Zambia wana malls nyingii na hawajisifu kama hawa jamaa zetu wa Kenya

He is talking about "on the world", not "in the world".

That alone should give you a clue.
Look at your keypad. If letters I and O are next to each other, then you shouldn't have given it a lot of thought like you have
 
Ok. LDC
 
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.

We mpuuzi nimesoma nae HANKONG DAXUE , shenyang liaoning iko Daoyi mtaa, kwa kingereza inaitwa SHENYANG AEROSPACE UNIVERSITY . Pumbavu wewe
 
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.

And mind you soma profile langu iam a fukin computer engineer niliyosomea new delhi nikaja kuipiga tena zaid China , nina exposure nzuri sana na Wode Maya kaja bongo kakutana zenji na washikaji kibao tu wa class pimbi wewe , unaona ishu kuona video youtube . Watu tumesoma chuo na watoto wote wa viongoz wa sasa wa bongo hii pimbi weweeeee . Na kote ndio hivyo. Unadhani wew unaishi kibera
 
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.

Alafu check the place niliyoko sasa hivi ninavyoenjoy kaubaridi fala wewe ... msikae mnadharau watu ,
 
Darasani mlisoma naye wapi? Kwenye ndoto yako pengine. Jamaa kasomea Aeronautical Engineering huko China. Wewe ulisomea kijitonyama high school.

And THIS WAS MY FKN ENROLLMENT FORM YA CHUO, soma hapo chuo kinaitwaje ???? Mpuuzi wewe , mtu anakuambia fresh tu unaleta dharau, tuachage kudharau watu na kuanza kuappreciate ... chuo kina course zote . Mind u next time u can suk my Dk
 
Hii imekuingia hadi tundu la nyuma. Unamwaga matusi kwa sababu nimesema ukweli.
 
Zambia itakuwa na malls nyingi kuliko Kenya ki vipi wakati uchumi wao ni mdogo sana.
 
But still Zambia has more malls than your country.

Here are facts, South Africa obliterates the rest of Africa ikija kwa malls..... Lakini baada ya SA kwa malls ni Kenya

Baada ya Kenya ni Namibia, Botswana etc

Hio picha ukiangalia vizuri, ni takwimu za 2016.... Lakini kabla muanze kulalamika eti inaeza kua walijenga malls zengine kubwa zaidi tangu hapo, wacha pia niwaonyeshe takwimu za malls mpya ambazo zilikua ziko level tofauti za ujenzi.

Kenya ilikua iko mbioni ikiongoza Sub sahara Africa (nje ya SA) ku double zile malls tuko nazo.. nchi ya pili ikiwa ni Angola ikifwatwa na Lagos alafu Tanzania,... Zambia ikiwa huko nyuma numbari 12 kwahivyo hawakuwa na mpango wowote wa kuongeza malls zengine kibao kama vile Kenya.

Source
 
You're smart.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…