Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.
Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.
Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.
Anaye stahili V8, aache stembelee V8.
Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake...
The World has moved out and away of austerity..
Makosa haya aliyafanya habari Magufuli.

Huwezi kubadilisha mifumo bila kubadilisha Sheria zinazoongoza mifumo hiyo. Nyongeza za mishahara zipo kisheria otherwise ubadilishe Sheria kwanza ndiyo uzikatae. Bila kufanya hivyo TAYARI Ni ubabe, na ubabe unaweza kuzaa udikteta uchwara au udikteta KAMILI km ule wa Magu.
 
Huku kwetu si rahisi, wanasiasa wenu ni wachumia tumbo haswaa..
 
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.

Hichilema amehoji “Kwanini mnatumia pesa kumnunulia Meya VX? hiyo pesa ya kumnunulia Meya VX inaweza kuweka vyoo katika masoko yote kwenye miji yenu, piteni katika mstari huo.... Meya bado anaweza kuendesha gari zuri kama vile Hilux double cabin sio lazima gari liwe VX, mkitaka kuendesha VX nunueni kwa pesa zenu”

Kwa upande mwingine Rais huyu ambaye hakutaka kupokea mshahara wa Urais kwa miezi nane akisema kilichomsukuma kuingia madarakani sio pesa bali uzalendo wa kuijenga Nchi yake, aliwataka pia Watumishi wa Serikali wanaotaka kuongezewa mishahara wafikirie Wananchi ambao wanateseka kabla ya kutaka nyongeza hiyo.

"Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.”
———Hakainde Hichilema.

Source "MillardAyoUPDATES"
 
Wapi video?
 
Mabadiliko ya Zambia au Malawi hayakuletwa na vyama vya siasa bali wananchi.

Watanzania akili zetu zimedumaa, tunawategemea wanasiasa kwa kila kitu... Yaani sijui Chadema hapa mara Ccm pale... Ooh hao nyumbu sijui wengine buku saba... Hii inasaidia nini kwenye maendeleo ya mtu mmoja mmoja na ya nchi kwa ujumla?

Watanzania tumefitinishwa na wanasiasa na tumefitinika kweli kweli.

Kama hatutaacha tabia ya "sifia sifia" viongozi hatutafanikiwa kujitoa kwenye huu udumavu.
gooooood hivi watu hawaelewi wapi wenzetu Kenya wanasema KENYA KWANZA vyama baadae Sisi tumegandishwa na vyama utafikiri chupi na matako
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.
Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.
Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.
Anaye stahili V8, aache stembelee V8.
Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake...
The World has moved out and away of austerity..

Cheki mlamba asali huyu.
 
Wewe unafuatilia mambo ya Nchi ya Zambia kuliko mambo ya Nchi yako au laa utakuwa ni raia harafu wa Zambia.

Sasa kwa Taarifa yako Serikali ilitangaza Bungeni kuwakopesha magari watumishi wake Ili wayahusumie wenyewe na kuwapimia mafuta.

Waziri wa Fedha Amesema hatua hizo zita cut expenditure ya serikali kutoka bil.554 kubakia Bilioni 54 tuu.

Angalizo,jambo hili halitafanywa overnight Bali hatua kwa hatua.

Shida ni utekelezaji tu kama itakua kweli hapa wanastahili pongezi kwa kubana matumizi. Mama pia apunguze misafara
 
Wewe unafuatilia mambo ya Nchi ya Zambia kuliko mambo ya Nchi yako au laa utakuwa ni raia harafu wa Zambia.

Sasa kwa Taarifa yako Serikali ilitangaza Bungeni kuwakopesha magari watumishi wake Ili wayahusumie wenyewe na kuwapimia mafuta.

Waziri wa Fedha Amesema hatua hizo zita cut expenditure ya serikali kutoka bil.554 kubakia Bilioni 54 tuu.

Angalizo,jambo hili halitafanywa overnight Bali hatua kwa hatua.
Hakuna mkopo ni gari kugawiwa bure tu. 😁😁 Tz wanawaza namna ya kukwepa kodi, kufanya ulaghai, kula kulingana na urefu wa kamba yako. Hayo magari yanayokopeshwa km hamuwezi kuyahudumia si mfanye kama huyu mzambia. Ukimkopesha tyr gari lake sijui ukitaka kumuagiza kikazi akakuambia gari sina utamwambia nini? Muangalie pande zote nguchiro nyie kabla hamjaanza kukopesha, changamoto zake ktk ufanyaji kazi itakuwaje.
 
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.

Hichilema amehoji “Kwanini mnatumia pesa kumnunulia Meya VX? hiyo pesa ya kumnunulia Meya VX inaweza kuweka vyoo katika masoko yote kwenye miji yenu, piteni katika mstari huo.... Meya bado anaweza kuendesha gari zuri kama vile Hilux double cabin sio lazima gari liwe VX, mkitaka kuendesha VX nunueni kwa pesa zenu”

Kwa upande mwingine Rais huyu ambaye hakutaka kupokea mshahara wa Urais kwa miezi nane akisema kilichomsukuma kuingia madarakani sio pesa bali uzalendo wa kuijenga Nchi yake, aliwataka pia Watumishi wa Serikali wanaotaka kuongezewa mishahara wafikirie Wananchi ambao wanateseka kabla ya kutaka nyongeza hiyo "Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.” ——— Hakainde Hichilema. #MillardAyoUPDATES

