Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Waandamanaji wanakamatwa kwa sababu huwa wanatangaza siku za maandamano, lakini linapokuja swala la utekaji, watekaji huwa hawakwambi utatekwa lini! So mfano wako hauwendani na scenario yenyewe!!
Ali kibao alikua anaandamana? Soka alikua anaandamana? Sativa vipi? Acheni kutetea ujinga. Mbona mpaka majina ya waliomteka sativa yalitajwa ila hajakamatwa hadi leo.
 
Mama kachanganyikiwa maskini yaani mtoto wako inasemekana alichukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano kesho yake unapata taarifa kwamba ameuwawa Kisha unawafuata hao polisi ambao inasemekana ndio waliomchukua wanajidai kupiga simu kuulizia bado tena unaishia kuwashukuru hao polisi aisee

Pole sana mama hii ndio serikali tuliyonayo isiyojali wananchi wake zaidi ya kujali matumbo Yao na familia zao ila wajue tu KARMA NEVER FORGET.
 
Kwamba enzi za Kikwete kurudi nyuma hapakuwa na haya mambo? Au ulikuwa bado mdogo?


Enzi za JK ilikuwa swala la doctor Ulimboka kiongozi wa madaktari hili ndilo jambo kubwa sana ambalo liko masikioni mwa wengi lililo umiza mioyo ya wananchi wengi na kuona uongozi kuwa na doa lisilosahaulika kwa kumtesa karibia na kuua ni jambo baya sana kupita utu na ubinadamu kwa mtu innocent alokuwa Mwakilishi wa kupambania haki za watanzania.
Lingine ilikuwa ufisadi ulozidi ukilinganisha na awamu za nyuma.
N.k.
 
Kimsingi awali nilidhani JK atakuwa Mentor wa Maza kwa hiyo nikajua walau kunaweza kuwa na hali fulani ya wastani ya hewa,

Lakini kadiri siku zinavyoenda inathibitika kiwa sivyo kabisa.

Ina maana JK hashauri au ushauri wake unapuuzwa kwa mambo ya kiusalama kuwa shakani ilivyo?

JK umebaki peke yako, hebu mrejee Mwenyezi Mungu kwaajili ya haya yanayoendelea.

Hebu tafakari mzee.
 
Predecessor yenyewe nashindwa kujua inaendelezwaje pamoja na kubadilishwa DG Tiss kadhaa, IGP , dci, n.k ?!
Au ni pale juu penyewe pametoa huo msimamo?
 
Kuna ile kamati ya maraisi wastaafu ya kujadili mgombea wa Uchaguzi CCM Sijui safari hii itakuwaje kwa masilahi ya umma.
Maana amebaki mmoja tu JK 🤔🤔🤔
Hapo hata column haipo.
Je Katiba inasemaje?
 
Back
Top Bottom