Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Zambia: Rais Hakainde Hichilema awataka Watumishi wa Serikali wanaotaka VX wajinunulie kwa pesa zao

Makosa haya aliyafanya habari Magufuli.

Huwezi kubadilisha mifumo bila kubadilisha Sheria zinazoongoza mifumo hiyo. Nyongeza za mishahara zipo kisheria otherwise ubadilishe Sheria kwanza ndiyo uzikatae. Bila kufanya hivyo TAYARI Ni ubabe, na ubabe unaweza kuzaa udikteta uchwara au udikteta KAMILI km ule wa Magu.
Sheria zitabadilishwa Mzee shida yako ni ipi hasa? Ndio maana serikali ilitangaza hilo Bungeni,we subiria utapata majibu.
 
Haikande anatakiwa 'apelekwe' tuition.
Anatakiwa ajifunze kwa kina Nyerere kuwa ujima na ujamaa ulifeli.
Aache watumishi wa umma waishi kulingana na hadhi na stahiki zao.
Anaye stahili V8, aache stembelee V8.
Sera za dhiki na kuendekeza umaskini hazitamsogeza hata hatua moja katika utawala wake...
The World has moved out and away of austerity..
Kununua V8 inayotumia mafuta mengi kwa nchi maskini ni kuounguza umaskini kwa Taifa,au ni kuongezea umasikini?
 
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.

Hichilema amehoji “Kwanini mnatumia pesa kumnunulia Meya VX? hiyo pesa ya kumnunulia Meya VX inaweza kuweka vyoo katika masoko yote kwenye miji yenu, piteni katika mstari huo.... Meya bado anaweza kuendesha gari zuri kama vile Hilux double cabin sio lazima gari liwe VX, mkitaka kuendesha VX nunueni kwa pesa zenu”

Kwa upande mwingine Rais huyu ambaye hakutaka kupokea mshahara wa Urais kwa miezi nane akisema kilichomsukuma kuingia madarakani sio pesa bali uzalendo wa kuijenga Nchi yake, aliwataka pia Watumishi wa Serikali wanaotaka kuongezewa mishahara wafikirie Wananchi ambao wanateseka kabla ya kutaka nyongeza hiyo "Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.” ——— Hakainde Hichilema. #MillardAyoUPDATES

Kwa Tanzania hii kitu haipo, make tutambue kwanza Zambia Raia wao wanajitambua tofauti na Tanzania ambako CCM inaongoza. Viongozi Tanzania hawawezi fanya kama Zambia kwa sababu kwanza wanaongoza wajinga hii inafanyika kwenye nchi yenye watu wenye akili,
Haleluya haleluya Magufuli kafufuka Zambia
 
Magufuli ameibuka pengine
Magu hakuwahi kudhibiti matumizi ya pesa bali ali channell pesa kwa watu wake ,
Ndo mana watu wa kanda yake kila siku ni vilio humu ,
 
Badala ya kusimamia kauli mbiu za Anaupiga mwingi au Mitano tena kwa hawa Marais wetu ni vema tukawaambia waende Zambia mheshimiwa HH akawape semina elekezi jinsi ya kuhudumia jamii kwa resources tulizo nazo.

Huyu Rais wa Zambia ni mfano bora kabisa wa kiongozi, aigwe.
 
Agreed 🇿🇲 wapo safi, na kitendo cha kuimarisha barabara na kuondoa utitiri wa road blocks, kudos kwao na ukarimu wa wanajeshi wao kwenye check points zao ni safi sana(hizi ndizo pit stops salama kabisa, yaani unalala kwenye check points ya wanajeshi!)
 
View attachment 2327112
Badala ya kusimamia kauli mbiu za Anaupiga mwingi au Mitano tena kwa hawa Marais wetu ni vema tukawaambia waende Zambia mheshimiwa HH akawape semina elekezi jinsi ya kuhudumia jamii kwa resources tulizo nazo.
Huyu Rais wa Zambia ni mfano bora kabisa wa kiongozi, aigwe.
Kwa kweli mmh !!!
 
