Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Makosa haya aliyafanya habari Magufuli.

Huwezi kubadilisha mifumo bila kubadilisha Sheria zinazoongoza mifumo hiyo. Nyongeza za mishahara zipo kisheria otherwise ubadilishe Sheria kwanza ndiyo uzikatae. Bila kufanya hivyo TAYARI Ni ubabe, na ubabe unaweza kuzaa udikteta uchwara au udikteta KAMILI km ule wa Magu.
Ni kweli alikosea sana ! Alitakiwa kwanza abadili sheria zilizokuwa zikiwalinda mafisadi na wabadhirifu !!
 
Ila Magufuli alipokua akifanya mambo kama hayo mnamtukana.

Wanafiki tu.
Lini alifanya? Mtu anatembea na misafara ya magari mia huku juu helicopter mbili anabana matumizi huyo? Tena usimtaje kabisa huyo
 
Sasa nikuulize baada ya Dikteta kutoka nini kimefanyika hii Nchi.
nchi haijasimama inasonga mbele ktk nyanja zote kiuchumi,kisiasa,kijamii kwa uzuri kabisa. Mauaji,utekaji,unyang'anyi vimekoma.Angalao kwasasa hatuishi kwa hofu.

Yule bwana alijua akafa mapema,hii nchi ingetumbukia pale Zimbabwe ilipofikia kiuchumi.Huwezi kunielewa hili.

Magu alikuwa Rais wa hovyo Sana.
 
Magufuri atazidi kuzaliwa kwa majirani nasi zamu yetu kutamani kwa majirani. Kucheza kupokezana, wabarikiwe sana majirani
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.

Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.

Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.

Anaye stahili V8, aache stembelee V8.

Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake.

The World has moved out and away of austerity..
sio kwel
 
Hajui kwamba hata huko kwa matajiri wanaotufadhili pesa za bajeti zetu hawatembelei mavieite ??!! Tena huwa wanatushangaa !! Kwakweli kwenye bara hili watu wengi ni Selfish sana !!
 
Kununua V8 inayotumia mafuta mengi kwa nchi maskini ni kuounguza umaskini kwa Taifa,au ni kuongezea umasikini?
Watu ambao ni Selfish huwa hawajali watu wengine wanaishije !! Wao huwa wanaangalia maisha yao tu lakini ya wengine ni potelea mbali !! Hao ni watu Wabinafsi !! ( Selfish people )
 
Kuna viatu hapa vilimponda Jiwe kwa sera kama hizi ila hapa zinamsifia rais wa Zambia
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.

Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.

Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.

Anaye stahili V8, aache stembelee V8.

Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake.

The World has moved out and away of austerity..
Amesema magari ya kifahari wanunue wafanyabiasha na watu wengine kwa pesa zao, serikali isitumie pesa za walipa kodi kwa matumizi ya anasa?
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.

Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.

Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.

Anaye stahili V8, aache stembelee V8.

Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake.

The World has moved out and away of austerity..
unataka mama yako akanye vichakani ili tukununulie wewe VX ? wajibu wa meya ni kutatua matatizo ya umma au gari ya kifahari ?

Watu weusi kuna namna hamja evolve vzr
 
Na yeye asingetumia mabilioni kuwajengea marais wastaafu majumba ya kifahari. CCM ni ile ile.
huez tatua kila kitu kwa wakati mmoja lasivyo utaferi , mifumo iliyosimama kwa miaka 50 huez imaliza ndani awamu moja ya utawala chini ya miaka 6
 
Hili jambo ni gumu sana.

Hivi kwani wale macho madogo watakubali huu ulaji uwaponyoke??

Manunuzi na maintenance za kila mwezi.

Ni bilions za pesa ya Nyerere.
kama unasubir rais ndo aliganie bas halitawezekana ila raia mkisimama basi inawezekana
 
Makosa haya aliyafanya habari Magufuli.

Huwezi kubadilisha mifumo bila kubadilisha Sheria zinazoongoza mifumo hiyo. Nyongeza za mishahara zipo kisheria otherwise ubadilishe Sheria kwanza ndiyo uzikatae. Bila kufanya hivyo TAYARI Ni ubabe, na ubabe unaweza kuzaa udikteta uchwara au udikteta KAMILI km ule wa Magu.
kwa uchumi wa hz nchi za afrika ni aibu kuwanunulia viongoz magari ya kifahari
 
Magu hakuwahi kudhibiti matumizi ya pesa bali ali channell pesa kwa watu wake ,
Ndo mana watu wa kanda yake kila siku ni vilio humu ,
aelekeze pesa kwa wengine na sio kwa familia yake ? hata unapomchukia mtu jifunze kuchagua shutuma
 
Back
Top Bottom