babayao255
JF-Expert Member
- Apr 4, 2019
- 11,632
- 29,912
Na huoni kabisa kuwa kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya ya biashara,Yep. Walifuta watu 20 kazi baada ya kuuza Jumia Travel kwa Travelstart.
Workforce yao Kenya ikashuka kutoka 686 hadi 660.
Otherwise business as usual.
Lakini LDC Tanzania, Rwanda, Burundi hakuna biashara. Wamefunga kazi.
Watu walioendelea siku hizi wanaachana na habari za mi malls, wanamaliza manunuzi online. For the most part.
Nyie bado mnashangilia na kushindana kwa namba za mi malls?
Tena ambayo inauza zaidi vitu ambavyo hamjatengeneza?
Ulimbukeni gani huu?
You've nailed it I don't remember when was the last time I 'd been to the shopping mall with all this online sellers why should I bother go to malls?
Sent using Jamii Forums mobile app
Na huoni kabisa kuwa kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya ya biashara,
Ldc but tunalisha nchi yenu kuanzia matunda hadi mazao ya nafaka πππ
Huu uzi umenikumbusha enzi nikiwa college.
Kuna mdada mmoja wa ki-Namibia alikuwa anasema kuwa wao [Namibia] wameendelea kushinda Tanzania kwa sababu wana fast food restaurants kama McDonaldβs.
Mimi nikawa namwambia kuwa hicho wala si kipimo cha maendeleo.
Nikamwambia kuwa vitu vya kutengenezea burger vyote tunavyo. Suala ni kuamua tu.
Isitoshe, burgers hata watu binafsi wanaweza kujitengenezea wao wenyewe. Si lazima waende McDonaldβs ndo waweze kuzila.
Hapo ndo nilipoona kuwa kifikra nilipevuka mapema sana.
Cha kushangaza zaidi, huyo mdada alikuwa ni pre-med student [so she was supposedly smart].
Sasa ni daktari huko Afrika Kusini.
Wacha kelele. Huyo mdada alikuwa correct.
McDonalds, Starbucks na wengine multinationals hufungua nchi ambazo wamefanya utafiti wakajua wenyeji wana pesa. - Market research.
Mkijipata hamna hizi, jua hesabu imeangaliwa ikaonekana nyinyi ni LDC na wakifungua itakuwa hasara tupu.
Bro ukienda Botswana na Namibia utaona maendeleo makubwa, lakini wako kimya kabisa.
Ila waKenya wakifanya kidogo tu, kelele dunia nzima.
Bro ukienda Botswana na Namibia utaona maendeleo makubwa, lakini wako kimya kabisa.
Ila waKenya wakifanya kidogo tu, kelele dunia nzima.
kweli nchi la Malls hiliAm proud of this guy. Darasani tulikuwa tunamwita Ghana Baby . Na chuo alijulikana kwa jina hilo.. safi sana naona katusua kwnye channel yake .. wode maya mwanangu nakumiss sana
Show me any updated info if in case you have one remember that`s a report of last year 2018.Hii Ni outdated info hakuna kitu hapo
Ushachange gear hewani tenaWamefunga Jumia Travel Africa yote. Sio Kenya tu.
Wameuza operations zao kwa Travelstart.
Travelstart to power Jumia Travel across Africa
Travelstart has entered into a distribution and commercial agreement with Jumia Travel to power the latterβs pan-African online travel booking portal.www.businessdailyafrica.com
Don`t be stupid, at least in Kenya Jumia have just reduced the number of workforce while in Tanzania they closed indefinitely.Ushachange gear hewani tena
Don't be stupidi,Don`t be stupid, at least in Kenya Jumia have just reduced the number of workforce while in Tanzania they closed indefinitely.
Which one is better between the two? Reducing work force or closing the operation that renders all workers jobless?Don't be stupidi,
Umeafuatilia toka mwanzo ninacho bishana na mwenzako hadi alipochange gear hewani na Kuhamishia mada mahali pengine au umekurupuka kuniquote.
Alafu huko kwenu inaonesha makampuni yanapunguza wafanyakazi hadi mshazoea mnaona ni hali ya kawaida tu yaani πππ
Kampuni kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya kwa kampuni ama tuseme ni hatua ya mwisho kuelekea kampuni kufungwa,Which one is better between the two? Reducing work force or closing the operation that renders all workers jobless?
Now you are trading on rumors, no facts at all. Goodbye albino eater.Kampuni kupunguza wafanyakazi ni dalili mbaya kwa kampuni ama tuseme ni hatua ya mwisho kuelekea kampuni kufungwa,
Wakenya wengi pia huwa wanalalamika kuhusu huduma za jumia na ni malalamiko hayo hayo ndio yalisababisha watanzania wengi waache kutumia jumia na kuanza kutumia kampuni zingine kwa ajili ya kufanya manunuzi.
Hey, i don't trade rumors, naongea vitu navyo vifahamu, jaluoo eater.Now you are trading on rumors, no facts at all. Goodbye albino eater.
Kiukweli katika stages za maendeleo, kumtaka mtu anayelimbuka aache kulimbuka inaweza kuwa si sawa.Pamoja na e-commerce, trend sasa hivi ni open-air malls or mixed-use developments. Yale ma big-box looking malls ndo yanafungwa.
Eneo linakuwa na maduka madogo madogo, migahawa, apartments, condos, townhouses, office buildings, bustani ya kupunzikia na kucheza, na kadhalika.
About Us | Avalon - Alpharetta, Georgia
Experience Avalon in the heart of Alpharetta includes the ultimate shopping, dining and luxury activity hub of the community. See our amenities & plan your day here!www.experienceavalon.com