi yakininifu kwa Taifa., nyerere hakuwa mjinga kulinda rasilimali za Taifa mpaka wasomi nyie mtakapojielewa. Matokeo yake wasomi nyie mmekuwa warafi, wabinafsi, wanafiki wenye njaa mbele utu nyuma. Oooh mnaeneza eti Watz hawataki wawekezaji, acheni ujinga nyie.
 
Tangu lini mngoni wa Songea akawa Mzanzibari?
Usiwadhalilishe watani zangu wangoni. Hakuna wangoni wa namna hiyo. Wangoni, chini ya Chabruma, walipambana na Mjerumani ili kulinda integrity yao, hawawezi kuwa na wazao wa hivyo.

Kupenda kuuza uza hata rasimali zinazokuhakikishia urithi wako kamili na wazao wako, tabia hizo zipo zaidi pwani, ambako mtu huuza hata upenu wa nyumva yake ili aweze kupata mlo wa mwezi mmoja. Watani zangu na majirani zangu wangoni, ambao ni wajomba zangu pia, hawana hizo tabia, usiwadhalilishe. Usikatae kwenu, hata kama unatoka Mchambawima, jivunie kwenu.
 
Zambia wana project ya Reli kutokea Angola, so lazima hata wao mizigo mingine ipitia Angola
Sio mingine karibu 3/4 ya mizigo Yao itapita Angola na Msumbiji mpaka hapo hatuna Chetu..

Ndio maana kwa Serikali zinazojitambua inatakiwa tuondoe wazo kabisa la kujenga Bandari Kwa dhana ya kutegemea wateje wa Nje Bali ndani ya Nchi kama ilivyo Kenya..

Hiyo Advantage wanayo Msumbiji na Angola tuu ndio Bandari zao ni kama vile no way lazima Zimbabwe,Malawi na Zambia wapitishe mizigo.
 
Acha uongo, Zambia na Congo kuacha kutumia bandari ya Dar es salaama na kuhamia keingineko kamaNamibia au South Africa garama ni kubea mno zaidi ya mara 2 n hii ni kutokana na umbali ndio maana hata wakijaribu bado haiwezekani.

Kwani wao Zambi na Congo wamesema hawataki watanzania kuendesha bandari na wanawataka DPW ndio waendeshe bandari?

Sent from my SM-J730F using JamiiForums mobile app
Weka hapa gharama
 
We mtu ngumbaru hiyo bandari hapo haitegemei hizo nchi,hizo nchi zinategemea hiyo bandari,
Wanaweza kutotumia hata kesho ila mzigo utateremka km kawaida uende mahali pake.
Huko mnataja hakukua na bandari?
Zipo maisha
Shida ni ilikuwa vita na miundombinu
 
Kiukweli ujinga ni mzigo,Bandari zilikuwepo ila zilikuwa underdeveloped kutokana na sababu za kihistoria,vita na kiuongozi ,Sasa hivi hakuna Vita tena Angola Wala Namibia ambayo Imepata Uhuru miaka ya 90.

Likewise mambo ya Uongozi duni yameondoka kwenye Nchi nyingi za kiafrika na pia msukumo wa kufanya biashara baina ya Africa na Africa umeongezeka hivyo Nchi nyingi zinaimarisha miundombinu Yao ya kiuchumi jambo ambalo yule mwenye Ufanisi ndio atapata pesa..

Endeleeni kuendeleza ujamaa mbuzi View attachment 2678969View attachment 2678971?
Ongea mada yako ni ipi kuhusishwa na bandari hii yetu kukodishwa milele?
Mambo ya Angola,Msumbiji, Kenya, Somalia,Panama yanatuhusu nini sisi?
Tunaongelea issue hii hapa.
Hao waende watarudi.
Kwanza labda wameona kukiboreshwa hawatapata njia za panya km zamani.
Mwarabu anabeba kila kitu.
Ndo mana wanakimbia
 
Back
Top Bottom