Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Meseji nzuri sana 🥳Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.
Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana .
Hapendi kukuona unateseka mpenzi wake na anaweza kusaidia.
Imefikia siku moja akadai anataka ndoa na pia anataka kunihalalisha.
Nikaona sawa tukaanza mipango ila nikampata mtu mmoja mwanamke makamu akawa ananifunda sasa weeh nikaona hapana .
Tatizo kubwa nikushare mume eti mnapangwa kuliwa kha😂😂🤣🤔😎 na hii nikitu sio fresh kabisaa .
Yaani wapo watu hata kuvuliwa boxer ni ajabu wewe unapangwa na saliim anawake watatu wote wanapeana zamu .
Nikaona shida isiwe shida nilikuwa nafanya kazi mahali kipindi hichoo .
Nikaanza kukusanya pesa za watu nikaona nirudishe .
Akaikataa na akakubali kusitisha urafiki na uhalalishwaji .
Mimi kupeana zamu ili nishinda kabisaa isitoshe ukiwa unajuwa kuwa mko wanne na mume mmoja hii ni aibu.
Sasa siku moja simu ngeni ikapigwa nikaasutwa nikaambiwa hivi anaoa mke wa nne .
Nikasema hiyo ni heri msije mkanipange kama vifurushi vya michele kisa mume .
Yakaishia hapo nikasonga akasonga hata kama umechoka maisba usikubali kushare kisa nini halafu ni umeolewa nafuu unaiba kuliko kuhalalishwa kwenye timu ya ujinga .
Mpaka mapepo mnarushiana .
Kosa ni kuoelewa na cha wote .
Siku njema
Ni kweli kabisa Ms Kate huwa hatutosheki na mwanamke mmojaHaya tufahamishe
Umempata wa peke yako??!
HAKUNA huyo mwanaume
Kushare kunapunguza stress
Sio kila leoo kuunga maji ya kuoga na kupika three course..
Once in a while u get to relax
Ila yataka moyo
Mtarogana hadi mtie akili
Hujaelewa mada elewa mada hapo upo nje ya madaHawa wanawake hawataweza kuelewa ukweli kwamba mwanaume mwanamke mmoja hatoshi.
Wangejua tunavojizuia na kuwalindia heshima kugonga hio michepuko miwili mitatu wasingelalama hivi
Siku mwanamke mmoja aamke mwanaume akiona izo genye zenye tupo nazo mda ote
Hakuna kitu napenda kama hicho..... Binadamu tupo tofauti sanaJamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.
Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana .
Hapendi kukuona unateseka mpenzi wake na anaweza kusaidia.
Imefikia siku moja akadai anataka ndoa na pia anataka kunihalalisha.
Nikaona sawa tukaanza mipango ila nikampata mtu mmoja mwanamke makamu akawa ananifunda sasa weeh nikaona hapana .
Tatizo kubwa nikushare mume eti mnapangwa kuliwa kha[emoji23][emoji23][emoji1787][emoji848][emoji41] na hii nikitu sio fresh kabisaa .
Yaani wapo watu hata kuvuliwa boxer ni ajabu wewe unapangwa na saliim anawake watatu wote wanapeana zamu .
Nikaona shida isiwe shida nilikuwa nafanya kazi mahali kipindi hichoo .
Nikaanza kukusanya pesa za watu nikaona nirudishe .
Akaikataa na akakubali kusitisha urafiki na uhalalishwaji .
Mimi kupeana zamu ili nishinda kabisaa isitoshe ukiwa unajuwa kuwa mko wanne na mume mmoja hii ni aibu.
Sasa siku moja simu ngeni ikapigwa nikaasutwa nikaambiwa hivi anaoa mke wa nne .
Nikasema hiyo ni heri msije mkanipange kama vifurushi vya michele kisa mume .
Yakaishia hapo nikasonga akasonga hata kama umechoka maisba usikubali kushare kisa nini halafu ni umeolewa nafuu unaiba kuliko kuhalalishwa kwenye timu ya ujinga .
Mpaka mapepo mnarushiana .
Kosa ni kuoelewa na cha wote .
Siku njema
Jamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.

