Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Zambia na Congo zaanza kutafuta njia mbadala kusafirisha mizigo yao

Wee Ni mpumbavu Sana enzi na enzi bandari ya DSM ndio utakuwa lango kuu kwa nchi za Zambia na Congo ,burund,rwanda ,malawi kupitisha shehena zao ,kwa kifupi bandari hi haikwepeki kwa wao watazunguka wataenda watarudi tu Happ Happ DSM

Nyie mnaona dp world anaweza kazi hyo itakuwa umeelewaa na mwarabu huyu na kukujazia ujinga Kam ndio ataleta ufanisi bandarini Ni ujinga na mweu tu atakuelewaa

Unaenda kuchota Uzi wa kipumbavu huko Twitter na Kuja kujaza hapa ili kusudi tuwape bandari Hilo halipo mjinga Sana wew
Mpumbavu ni wewe ambae hujielwei Wala huelewi kitu upo upo tuu kama unafigwa..

Lango kuu la nani?
 
So kipi ni Bora kufanya?
Kurekebisha vifungu vilivyokwenye mkataba na DP World ikishindikana apigwe chini TENDER IWEKWE WAZI. Simple tu
Hii dunia ni ya ushindani, tutampata tu mwekezaji ambaye atacomply na masharti yetu ili tufaidike na rasimali zetu (BANDARI)
 
Ninachoamini wafanya biashara ndio wataamua watumie bandari ipi kutokana na mizigo inapokwenda

Bandari ya Dar ipo kwenye strategic position na hyo SGR ikikamilika ndio kabisaa itakua unbeatable
 
Kwani hao zambiana congo ni nani haswa sisi watanzania hatuwezi kuruhusu takataka chache zituuze kunufaisha waarabu
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Exposure tafuta wewe
 
Imeuzwaje?
Kama ni mabadiliko kila siku tunaimba na hamko tayari kwa mabadiliko hayo, kwakuwa mnajua mtawekwa pembeni. Kama mmeamua mabadiliko kubalini mabadiliko kwa maana ya mabadiliko, na sio hayo mabadiliko ya sehemu moja tu ambayo mna maslahi nayo binafsi.
 
Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.

Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!

Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Labda huna taarifa!! Tokea zamani zambia na congo wana option ya bandar kubwa tatu, durban , walvis bay na dar es salaam. Durban na walvis bay huwa wanatumia wanapopeleka mizigo yao america na europe. Dar es salaam wanitimia wanapopeleka mizigo yao asia na china. Mpizani pekee wa bandari ya dar es salaam kwa mizigo yq zambia na congo ni beira ya msumbiji. Kitu kinachowasumbua huko ni lugha maana msumbiji wanaongea kireno.
 
Ina maana watanzania millioni 62 amekosekana msimamizi mzuri mpaka muwape waarabu? Politics is hell.
Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?

Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani
 
Labda huna taarifa!! Tokea zamani zambia na congo wana option ya bandar kubwa tatu, durban , walvis bay na dar es salaam. Durban na walvis bay huwa wanatumia wanapopeleka mizigo yao america na europe. Dar es salaam wanitimia wanapopeleka mizigo yao asia na china. Mpizani pekee wa bandari ya dar es salaam kwa mizigo yq zambia na congo ni beira ya msumbiji. Kitu kinachowasumbua huko ni lugha maana msumbiji wanaongea kireno.
Umemsoma vizuri na kumwelewa Rais wa Zambia?

Au ndo unaendeleza tu tantalila zako?
 
Umemsoma vizuri na kumwelewa Rais wa Zambia?

Au ndo unaendeleza tu tantalila zako?
Ruto si alisema ataacha kutumia dola within weeks amefanikiwa?
Rais wa zambia hana uwezo wa kuacha kutumia bandari ya dar kwa copper anayopeleka asia , never ever .
 
Kama huelewi Baki hivyo hivyo na ujinga wako..

Mara imekodishwa milele mara imeuzwa which is which?

Kukodishwa milele Kuna shida gani kama pesa nazo zinaongezeka milele hivyo hivyo?
Mkeo mwenyewe hawezi kukaa na wewe milele wala kukodishwa.
We unaongea nini mvaa kobazi
 
Mnajichanganya, mlisema sasa hivi mambo safi mizigo bandarini imeongezeka nchi imefunguliwa
 
"""Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia""""

You speak as if wewe ni raia wa nchi nyingine...pathetic kabisa, hakuna Mtanzania anayekataa uwekezaji ulio na tija kwa Tanzania.
Mnawachanganya watu nyie wenyewe ndio mlikua mlisema sasa hivi bandarini mizigo imeongezeka, mapato yameongezeka, meli kubwa kubwa zinakuja nchi imefunguliwa. Haya unayosema leo yametoka wapi?
 
Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?

Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani
Shida sio dp world , shida ni mkataba gani tumeingia na dp world. First class countries kutokana na uwazi na sera zao wana uwezo wa kufanya lobbying hata na mashetani na bado wakapata reasonable deals. Huku kwetu dp akishahonga group la watu anaweza kuandika chochote kwenye mkataba , rejea mikataba ya symbion power projects.
 
bandari ya Dar , haikimbiliki kirahisi hivo , inakila urahisi wa kifikika na nchi za ukanda wa kusini , Angola kwanza ni distance ya kutosha . watarudi tu hao ,
 
Back
Top Bottom