Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
Waza kidogoNonsense.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Waza kidogoNonsense.
Mnapigia kelele eti Serikali isimpe private operator na hasa Waarabu Sasa sijui mnamaanisha nini..Ohoo kumbe unajua kuwa mkataba una mapungufu, yes na hili ndilo watu wanalipigia kelele na si muwekezaji Bali vifungu vinavyoifunga nchi yetu katika mkataba ule. Ukisahihishwa mwarabu aendelee
Congo wana bandari, lakini umbali kutoka bandari Kinshasa na maeneo mengine ya nchi ndiyo yaliyopelekea Congo DRC kutumia bandari ya Dar es salaam. Pia Congo DRC, kama nchi haipo connected ma miundo mbinu ya barabara.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Hao watu wachache ni wapi,mpaka Rais na Serikali yake washindwe kuwadhibiti?.Sasa kuna maana gani ya MTU kuwa Rais halafu watu wanachezea nyenzo za uchumi unawaangalia?Haya majinga majinga Huwa yanadhani Kila mtu ambae anasapoti Rais Samia au Bandari ni Mzenji,Kwa taarifa Yao Mimi kwetu Njombe na naunga mkono hoja..
Jana kwenye kijiwe na washakaji wengi walisema Bora Apewe Mwarabu kuliko watu wachache kuigeuza Bandari shamba la bibi harafu wajinga wanahemka.
Mie nawashangaa sana hawa watu,wanatengeneza matatizo kisha wanajitoa na kutafuta njia za kuendelea kuiba kwa mgongo wa kutatua matatizo.Congo wana bandari, lakini umbali kutoka bandari Kinshasa na maeneo mengine ya nchi ndiyo yaliyo0elekea Congo DRC kutumia bandari ya Dar es salaam.
Zambia pia kwa ni rahisi kusafirisha mizigo kutoka Lobito hadi Zambia, pia kuna maeneo ya Congo DRC ni rahisi kutoa mizigo kutoka Lobito hadi huko.
Wakati nyie mmeiua reli ya TAZARA, Angola wamejenga Benguela rail hadi Congo DRC.
So usijiongelee tu ili mradi, bali jielemishe vya kutosha maana umetamani mwenyewe kuongea kuongea kwenye audience hivyo lazima uwe well composed.
Nimekutumia kielelezo ili ujielimishe zaidi.
View attachment 2678944
DP world ni wahuni.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Mshamba mmoja wa nanjilinji huko hata bahari haifahamuUkiogelea unaingiza mapato? Mbona bandari ipo sikuzote umeenda kuogelea? Kwaza unajua kuogelea?
Wana uhuni gani?DP world ni wahuni.
Kwa nini Serikali ikichukua hatua mnapinga?Mie nawashangaa sana hawa watu,wanatengeneza matatizo kisha wanajitoa na kutafuta njia za kuendelea kuiba kwa mgongo wa kutatua matatizo.
Reli ya TAZARA ilijengwa kitambo hicho kwa lengo la Ku facilitate trade kati ya Zambia na Tanzania.
Wameua reli,ambapo mizigo ingekuwa inafika Zambia kwa gharama nafuu kwa makusudi kabisa ili malori yao ya mizigo yafanye kazi.
Tanzania ni Nchi ya matahira sana-kuanzia viongozi mpaka Wananchi.
Kwani ufanisi wa bandari ni mpaka bandari ipewe watu kwa mikataba ya hovyo!?Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Unadhani Bandari zetu na reli zetu zikiwa na ufanishi itakuwa shida kusafirisha mizigo kutoka Dsm kwenda Congo na Zambia?Congo wana bandari, lakini umbali kutoka bandari Kinshasa na maeneo mengine ya nchi ndiyo yaliyo0elekea Congo DRC kutumia bandari ya Dar es salaam.
Zambia pia kwa ni rahisi kusafirisha mizigo kutoka Lobito hadi Zambia, pia kuna maeneo ya Congo DRC ni rahisi kutoa mizigo kutoka Lobito hadi huko.
Wakati nyie mmeiua reli ya TAZARA, Angola wamejenga Benguela rail hadi Congo DRC.
So usijiongelee tu ili mradi, bali jielemishe vya kutosha maana umetamani mwenyewe kuongea kuongea kwenye audience hivyo lazima uwe well composed.
Nimekutumia kielelezo ili ujielimishe zaidi.
View attachment 2678944
Kama kuna ufanisi unadhani kwa nini wenzenu wanaenda kwingine?Kwani ufanisi wa bandari ni mpaka bandari ipewe watu kwa mikataba ya hovyo!?
Kwani haiwezekani kuongeza ufanisi kwa kuongeza tu uwekezaji na usimamizi!??
Halafu kwanini unaita watu wajinga kisa wewe umekubali mkataba huo!?
Haujawaza kuwa inawezekana wewe ukawa wrong pia?
Just by starting this thread, you are insulting your own common sense and prove to the world that you do have a very low IQ, and mostly probably your APGAR score must have been low by then. Kwamba hoja yako ni kwamba we have to accept the claptrap contract for the sake of doing business with Congo and Zambia..?? Like are you for real...?
Zenye uthibitisho.Habri za kuokoteza
Huo sio msimamo! Huo ni ujinga? Wapi pana ukakasi?Naimani wetu wananchi uko pale pale sehemu za makubaliano zenye ukakasi ziwekwe sawa kama itashindikana basi tutafute mwekezaji mwingine hizi habari za kutuambia sijui Congo na Zambia wanaondoka hazibadilishi msimamo wetu juu ya mkataba wa kimangungo mlioingia
Kwa kusani mkataba wa kipumbavu sanaBandari imeuzwaje?
Mkataba una upumbavu gani?Kwa kusani mkataba wa kipumbavu sana