Zamu yangu leo hii kitu ilinishindaga

Umri ukiwa mdogo ni sahihi kuongea hivo,tuwaulize waliofikisha miaka 38 bila ndoa na tuwaulize wajane vijana ndo tutaelewa why watu wanakubali wanaolewa mke wa pili watatu had wanne.
 
Hawa wanawake hawataweza kuelewa ukweli kwamba mwanaume mwanamke mmoja hatoshi.

Wangejua tunavojizuia na kuwalindia heshima kugonga hio michepuko miwili mitatu wasingelalama hivi

Siku mwanamke mmoja aamke mwanaume akiona izo genye zenye tupo nazo mda ote
 
Meseji nzuri sana 🥳
 
Haya tufahamishe
Umempata wa peke yako??!

HAKUNA huyo mwanaume

Kushare kunapunguza stress
Sio kila leoo kuunga maji ya kuoga na kupika three course..

Once in a while u get to relax

Ila yataka moyo
Mtarogana hadi mtie akili
Ni kweli kabisa Ms Kate huwa hatutosheki na mwanamke mmoja

Wanawake wote wakianza kutambua hili na kuwa na uelewa kama wako dunia itakuwa sehemu salama [emoji39]
 
Hujaelewa mada elewa mada hapo upo nje ya mada
 
Hakuna kitu napenda kama hicho..... Binadamu tupo tofauti sana
 

Dini inasemaje?
 
Wanawake sasa hv mnatuzidi idadi karibu mara 3 halafu unataka mme wa peke yako?zinakutosha kweli
 
Ni kweli kabisa Ms Kate huwa hatutosheki na mwanamke mmoja

Wanawake wote wakianza kutambua hili na kuwa na uelewa kama wako dunia itakuwa sehemu salama [emoji39]
Ndo muwaoe sasa
Muache kuchepuka

Ijulikane kabisa una wake 2/3
Unajificha nini ?
Unamuogopa nani
 
Kwahyo utakificha hiko kipochi mpaka lin
 
Ndo muwaoe sasa
Muache kuchepuka

Ijulikane kabisa una wake 2/3
Unajificha nini ?
Unamuogopa nani
Tatizo tunakwepa majukumu mkuu... mke lzma uhudumie kila kitu ila michepuko tunahudumia kadri itakavyotupendeza
 
Tatizo tunakwepa majukumu mkuu... mke lzma uhudumie kila kitu ila michepuko tunahudumia kadri itakavyotupendeza
Sasa uanaume wako uko wapi iwapo unakwepa majukumu?utaheshimika kweli?!

Ndio maana hata uislamu unashauri uwepo usawa km unataka wake 2
Vinginevyo ridhika na mkeo

Someni biblia muone kwa siku Sulemani alilisha watu kiasi gani kabla hamjasifia wake zake 700
 
Duuh
 
 
Mwanaume hajaumbiwa mwanamke 1. Tatizo ni nyinyi wanawake kuendekeza roho mbaya mpaka mkarogana.
Toka zamani wanaume toka zama na zama duniani kote alikua akioa zaidi ya mwanamke 1. Hii ya mke 1 imeletwa tu na kanisa
Duuh
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…