Ndo muwaoe sasaNi kweli kabisa Ms Kate huwa hatutosheki na mwanamke mmoja
Wanawake wote wakianza kutambua hili na kuwa na uelewa kama wako dunia itakuwa sehemu salama [emoji39]
Ndioo zinanitosha utacha wazazi wako na kuambatana na mke wako sio wake zakoWanawake sasa hv mnatuzidi idadi karibu mara 3 halafu unataka mme wa peke yako?zinakutosha kweli
Kumbe ntakuwa makini na weweHuo muda wa kumroga mwanamke si heri nimroge huyo mume awe mtiifu [emoji1787]
Tatizo tunakwepa majukumu mkuu... mke lzma uhudumie kila kitu ila michepuko tunahudumia kadri itakavyotupendezaNdo muwaoe sasa
Muache kuchepuka
Ijulikane kabisa una wake 2/3
Unajificha nini ?
Unamuogopa nani
🤣🤣🤣
Sasa uanaume wako uko wapi iwapo unakwepa majukumu?utaheshimika kweli?!Tatizo tunakwepa majukumu mkuu... mke lzma uhudumie kila kitu ila michepuko tunahudumia kadri itakavyotupendeza
Kwamba wajane ndo innocent walipenda kuwa wajane au siyo, haya bwanaahhh....
mwenyewe uniq mwenye u uniq wake...[emoji1][emoji1]
uke wenza waachiwe wajane
DuuhJamani nilifanikiwa enzi za miaka 22 kupata mwanaume nauwezo wake wa kumiliki biashara za kutosha.
Huyu bwana aliitwa Salimu kijana mzuri wa sura na mwili pia mkarimu na anaheshima kwa kila mtu. Utampenda kwa kujali dini yake na kila mara anasaidia masikini. Anajua kutunza sana sana .
Hapendi kukuona unateseka mpenzi wake na anaweza kusaidia. Imefikia siku moja akadai anataka ndoa na pia anataka kunihalalisha. Nikaona sawa tukaanza mipango ila nikampata mtu mmoja mwanamke makamu akawa ananifunda sasa weeh nikaona hapana .
Tatizo kubwa nikushare mume eti mnapangwa kuliwa kha😂😂🤣🤔😎 na hii nikitu sio fresh kabisaa .
Yaani wapo watu hata kuvuliwa boxer ni ajabu wewe unapangwa na saliim anawake watatu wote wanapeana zamu .
Nikaona shida isiwe shida nilikuwa nafanya kazi mahali kipindi hichoo .
Nikaanza kukusanya pesa za watu nikaona nirudishe .
Akaikataa na akakubali kusitisha urafiki na uhalalishwaji .
Mimi kupeana zamu ili nishinda kabisaa isitoshe ukiwa unajuwa kuwa mko wanne na mume mmoja hii ni aibu.
Sasa siku moja simu ngeni ikapigwa nikaasutwa nikaambiwa hivi anaoa mke wa nne .
Nikasema hiyo ni heri msije mkanipange kama vifurushi vya michele kisa mume .
Yakaishia hapo nikasonga akasonga hata kama umechoka maisba usikubali kushare kisa nini halafu ni umeolewa nafuu unaiba kuliko kuhalalishwa kwenye timu ya ujinga .
Mpaka mapepo mnarushiana .
Kosa ni kuoelewa na cha wote .
Siku njema
Sasa uanaume wako uko wapi iwapo unakwepa majukumu?utaheshimika kweli?!
Ndio maana hata uislamu unashauri uwepo usawa km unataka wake 2
Vinginevyo ridhika na mkeo
Someni biblia muone kwa siku Sulemani alilisha watu kiasi gani kabla hamjasifia wake zake 700
Kwamba wajane ndo innocent walipenda kuwa wajane au siyo, haya bwana
DuuhMwanaume hajaumbiwa mwanamke 1. Tatizo ni nyinyi wanawake kuendekeza roho mbaya mpaka mkarogana.
Toka zamani wanaume toka zama na zama duniani kote alikua akioa zaidi ya mwanamke 1. Hii ya mke 1 imeletwa tu na kanisa