Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
A BIG LOSS SERIOUSLY!, SEREKALI IACHANE NA HAO WA PUMBAVU WA CHACHE WALIOPO MITANDAONI, TUSONGE MBELE,MKATABA USAHIHISHWE KIDOGO TUSONGE.
 
Tangu lini mngoni wa Songea akawa Mzanzibari?
Haya majinga majinga Huwa yanadhani Kila mtu ambae anasapoti Rais Samia au Bandari ni Mzenji,Kwa taarifa Yao Mimi kwetu Njombe na naunga mkono hoja..

Jana kwenye kijiwe na washakaji wengi walisema Bora Apewe Mwarabu kuliko watu wachache kuigeuza Bandari shamba la bibi harafu wajinga wanahemka.
 
Wewe ndio wale wajinga ambao mtoa mada anawazungimzia..

Kwa taarifa Yako bila Azmbia na DRC Congo kusafirisha mizigo Yao via Dar Port Tzn itakuwa maskini wa mwisho..

Wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao ndio kusema nusu ya mapato ya TRA yatapungua ila wajinga kama wewe hamuwezi kuelewa..

Lobito Port ya Namibia operator wale ni AG Group ya Abu Dhabi
Anabishia kitu ambacho hakitambui
 
Kwa hiyo kwa akili yako unaamini huo uwekezaji wa tshs trillion 1 serekali haiwezi kuufanya.kwamba Serikali yako inashindwa kutenga trillion 1 kuwekeza kwenye bandari katika bajeti yake hata tukisema tutenge kwa awamu 3 inawezekana.
Uwekezaji mkubwa watakaouleta hao DP World sio wa hela pekee Bali wa efficient, network ya soko na kuondoa urasimu na Bandari kuwa shamba la bibi Kwa maslahi ya wachache..

Wale msiojua nawataadifu tuu kwamba Zambia na Congo wakipungiza nusu tuu ya Cargo Yao Dar Port ujue hiyo Bandari inageuka kuwa temba mweupe..
 
Muulize maswali yenye logic

Unajua ni hathari kiasi gani inaweza kutokea pindi tu wakiacha kutumia bandari ya tz?
Sasa mimi ndiye niliyeuliza swali mkuu? Ninajua kuwa mapato ya bandari yatashuka na kuathiri moja kwa moja uchumi wa nchi yetu. Hivi tulitengeneza bandari ili tuwe na permanent customers?
 
Kwanza huna adabu unawaita watanzania wajinga wakitetea rasilimali nyeti kama bandari,bandari ipo kutunufaisha sisi hao wengine ni ziada tu.
Kwani uongo Mzee?
20230217_220808.jpg
 
Hawana namna Ni DSM ndio njia tu maisha Yao yotee watazunguka ila DSM ndio Bab lao

Nafurahi kuzaliwa Tanzania nchi Ina kila kitu yaani

Bas tu wajinga fln ndio wanakwamisha mambo
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
aliyewadanganya kwamba mzigo ukitoka china uzunguruke south africa hadi angole ni bei rahisi kulliko kutokea dar es salaam, amewapoteza, wacha tu waende, wakishindwa watarudi.
 
A BIG LOSS SERIOUSLY!, SEREKALI IACHANE NA HAO WA PUMBAVU WA CHACHE WALIOPO MITANDAONI, TUSONGE MBELE,MKATABA USAHIHISHWE KIDOGO TUSONGE.
Ohoo kumbe unajua kuwa mkataba una mapungufu, yes na hili ndilo watu wanalipigia kelele na si muwekezaji Bali vifungu vinavyoifunga nchi yetu katika mkataba ule. Ukisahihishwa mwarabu aendelee
 
Sasa mimi ndiye niliyeuliza swali mkuu? Ninajua kuwa mapato ya bandari yatashuka na kuathiri moja kwa moja uchumi wa nchi yetu. Hivi tulitengeneza bandari ili tuwe na permanent customers?
Hapana ila sio kuwapotez wateja wa muda mrefu ambao wana mchango mkubwa sana kakita mapato hivi nchi tatu zote zikiacha kutumia bandari ya Dar what next?
 
Hawana namna Ni DSM ndio njia tu maisha Yao yotee watazunguka ila DSM ndio Bab lao

Nafurahi kuzaliwa Tanzania nchi Ina kila kitu yaani

Bas tu wajinga fln ndio wanakwamisha mambo
Ona huyu nyumbu,si ajabu mtoa mada amewaita wajinga..

Sasa Kwa taarifa Yako tuu ni kwamba Angola inaendelea na upanuzi mkubwa wa Bandari yake ya Lobito ambayo ni route fupi kufika Zambia kuliko Dar.
Pili Msumbiji inaendelea na maboresho ya miundombinu ya usafirishaji ambayo itawezesha Bandari yake kutumika zaidi na DRC Congo upande wa Lubumbashi ambayo nusu ya mizigo inakwenda huko kutoka Dar Port..

Ukiacha hayo Zambia wanajenga bomba la mafuta kutoka Angola na kutoka Namibia Ili mafuta yote yapitie Kwa bomba Sasa tankers zenu tafuteni kazi ya kufanya..

Hii ni Dunia ya ushindani na ujinga mliojilisha kudhani eti Tanzania haiepukiki mnajidanganya sana bwashee..

Muda ni Mwalimu mzuri,endeleeni na habari za ujamaa mbuzi.
 
Muwe mnaelewa hoja! Hakuna anayepinga uwekezaji wala uboreshaji wa Bandari ili kuleta ufanisi!

Hiyo haihalalishi kugawa Bandari zetu na kuingia ktk mikataba ya Kimangungo!
hii issue yote ni kagame amepiga udalali, Haikande alikuwa rwanda juzi tu hapa atakuwa amekubaliana naye ili ajifanye anataka kubadilisha route ya mizito ili kuwastua watanzania wakubaliane na dp world ambayuo pia imeweka bandari kavu kigali. mambo ya intelijensia ya uchumi kama haya sisi wengine tunayajua sana.
 
Back
Top Bottom