Kwa Tanzania hii kitu haipo, make tutambue kwanza Zambia Raia wao wanajitambua tofauti na Tanzania ambako CCM inaongoza. Viongozi Tanzania hawawezi fanya kama Zambia kwa sababu kwanza wanaongoza wajinga hii inafanyika kwenye nchi yenye watu wenye akili,
Awe rais wa Tz tutasonga mbele
 
Yuko sahihi His Excellency Hichilema. Kuna msafara wa Rais niliushuhudia mahali hadi leo naota maruweruwe kwa yale madude ya ajabu niliyoshuhudia.
Nimeushuhudia Kyela VX V8 zilifika 58
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.
Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.
Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.
Anaye stahili V8, aache stembelee V8.
Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake...
The World has moved out and away of austerity..
Kwa nn unahisi meya hadhi yake ni V8 na sio double cabin?
 
Lusaka, Zambia

Avoid wasteful expenditure – HH​

President Hakainde Hichilema has challenged Heads of Quasi Government Institutions and Statutory Bodies to be spending on revenue generating items as opposed to spending on consumption and other wasteful related expenditure.

Speaking during a Special Meeting for Heads of Quasi Government Institutions and Statutory Bodies at Kenneth Kaunda Wing, Mulungushi International Conference Centre in Lusaka, President Hichilema observed that there is high appetite for extravagance among public officers who are spending on luxury vehicles at the expense of creating extra jobs for citizens.

The Head of States stressed the need for public officers to change the way they work by preventing public resources from going to waste and create extra jobs for Zambians unlike placing value in the wrong areas like having luxury vehicles.

“Spending on revenue generating items as opposed to spending on consumption and other wasteful related expenditure which does not generate revenue that will help us to unlock one other area of our economy and create a job. Just one extra job is good enough.”

“Some of you love luxury cars, how does that luxury car help to create a job? One of you are buying VXs every day, why can’t you hold back so that you save money because that is consumption.

Our attitudes are wrong; we are placing value in the wrong places. I am observing, I see appetite for extravagance from the public officers, you want to travel first class, before you took a government job you could not even buy an economy ticket for yourself, all of a sudden you want to travel first class,” President Hichilema said.

He further urged the Heads of Quasi Government Institutions and Statutory Bodies to move away from extravagance and focus on the common interest of bettering the lives of people.

Meanwhile, President Hichilema called for investment in Mpulungu harbor whose infrastructure has not improved for many years to allow traders compete favorably with the Tanzanian ports which is being constructed on Lake Tanganyika.
“Mpulungu Harbor area has not changed and now Tanzania is building a port on Lake Tanganyika competing with us when we were there ahead of Tanzania. So in the last7 years why didn’t we improve Mpulungu so that we can have proper docking facilities there and proper handling facilities so that we can attract more customers to move goods to the Great Lakes?”

“We are failing the traders because we are not managing Mpulungu Harbor and putting infrastructure quick enough that will allow them to compete with the Tanzanian Port on the same lake,” he added.

The Special Meeting for Heads of Quasi Government Institutions and Statutory Bodies was held under the theme; working together towards a common purpose.

Source : Avoid wasteful expenditure - HH - Money FM Radio - "Your Business & Personal Finance Radio"
 
294240620_636725844476813_3404587961077715381_n.jpg

Photo : President Hakainde Hichilema of Zambia

• There is appetite for extravagance from the public officers.
• Some of them love luxury cars.
• Move away from extravagance and focus on the common interest of bettering the lives of people
 
Wewe unafuatilia mambo ya Nchi ya Zambia kuliko mambo ya Nchi yako au laa utakuwa ni raia harafu wa Zambia.

Sasa kwa Taarifa yako Serikali ilitangaza Bungeni kuwakopesha magari watumishi wake Ili wayahusumie wenyewe na kuwapimia mafuta.

Waziri wa Fedha Amesema hatua hizo zita cut expenditure ya serikali kutoka bil.554 kubakia Bilioni 54 tuu.

Angalizo,jambo hili halitafanywa overnight Bali hatua kwa hatua.
CCM NI [emoji117][emoji90]
 
Hakuna mkopo ni gari kugawiwa bure tu. 😁😁 Tz wanawaza namna ya kukwepa kodi, kufanya ulaghai, kula kulingana na urefu wa kamba yako. Hayo magari yanayokopeshwa km hamuwezi kuyahudumia si mfanye kama huyu mzambia. Ukimkopesha tyr gari lake sijui ukitaka kumuagiza kikazi akakuambia gari sina utamwambia nini? Muangalie pande zote nguchiro nyie kabla hamjaanza kukopesha, changamoto zake ktk ufanyaji kazi itakuwaje.
Akatafute Kazi private harafu aje kujibu hivyo kusema gari huna.

Pili.kwanza kwa Tzn hatuna magri ya VX V8 kwa ngazi za Mameya au Wenyeviti wa Halmashauri labda huko Dar Kwa wale mataahira wa Mwendazake waliokuwa wanatumia pesa hovyo kwa kisingizio cha kukusanya mapato kumbe ni wamechomekwa kimchingo kuratibu upigaji kwa maslahi ya Jiwe na genge lake.

Mwisho Na wewe uwe unaelewa na kufikiria,package ya salary itahusisha kila kitu humo hakuna cha gari sina kama huna tembea kwa miguu,what we want ni job be done.
 
Back
Top Bottom