ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 66,537
- 75,687
Mpumbavu ni wewe ambae hujielwei Wala huelewi kitu upo upo tuu kama unafigwa..Wee Ni mpumbavu Sana enzi na enzi bandari ya DSM ndio utakuwa lango kuu kwa nchi za Zambia na Congo ,burund,rwanda ,malawi kupitisha shehena zao ,kwa kifupi bandari hi haikwepeki kwa wao watazunguka wataenda watarudi tu Happ Happ DSM
Nyie mnaona dp world anaweza kazi hyo itakuwa umeelewaa na mwarabu huyu na kukujazia ujinga Kam ndio ataleta ufanisi bandarini Ni ujinga na mweu tu atakuelewaa
Unaenda kuchota Uzi wa kipumbavu huko Twitter na Kuja kujaza hapa ili kusudi tuwape bandari Hilo halipo mjinga Sana wew
Kurekebisha vifungu vilivyokwenye mkataba na DP World ikishindikana apigwe chini TENDER IWEKWE WAZI. Simple tuSo kipi ni Bora kufanya?
Exposure tafuta weweWakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Kama ni mabadiliko kila siku tunaimba na hamko tayari kwa mabadiliko hayo, kwakuwa mnajua mtawekwa pembeni. Kama mmeamua mabadiliko kubalini mabadiliko kwa maana ya mabadiliko, na sio hayo mabadiliko ya sehemu moja tu ambayo mna maslahi nayo binafsi.Imeuzwaje?
Ina maana watanzania millioni 62 amekosekana msimamizi mzuri mpaka muwape waarabu? Politics is hell.Imeuzwaje?
Labda huna taarifa!! Tokea zamani zambia na congo wana option ya bandar kubwa tatu, durban , walvis bay na dar es salaam. Durban na walvis bay huwa wanatumia wanapopeleka mizigo yao america na europe. Dar es salaam wanitimia wanapopeleka mizigo yao asia na china. Mpizani pekee wa bandari ya dar es salaam kwa mizigo yq zambia na congo ni beira ya msumbiji. Kitu kinachowasumbua huko ni lugha maana msumbiji wanaongea kireno.Wakati wajinga fulani nchini Tanzania wakipigana kufa na kupona kuzuia jitihada za Serikali kuifanya Bandari ya Dar es Salaam kuwa na ufanisi ili kukamata soko la Afrika Mashariki na Kati huku Serikali ikiendelea kupata shida kutokana na wajinga hao kuendelea kusisitiza ujinga wao, mataifa yaliyokuwa yanategemea Bandari ya Dar es Salaam sasa yameanza kuchukua hatua za kuondokana na Bandari hiyo ambayo imekuwa ikisifika kwa kutokuwa na ufanisi na kuchelewesha mizigo.
Jana Marais wa Zambia na Congo wamekubaliana kutumia Bandari ya Lobito ya nchini Angola huku wakitengeneza corridor mpya ya usafirishaji ijulikanayo kama corridor ya Lobito!
Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia
View attachment 2678928
Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?Ina maana watanzania millioni 62 amekosekana msimamizi mzuri mpaka muwape waarabu? Politics is hell.
Umemsoma vizuri na kumwelewa Rais wa Zambia?Labda huna taarifa!! Tokea zamani zambia na congo wana option ya bandar kubwa tatu, durban , walvis bay na dar es salaam. Durban na walvis bay huwa wanatumia wanapopeleka mizigo yao america na europe. Dar es salaam wanitimia wanapopeleka mizigo yao asia na china. Mpizani pekee wa bandari ya dar es salaam kwa mizigo yq zambia na congo ni beira ya msumbiji. Kitu kinachowasumbua huko ni lugha maana msumbiji wanaongea kireno.
Ruto si alisema ataacha kutumia dola within weeks amefanikiwa?Umemsoma vizuri na kumwelewa Rais wa Zambia?
Au ndo unaendeleza tu tantalila zako?
Anajirusha ufahamu.Nani kasema Katiba inasema hayo?
Umekunywa chai kweli bwashee? Au umeamka na hangover?
Mkeo mwenyewe hawezi kukaa na wewe milele wala kukodishwa.Kama huelewi Baki hivyo hivyo na ujinga wako..
Mara imekodishwa milele mara imeuzwa which is which?
Kukodishwa milele Kuna shida gani kama pesa nazo zinaongezeka milele hivyo hivyo?
Unatakiwa uburuzwe kwa nguvu.Nikiwa mjinga kuna tatizo gani?
Mnawachanganya watu nyie wenyewe ndio mlikua mlisema sasa hivi bandarini mizigo imeongezeka, mapato yameongezeka, meli kubwa kubwa zinakuja nchi imefunguliwa. Haya unayosema leo yametoka wapi?"""Tukisema watanzania tafuteni exposure muondokane na ujinga mtuelewege jamani! Sasa endeleeni na tantalia zenu kukataa uwekezaji wa kufanya mabadiliko ya kweli bandarini huku wale wateja mliokuwa mnawategemea wakizidi kuwakimbia""""
You speak as if wewe ni raia wa nchi nyingine...pathetic kabisa, hakuna Mtanzania anayekataa uwekezaji ulio na tija kwa Tanzania.
Shida sio dp world , shida ni mkataba gani tumeingia na dp world. First class countries kutokana na uwazi na sera zao wana uwezo wa kufanya lobbying hata na mashetani na bado wakapata reasonable deals. Huku kwetu dp akishahonga group la watu anaweza kuandika chochote kwenye mkataba , rejea mikataba ya symbion power projects.Southampton walipowapa DP World inamaanisha hakuna mwingereza anayejua kuendesha?
Kuwa na akili ya namna hiyo tu unamaanisha umejaza ujinga kichwani