Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

Zanzibar: Aliyechukuliwa na Polisi kwa ajili ya Mahojiano akutwa ameuawa

CHADEMA wakiandama mnawacheka
Ishu sio kuandamana, unaandamana ili iweje? Binafsi siwezi kuandamana kisa ulaji wa mwanasiasa.
Maandamano kuipinga serikali yanapaswa kuendeshwa na wananchi bila kuhusisha wanasiasa na sio vinginevyo.
 
Ishu sio kuandamana, unaandamana ili iweje? Binafsi siwezi kuandamana kisa ulaji wa mwanasiasa.
Maandamano kuipinga serikali yanapaswa kuendeshwa na wananchi bila kuhusisha wanasiasa na sio vinginevyo.

Naongelea maandamano ya juzi kupinga mauaji ya raia. Si mlikuja kuwacheka CHADEMA eti maandamano hayakufanikiwa. Ngoja wauaji waendelee kuwamaliza
 
Hatujui wanaokufa Kwa vifo hivi kama wanastahili au lah!coz hatujui Hali ya kijasusi Kwa Sasa nchini ipoje na nini kinaendelea haswa!

Lakini tunaomba ustaarabu namna ya ku deal na Hali hii isilete woga wa namna hii ninaohisi mimi binafsi !!

Najikuta naogopa Sana Kwa kweli!
 
Hata yakiendelea awamu ijayo huyu wa sasa utasema alisingiziwa.

Kila mtu na azibebe dhambi zake.
Kama rais aliyepita alikuwa na mabaya bc tunataka kuona awamu inayofuata haina hayo mambo, sasa kama hayo mambo bado yapo yanaendelea bc ujue tatizo sio huyo kiongozi.
 
Kinachoshangaza ni kwamba Polisi hawatoi kabisa muongozo wa watu wafanye nini wanapokuja kukamatwa na askari kanzu....

Kama kweli wanaumia na kuhusishwa na haya mauaji, wanapaswa kutoa muongozo wa kumtambua askari genuine ama la....kimya chao inaonyesha wana maslahi na hii hali
 
Kinachoshangaza ni kwamba Polisi hawatoi kabisa muongozo wa watu wafanye nini wanapokuja kukamatwa na askari kanzu....kama kweli wanaumia na kuhusishwa na haya mauaji wanapaswa kutoa muongozo wa kumtambua askari genuine ama la....kimya chao inaonyesha wana maslahi na hii hali
Polisi hawahawa waliohakikisha waandamanaji wanakamatwa?
 
Back
Top Bottom