Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Mfanyabiashara wa madini auawa mlima wa maombi, wauaji watuma meseji… Arusha,maivaro.
Mwananchi:Jumatano, Oktoba 02, 2024.
Mimi sijawahi kuuwa hata sisimizi
 
Wengi tulizani uongozi wake utakuwa na sura ya ulivyokuwa wa JK lakini kumbe imekuja kuwa tofauti kabisa.
ana reflect kauli mbiu ya kazi iendelee ya JPM?
 
kuna kitu kinaitwa legacy au urithi.
Kwa hiyo legacy zingine mbaya mbaya kama kukataa chanjo ya corona,kuzorotoshe mahusiano ya kidiplomasia,kupora hela za watu kwenye mabenki aliweza kuzifuta... Ila hii legacy ya kuuwa watu ovyo ovyo na kutekana tekana ndio ameshindwa kuzifuta?? Mbona watu mna utetezi wa kipumbavu hivyoo???
 
Kuna wakati fulani kuna Watu mlisema uzoefu unaonesha kuwa awamu zote za uongozi wa Supremę leader kuwa Islam umeonesha kuwa na Neema na baraka hadi kwa mwananchi wa chini ukilinganisha na awamu ambazo Viongozi walikuwa wakristo.

Mlikuwa mnasema awamu za Viongozi wakristo kulikuwa na shuruba shuruba fulani hivi na ugumu wa maisha, na demokrasia kuingiliwa (interrupted).

Je bado mtaendelea kusema hivyo tena au imeshakuwa irrelevant to compare in such a way ?

Kwenu wachambuzi wa mambo, hebu semeni basi 😆😆😆
 
Kwamba enzi za Kikwete kurudi nyuma hapakuwa na haya mambo? Au ulikuwa bado mdogo?
Obvious Ako ni katoto kadogo kaliko anza kufuatilia siasa za nchi kipindi Cha awamu ya Tano, na hakajui chochote kuhusu awamu zilizopita huko nyuma... Sidhani kama hata kanajua chochote kuhusu like sakata la Mwangosi na Dokta Ulimboka, yeye anaamini siasa za kimafia zimeanzia kwenye awamu ya Tano... Vijinga sana hivi vilamba asali
 
Watu humu wanacomments as if rais mwinyi ndio katoa go ahed kuwa huyo kijana auliwe.!

Watu wasichokijua kuwa sasa hivi ni ulimwengu wa propaganda zaidi kuchafuana ni hali ya kawaida usikute tu kuna mtu nyuma Katuma watu kufanya tukio kama la aina ya Ali kibao ili kuleta tu taharuki.

Huyo jamaa hakuwa na impact yeyote ile eti serikali ipange kumuangamiza.

Sitetei mauaji ila sio kila mauwaji tunapeleka lawama kwa gvt ndio imeua.

Lawama ziende kwann watu wanauliwa na wao wamekaa na vitambi ofisin .Alafu mpaka watu wanachukuana mchana kweupe na kuenda muua mtu bila kutafutwa na wao kuchukuliwa hatua nzito wao na mtandao wao.

Ndio maana raia wanaona serikali inahusika kwasababu hawana uchungu na kinacho endelea.
 
Kwa hiyo legacy zingine mbaya mbaya kama kukataa chanjo ya corona,kuzorotoshe mahusiano ya kidiplomasia,kupora hela za watu kwenye mabenki aliweza kuzifuta... Ila hii legacy ya kuuwa watu ovyo ovyo na kutekana tekana ndio ameshindwa kuzifuta?? Mbona watu mna utetezi wa kipumbavu hivyoo???
Just use your brain critically.

Nimekuandikia kifupi, wewe unatandaza ujinga.

Nyerere alipolalamikia maRais waliomfuatia kuchukua mambo yake mabaya na kuacha mazuri unafikiri alikuwa mpumbavu?
 
Watu humu wanacomments as if rais mwinyi ndio katoa go ahed kuwa huyo kijana auliwe.!

