4by94
JF-Expert Member
- Oct 1, 2019
- 9,214
- 8,306
kwa mapigo yake unahisu alikuwa salama ? huon amefarik kifo chenye utata?Lini alifanya? Mtu anatembea na misafara ya magari mia huku juu helicopter mbili anabana matumizi huyo? Tena usimtaje kabisa huyo