Hili jambo ni gumu sana.

Hivi kwani wale macho madogo watakubali huu ulaji uwaponyoke??

Manunuzi na maintenance za kila mwezi.

Ni bilions za pesa ya Nyerere.
Haiko relevant angalia Taifa kubwa kama Uk magari wanayotembelea viongozi wao.
 
Zambia wamepata Rais,Ila Malawi wamepata taaaaaahira kabisa.
 
Makosa haya aliyafanya habari Magufuli.

Huwezi kubadilisha mifumo bila kubadilisha Sheria zinazoongoza mifumo hiyo. Nyongeza za mishahara zipo kisheria otherwise ubadilishe Sheria kwanza ndiyo uzikatae. Bila kufanya hivyo TAYARI Ni ubabe, na ubabe unaweza kuzaa udikteta uchwara au udikteta KAMILI km ule wa Magu.
Sasa nikuulize baada ya Dikteta kutoka nini kimefanyika hii Nchi.
 
Kununua V8 inayotumia mafuta mengi kwa nchi maskini ni kuounguza umaskini kwa Taifa,au ni kuongezea umasikini?
Kati ya 2010 hadi 2017, Ugiriki waliweka Austerity measures (hatua za kubana matumizi) lakini hazikusaidia kufufua uchumi wao uliokuwa umetikisika kutokana na madeni.
So wakaamua kuachana na sera hizo.
 
Haiko relevant angalia Taifa kubwa kama Uk magari wanayotembelea viongozi wao.
Ndio maana nimekuwa nikiandika humu kwamba kwa mtindo huu wanaouita Kazi na Bata maendeleo ya kweli hayatapatikana ng’o !! Hata mataifa yote yaliyoendelea tunayoyaona sasa huko zamani walijifunga mkanda kweli kweli ndio hayo maendeleo yakapatikana !!
 
Rais wa Zambia Hakainde Hichilema amewataka Watumishi wa Serikali wanaotaka wapewe magari ya kifahari aina ya Toyota Land Cruiser VX kwa ajili ya kuyatumia kwenye kazi wasahau hilo na kama wanaona yana umuhimu sana basi wajinunulie wao lakini sio kwa pesa za Serikali.

Hichilema amehoji “Kwanini mnatumia pesa kumnunulia Meya VX? hiyo pesa ya kumnunulia Meya VX inaweza kuweka vyoo katika masoko yote kwenye miji yenu, piteni katika mstari huo. Meya bado anaweza kuendesha gari zuri kama vile Hilux double cabin sio lazima gari liwe VX, mkitaka kuendesha VX nunueni kwa pesa zenu”

Kwa upande mwingine Rais huyu ambaye hakutaka kupokea mshahara wa Urais kwa miezi nane akisema kilichomsukuma kuingia madarakani sio pesa bali uzalendo wa kuijenga Nchi yake, aliwataka pia Watumishi wa Serikali wanaotaka kuongezewa mishahara wafikirie Wananchi ambao wanateseka kabla ya kutaka nyongeza hiyo "Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.” Hakainde Hichilema.

Kwa Tanzania hii kitu haipo, make tutambue kwanza Zambia Raia wao wanajitambua tofauti na Tanzania ambako CCM inaongoza. Viongozi Tanzania hawawezi fanya kama Zambia kwa sababu kwanza wanaongoza wajinga hii inafanyika kwenye nchi yenye watu wenye akili.
View attachment 2327116
Unapoona mshahara unaingia kwenye akaunti yako ya benki kumbuka ni Mama Mjane amenilipa mshahara huu kwa hiyo kabla ya kuomba nyongeza jiulize vipi kuhusu yule anayekulipa mshahara wako wa sasa? Mtoto wake anakaa chini darasani.” Hakainde Hichilema.
 
Back
Top Bottom