Watu wasichokijua kuwa sasa hivi ni ulimwengu wa propaganda zaidi kuchafuana ni hali ya kawaida usikute tu kuna mtu nyuma Katuma watu kufanya tukio kama la aina ya Ali kibao ili kuleta tu taharuki.

Huyo jamaa hakuwa na impact yeyote ile eti serikali ipange kumuangamiza.

Sitetei mauaji ila sio kila mauwaji tunapeleka lawama kwa gvt ndio imeua.

Lawama ziende kwann watu wanauliwa na wao wamekaa na vitambi ofisin .Alafu mpaka watu wanachukuana mchana kweupe na kuenda muua mtu bila kutafutwa na wao kuchukuliwa hatua nzito wao na mtandao wao.

Ndio maana raia wanaona serikali inahusika kwasababu hawana uchungu na kinacho endelea.
Kwanini ndugu wa viongozi wa CCM/serikali hawa uwawi? kazi ya serikali ni kulinda raia wake, je hapo ametimiza wajibu wake na wakati ameapa kulinda?
 
Kuna wakati fulani kuna Watu mlisema uzoefu unaonesha kuwa awamu zote za uongozi wa Supremę leader kuwa Islam umeonesha kuwa na Neema na baraka hadi kwa mwananchi wa chini ukilinganisha na awamu ambazo Viongozi walikuwa wakristo,
Mlikuwa mnasema awamu za Viongozi wakristo kulikuwa na shuruba shuruba fulani hivi na ugumu wa maisha,
Je bado mtaendelea kusema hivyo tena au imeshakuwa irrelevant to compare in such a way ?
Kwenu wachambuzi wa mambo hebu semeni basi 😆😆😆
Ukiangalia kwa haraka haraka tu utaona wanaosema hivyo kwamba awamu za maustadhi na ustadhati huwa Zina neema ni kwa sababu ndio awamu ambazo mara nyingi kunakuwepo na ufisadi uliokithiri kutokana na udhaifu wa viongozi waliozishika awamu hizo.

Kwa hiyo mtu anayesema eti awamu ya raisi muisilamu huwa Kila mtu ana neemeka ni kwa sababu ya kuwepo kwa mirija Mingi ya hela za ufisadi ambazo zinawafikia wengi kimatabaka... Halafu hayo yakifanyika miradi Mingi huwa unaenda kwa kusua sua, sababu pesa nyingi zinaishia mifukoni mwa watu maana hakuna usimamizi makini wa pesa hizo.
 
Just use your brain critically.

Nimekuandikia kifupi, wewe unatandaza ujinga.

Nyerere alipolalamikia maRais waliomfuatia kuchukua mambo yake mabaya na kuacha mazuri unafikiri alikuwa mpumbavu?
"Kuna kitu kinaitwa legacy au urithi"

Kwa hii comment yako ulikuwa una maanisha nini hasa mbwea wewe??

Kwamba haya mauaji yanayoendelea ni legacy iliyoachwa na mtangulizi wa Samia na hatupaswi kushangaaa Wala kumlaumu kivyovyote vile? Na kwanini aendeleze legacy ya kipumbavu hivi ilihali legacies zingine mbaya zote ameshaziondoa?
 
Huku mafwele huku abdul 😁 huyo jamaa asije kuwa ameingilia line ya bwana ABDUL THE KILLER...ole wake mtu usimame kwenye njia ya bwana abdul mtoto wa mjalaana aliye laaniwa yeye na mama yake .
Weeeeee!!!
 
Kimsingi awali nilidhani JK atakuwa Mentor wa Maza kwa hiyo nikajua walau kunaweza kuwa na hali fulani ya wastani ya hewa,

Lakini kadiri siku zinavyoenda inathibitika kiwa sivyo kabisa.

Ina maana JK hashauri au ushauri wake unapuuzwa kwa mambo ya kiusalama kuwa shakani ilivyo?

JK umebaki peke yako, hebu mrejee Mwenyezi Mungu kwaajili ya haya yanayoendelea.

Hebu tafakari mzee.
JK amepuuzwa
 
Back
Top Bottom