Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Mizigo mingi ya congo inatokea china ambae ni super producers. Itakuwa ni gharama kubwa Kwa mizigo kutoka china Hadi Angola.

Bandari ya Dar ipo hapo kimkakati.

Kama bandari ya msumbiji iliyo Bahati ya Hindi imeshindwa kuichallenge Dar es salaam port ndio ije kuwa bandari ya Angola
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Safi sana endeleeni kukaza maana Zambia na DRC wanataka kutumia Bandari ya Namibia, Msumbiji na Angola..
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Wewe ni mzanzibari. Haya ya Tanganyika tuachie wenyewe
 
Taja Kifungu cha Katiba kinachosema Tanzania lazima isafirishe Mizigo ya Zambia na Congo!
Wewe ndio wale wajinga ambao mtoa mada anawazungimzia..

Kwa taarifa Yako bila Azmbia na DRC Congo kusafirisha mizigo Yao via Dar Port Tzn itakuwa maskini wa mwisho..

Wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao ndio kusema nusu ya mapato ya TRA yatapungua ila wajinga kama wewe hamuwezi kuelewa..

Lobito Port ya Angola operator wale ni AG Group ya Abu Dhabi
 
"""Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia""""

You speak as if wewe ni raia wa nchi nyingine...pathetic kabisa, hakuna Mtanzania anayekataa uwekezaji ulio na tija kwa Tanzania.
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini huo uwekezaji wa tshs trillion 1 serekali haiwezi kuufanya.kwamba Serikali yako inashindwa kutenga trillion 1 kuwekeza kwenye bandari katika bajeti yake hata tukisema tutenge kwa awamu 3 inawezekana.
 
Back
Top Bottom